The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa
Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo
Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada...
Niaje niaje.............irani huko Amezika majenerali na wanasayansi zaidi ya 60..........kwenye vita vya siku 12 tu..........hakika huu ni ushindi kwa bibi netanyahu kwenda kwa Israel bila kikomo.........wale wa Iran wa bonyokwa ,kipanda uso,jambiani kaburi moja ,itigi na mwana kelekwe karibuni...
Familia nyingi za kiafrika watu huwa wabinafsi sana likija suala la kimaslahi. Utu, huruma na undugu huwatoka kabisa na kuendekeza dhulma baina ya wanandugu.
Sasa usiombe iwe ni mirathi ndio kabisaa hata iwe mmezaliwa baba mmoja mama mmoja bado kuna ubinafsi wa kuzulumiana wenyewe kwa wenyewe...
Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes.
Cha kushangaza...
Ukiangalia kwenye jicho la tatu bunge kuvunjwa August 3 mwaka huu
Misimamo yako isiyoyumba Sasa imeanza kuzaa matunda
Mwanzo tuliwaambia wakashupaza shingo
Sasa naona no reform no Election imewaingia na wametupa taulo.
Ni matunda ya Tundu Lissu kusimama kidete, kukubali kuteseka kwa sababu...
Watu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi?
Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga..
Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:-
1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa...
Yani huduma za kibongo huwa zinaanza vizuri ila baada ya muda basi customer care inakuwa zero.
Mimi ni mtumiaji wa Yas Fiber kwa zaidi ya miezi 8, na nilifungua ahdi thread humu naisifia kweli.
Kuna muda mwanzo mwanzo ilisumbua nikawa nawapigia wanaahidi kuja hawaji, yani wakishakufungia basi...
Wanabodi,
Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
Ukweli Mchungu ni Kwamba....
Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako kina mzizi mmoja: NAMBA.
Na cha kushangaza zaidi?
Namba hazidanganyi. Hazisahau. Hazisamehi.
Kipato chako ni namba
Matumizi yako ni namba
Akaunti yako ya benki ni namba
Uwekezaji wako ni namba.
Na hata kufeli kwako —...
Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini uwezo wake umeishia hapa hawezi tena kuibadili timu hii naomba atafutwe kocha mwenye uwezo wa mbinu...
Wakuu nisizunguke sana, naomba mawazo yenu namna naweza kupata mtaji nahitaji Million 5.5 niweze ifanya kama mtaji wa biashara ila sijui naanzia wapi kwa sababu sina assets wala sikopesheki.
Naamini nikipata kiasi hiko kitakuwa game changer kwenye maisha yangu.
Mimi ni mtu mzima niliye kwenye...
Katika maisha yako jitahidi kuweka mipaka usiruhusu watu wakujue sana , hata urafiki uchoree mstari uwe na mipaka yake kuna maeneo usivuke. Kuna nguvu kwenye kuwa msiri,
Adui anayekufahamu ana nguvu kuliko asiyekujua, adui asiyekujua hajui aanzie wapi kukushambulia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.