sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wapo wanaofanikiwa lakini,99% ,huangukia pabaya sana!

    Mwanamke!!!!…maisha mazuri hayaji kwa kupanua panua miguu yako hovyo hovyo… Umalaya huleta nuksi sana kwenye maisha..wengi wenu hamjui tuu.. Yaani kwanza Malaya hanaga haiba ya kike..by 100%, hana upendo (True love) yaani hanaga haya wala aibu.. Umalaya huleta mental health…problem, mwanamke...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Biashara haramu zina hela nyingi sana.

    madawa ya kulevya...Bangi,unga Uuzaji wa viungo vya binadamu Figo,bandama, uuzaji wa silaha kwa vikundi vya waasi, Usafirishaji wa binadamu kwa ahadi ya kwenda kuwapatia maisha mazuri kumbe ni kwenda kuwauza, Kuforge bidhaa fake kama pombe kali, electronics devices...nk Hapo hela imelala ya...
  4. fact only

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga sana.

    Hellow wana JF. Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana. Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania US kuichukua Greenland ina maana sasa hivi US ana jilinda katika kila angle ya dunia inayomzunguka

    Akiwa alasska ana tazama west europe. Akiwa maina land ana mtazama south na central america na east asia. Akiwa green land anatazama east europe.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Eneo la Iduda, Mbeya tunateseka na tatizo la kukatika kwa Umeme

    Wananchi wa eneo la Iduda, Jiji la Mbeya, hususan maeneo yanayozunguka Shule za Msingi na Sekondari Iduda, tunakabiliwa na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme mara kwa mara. Kwa wastani, tunapata umeme kwa takribani siku nne pekee kati ya siku saba za wiki. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ukubalike Arusha, deal na Warangi, Wambulu na Wanyaturu; utamaduni wa jiji una influence yao kubwa sana hadi street life

    Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana. Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati. Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu. Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

    Bora ata hao Gymkhana, umasikini wako ndio utafanya ukakosa u-member, Hawa Yatch Club wanajiona special sana. Yaani membership hupati ata iweje.
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku ndege ya abiria kukatiza eneo hili la Anga ya morogoro

    Ni nadra sana kukuta ndege isiyo ya kijeshi kuruka eneo hili kutokana na ukweli kwamba ni eneo la jeshi hivyo kuruka hapa kwenye hii boundary zone pasipo ruhusa jwtz komandi ya Anga hawana budi kuwatungua🫵🫵😎. Picha hii hapa inajieleza.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  11. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mtiririko wa gundu unavyokufikia kupelekea utafutaji na amani ya maisha yako kuwa wa tabu sana

    Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana, Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri wao wa giza. Sasa unakuta hawa mabinti wana kuwa carriers wa roho nzito na giza ndani yao...
  12. iNine9

    JamiiForums Tanzania SETTINGS MUHIMU SANA KWA WATUMIAJI WA ROUTERS ZA 5G-CPE au 4G ZA UNLIMITED HUSUSANI WATUMIAJI WA AIRTEL NA MITANDAO MINGINE PIA..

    Habari zenu wakuu, hope mko poa kabisa.. Leo imenibidi nifanye ku share jambo muhimu sana kwetu hasa mnaoteseka na hizi Routers za ISPs wetu hawa wa bongo kwa muda mrefu sana na mawakala wao wengi hawana uelewa mkubwa sana juu ya hili tatizo so inabidi mhusika ndo ufanye configurations mwenyewe...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania ACHENI KABSA KUWASIKILIZA WANAHARAKATI UCHWARA, WANAWAPOTOSHA SANA 📌

    MARA nyingi sana imekuwa ni kawaida yetu kuwaonya na kuwapa maangalizo juu ya miendendo na porojo za wanaharakati lakini kuna muda mnakuwa vichwa vigumu sana kuelewa na kusikiliza .. Inawezekana ni kwa sababu ya ujinga tu au kutokuelewa LAKINI tumejitahidi sana kuwaambia kama mnawaamini maneno...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa Chadema katika picha ya pamoja baada ya kikao cha leo

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Godbless Lema, Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Mzee; na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Dkt.Rugemeleza Nshala baada ya kikao...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mahinyila: Usaliti unaliangamiza sana Taifa kuliko CHADEMA

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema usaliti unaangamiza taifa zaidi, akisema baadhi ya Watanzania waliowahi kuaminiwa katika nafasi za umma wamewasaliti wananchi. Mahinyila amesema CHADEMA ni chama imara chenye misingi yake, hivyo uwepo wa wasaliti...
  16. N

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 Special Thread, Karibu utoe maoni yako

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Nini kifanywe au kiachwe (kisifanywe) ili mashindano haya yafane? Karibu sana utoe maoni yako Mtanzania mwenzangu
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Kenya vina jisimamia kwa uhuru sana sio kama vya Tanzania hasa pale Jalalani

    Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Sayansi na Teknolojia kime kataa kuwa Mbunge anaitwa Barasa sio mhitimu wa pale. Hii Autonomy yao vyuo vikuu vya Kenya nimeipenda. Je ingekuwa hapa kwetu mbunge au kiongozi amefoji elimu yake kwenye CV vingeweza kuweka wazi ?
  18. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania MWALIM WA PHYSICS NA MATHEMATICS(COMPETENT) ANAHITAJIKA HARAKA SANA.

    1. Nahitaji Mwalim wa Physics na Mathematics anayeweza kufundisha NECTA SYLLABUS Form 1-6 KWA UBORA WA HALI YA JUU NA AKAELEWEKA. 2. Vile vile nahitaji Fundi Umeme mwenye vyeti vya DIPLOMA AU CERTIFICATE (NACTE) AU VETA. NA EXPERIENCE YA KUFANYA KAZI Kwenye majengo marefu na umeme mkubwa...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wadada/mama mnaoendesha pikipiki Tafadharini sana zingatieni Sheria za barabarani.

    Kuna wimbi kubwa sana la wadada na wamama kuendesha pikipiki hizi za kuchaji kati kati ya miji. Kwangu Mimi naona ni jambo jema lakini wengi wenu hamzingatii kabisa Sheria za barabarani na Nina uhakika hamzijui kabisa. Nimeshuhudia tukio Moja la dada mmoja kugongwa na gari akikatiza pasina...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Saudi arabia ardhi ya Tawhid inaenda kuomba msaada kwa israel wasaidiwe ulinzi wa MECCA na madina. ni aibu kubwa sana kwa Allah na Quran

Back
Top Bottom