sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

    Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha? Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumwambia Irani mchezo anaocheza dhidi ya marekeni ni hatari sana kwa Irani?

    Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili: Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo...
  3. JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri sana inauzwa, ipo Dar es Salaam, Goba - Bei ni million 550

    Ghorofa inauzwa Iko Goba lastanza Umbali mita 300 toka lami Inavyumba Vinne (4) vyote master ,sebule 2 juu na chini,jiko kubwa dining, stoo na Choo cha public ENEO Lina sqm 900 Hati ipo Bei mil 550 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  5. JamiiForums Tanzania Fid q ana upeo mzuri sana wa kuelewa mambo ya kisiasa na kijamii ,hongera Kwake.

    https://www.facebook.com/share/v/1B6PKnEax7/ Video inajieleza.
  6. JamiiForums Tanzania Iran na Israel: Kutoka Mabest hadi Maadui wa Kuuana

    Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni. Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

    Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi. Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
  8. JamiiForums Tanzania Kuna member aliwahi kusema Iran ikiguswa, ina uwezo wa kutuma maelfu ya makombora kwa mpigo, niliogopa sana

    Mikwara ya makobaz humu kuna wakati hunibabaisha sana, muda wote nilikua na uwoga hawa jamaa labda kuna kitu wanakijua ambacho hatukijui, aidha labda Iran ina uwezo wa kubonyeza na kufyatua makombora 3,000 kuelekea Israel au kuna kitu watafanya na kuishangaza dunia. Kuna kuguswa gani kwingine...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hakuna Mbunge wa kuletea Jimbo maendeleo unlesss atumie pesa zake mwenyewe, Hizi Mindset ni za kijinga sana.

    Maendeleo ya nchi yataletwa na sera nzuri za kitaifa sio za Jimbo moja la uchaguzi au Mbubunge pale Jimboni kwake.Hizi hadaaa zina tucost sana. Hizi mindi set ndio hufanya wananchi mfano kule Vunjo walimchagua Kimei waki connect na CRDB Bank kwamba labda pesa za CRDB zitahamishiwa vunjo na raia...
  10. JamiiForums Tanzania Na hii inasikitisha sana yaani unapewa adhabu kwa kuwa wewe umemsikiliza Mkeo

    Wakuu kuna kitu kinanitafakarisha sana yaani kila nikikaa natafakari sana. Yaani Mwanaume ni marufuku kumsikiliza mkeo hilo kosa adhabu yake ni ya milele na ilikua imeanzishwa na Muumba Mwenyewe lakini ukiangalia kwa undani utagundua Mwanaume Adamu alionewa tu hakua na kosa lolote. Hivi ebu...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
  13. JamiiForums Tanzania Pongezi sana kwenu Watanzania wa X( Twitter), Machawa wameanza kutoa milio. Endeleeni kufinya hivyo hivyo

    Leo account maarufu ya Kiongozi wa machawa waliopo X ( Twitter) imeanza kutoa milio baada ya Watanzania wapenda haki wa X (Twitter) kuanza kuzi tagg account za wafadhili wa Tanzania na mashirika ya Kimataifa (Washirika wa Maendeleo) kuhusu udhalimu unaofanywa na Serikali ya Samia dhidi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Acha nitulie sasa nimalizie series yangu kali sana

  15. JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa Duniani safi sana Iran

    Watu Huwa wanasema malipo ni hapa hapa Duniani Kwa Sasa kati ya Gaza na Israel hakuna anayemchaka mweziwe Na ndio kwanza mashambulizi Yana wiki Moja ikifika mwezi mmoja sijui itakuwaje
  16. JamiiForums Tanzania Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana mkipewa kazi fanyeni kazi. Inaumiza sana mnapewa kazi mnalipua kazi

    Sina muda wa Salamu. Nina hasira kichizi. Wadau kuna hawa vijana wanaoingia na kutoka VETA huku mtaani wanafungua showroom zao za aluminium kufanya ufundi majumbani kufunga vioo kwenye madirisha. Vijana mnapopewa kazi fanyeni kazi msilete utoto utoto na ujanja ujanja kwenye kazi ukipewa kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Mwisho wake ni hatari Sana

    Habari wana JF. Kumekuwa na Threads nyingi Sana zinazo husu masuala ya vita Kama Ukraine na Russia, Gaza na Israel n.k. hivi Sasa Kuna vita vinaendelea kati ya Israel na Iran nitaelezea kidogo nini naona katika vita hii. Kwanza kabisa naomba nielezee jambo moja ili iwe rahisi kunielewa ninapo...
  19. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo madogo sana kwa wengine, ila kwangu ni magumu sana kiasi cha kushindwa kuyafanya au kushiriki kabisa

    1- Kwenda sokoni kununua bidhaa za nyumbani. Kwangu hili jambo nigum sana kwasababu nashindwa kufanya mamuzi sahihi. hii nibaada ya kundi kubwa la wafanya biashara mmoja baada ya mwingine kua kwenye tabiri yenye matarajio kwamba pesa yangu mimi mteja niyeye mwenye kustahiri kuipata kuliko...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mikoa au wilaya ambayo waislamu ni wengi kuna ustaarabu mwingi sana? No vibaka,wizi,mauaji n.k

    Nimejiuliza sana Aisee sijui kwanini mikoa Mingi ambayo waislamu ni wengi imestaarabika sana kuzidi ile mikoa ambayo ni dini nyingine ndiyo wengi? Mikoa mingi ambayo waislamu ni wengi kuna vitendo vichache au hamna vya vibaka,wizi,ujambazi l,mauaji ya wanandoa au ndugu hamna kabisa Aisee na watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…