sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania JF ina watu wa ajabu sana.

    Kuna watu wanapita JF unabaki kujiuliza ni watu wa aina gani. Kuna huyu mwamba alitokea. Kila akianzisha uzi anaanza na "Mimi ni yule kijana ambaye nimetahiriwa hivi karibuni😀😀" sijui alikuwa akiwaza nini na sijui alipotelea wapi yule mwamba.
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa za masikini zinapitia changamoto nyingi sana, kuanzia nafasi ndani ya nyumba.

    Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake. Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

    Wanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea. Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la kumaliza mvutano wa muundo wa tume huru ya uchaguzi-CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo zingatieni sana

    "Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu" Mithali 18:18 Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani. Mara zote hizi lawama...
  5. JamiiForums Tanzania Mashindano ya Cheka Tu Comedy search yameendeshwa kwa weledi sana.

    Haya mashindano yamekuwa mazuri sana. Na nafikiri sekta ya Stand up comedy Tanzania ndiyo imezaliwa. Washiriki karibu wote walikuwa vizuri sana tofauti na wakina Pilipili, Idrisa na Bukuku. Hawa wanajua. Na hawa washindi waliopatikana ni wanajua hasa. Hata kuna wengine walitolewa lakini bado...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo mnakwama wapi kwenye miradi, hata barabara ya Kibaha mliyotuimbia sana humu nayo imebuma kisa fedha

    Mbona hamkukaa mfanye mahesabu ya kueleweka ili mkamilishe hata mradi mmoja tu, mlikurupuka sana kuanzisha miradi kote kote na kuongea ongea sana, kuna kitu kinaitwa "Upembuzi yakinifu", sio unataka ufanye kila kitu. ================================== Dar es Salaam. Licha ya umuhimu wake kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wale mnaosubiria Matokeo ya leo ya Yanga SC na Geita Gold huku mkijua Kocha wao Msaidizi Fred Minziro ni Yanga SC lia lia poleni sana

    Kocha Fred Minziro huyu huyu ambaye wakati akifundisha Ruvu Shooting na kuna Kipindi alifundisha Mbao FC na kila alipocheza na Yanga SC alikuwa anapanga Kikosi dhaifu na akifungwa anacheka na Kufurahia na kama akiona kuna Mchezaji ana Usimba au anaibania sana Yanga SC hampangi au anamtoa haraka...
  8. JamiiForums Tanzania Title gani ya kitabu, novel au hadithi linayokuvutia sana?

    Habari za wikiendi.. Kama nilivyouliza hapo juu ni jina lipi la hadithi,kitabu au novel huwa linakuvutia sana au unalipenda. Mimi napenda sana Why men love bitches. Manipulated man. Tutarudi na roho zetu. Tai kwenye mzoga. Zubaa uzikwe. Ongezea na zako zingine
  9. JamiiForums Tanzania Wasomi Mbona Mnalia Sana Ajira Za Majeshi?

    Ee Bwana, Mtakatifu Mungu wetu sifa na utukufu ni Mali Yako nami kwa unyenyekevu mkubwa navirejesha kwako Sasa na hata Milele. Ndugu watanzania wenzangu, hapa karibuni zimetolewa nafasi nyingi za ajira katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kuanzia Jeshi la Polisi Tanzania chini ya Afande...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini upinzani Tanzania Wana rasilimali watu wachache sana kuliko CCM!?

    Ni wazi kwamba ili ushike dola na kuongoza bila wasiwasi unahitaji kuwa na rasilimali watu ya kutosha. Ila kwa upande wa wapinzani naona Wana watu wachache wenye uwezo wa kiuongozi kuliko CCM kwenye hazina yao. Nadhani ndiyo sababu hata inawawia ngumu kubadilisha viongozi wao hasa wakuu...
  11. JamiiForums Tanzania Elimu ya mahusiano sio jambo la muhimu sana

    Jamii yetu imechukulia mahusiano ya kimapenzi kuwa ni kitu kibaya Sana na hata tumelelewa kuamini ya kuwa mapenzi au hisia za kimapenzi ni kosa la jinai. Mfano mzuri ni mashuleni, ukiwa na mahusiano na mwanafunzi mwenzio inakuwa kosa kuu ambalo unaweza hata kufukuzwa shule. Sisemi kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kauli "Maisha yenyewe mafupi" huwa ni mabaya

    "Maisha yenyewe mafupi" Sio ajabu kujibiwa hivyo kila Ukileta thread za kuonyesha madhara ya vitu mbalimbali vinavyoharibu na kudhoofisha miili yetu. Tumekuwa watu wakujifariji sana Lakini pale yakikutokea yakukutokea ndo utakapoona umuhimu wa maisha na afya kwa ujumla. Kwa kifupi matokeo ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya rais Samia yafanya makubwa jimboni Chalinze, mbunge na wananchi washukuru sana

    Serikali ya JMT leo imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais wa JMT Mh. Samiah Suluhu Hassan kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana

    Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu. Ni hivi, "CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana". Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Swali dogo lakini kubwa sana

    Kuwa mkweli hivi uli survive vipi kile kipindi unemaliza chuo,umekaa nyumbani Kama miaka miwili hivi haujapata ishu ya maana, na hata vitu vyako vidogo ulivokua unafanya vilifeli. Ulifanyanye ilipofika kile kipindi hata wale wanao wa karibu walianza kukukataa kuona kwamba utakua mzigo...
  16. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa. Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
  17. F

    JamiiForums Tanzania January Makamba hili la Uteuzi wa Bodi ya TANESCO limekufunua mapema sana!!!

    Ndugu zangu Watanzania penye ukweli lazima tuseme hii Nchi ni yetu sote si ya watu fulani tu na siyo kwamba wengine wamekuwa Watanzania by default! Nimeona nitoe mtazamo wangu ambao ninao kuhusu huu uteuzi wa January Makamba ktk Bodi ya TANESCO. Kwanza Watanzania tukumbuke kuwa Wizara ya...
  18. JamiiForums Tanzania Haaland anatisha sana

    At 21, Erling Haaland has already scored more Champions League goals than: Ronaldo 🇧🇷 Michael Owen 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Francesco Totti 🇮🇹 Fernando Torres 🇪🇸 Nicolas Anelka 🇫🇷 Harry Kane 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 David Villa 🇪🇸 Ronaldinho 🇧🇷 Adriano 🇧🇷 Ronaldinho 🇧🇷 Zinedine Zidane 🇫🇷 Romario 🇧🇷 Huyu dogo hapo bado...
  19. JamiiForums Tanzania Saddam Hussein: Siri ya toleo la Qur'an lililoandikwa kwa 'lita 24 za damu' ya rais wa zamani wa Iraq- Dunia hii ina mambo mengi sana

    Mwishoni mwa miaka ya 1990, Saddam Hussein alimwendea mpiga picha akiwa na ombi la kushangaza. Saddam Hussein, ambaye aliingia madarakani mnamo mwaka 1979, alibakia kuwa rais wa Iraq hadi uvamizi ulioongozwa na Marekani mnamo 2003. Alitaka kutengeneza nakala ya Kitabu kitakatifu cha Qur'an kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwamko wa Chanjo ya Covid-19 ni mdogo sana

    Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Boniphace Marwa amesema Mkoa huo haufanyi vizuri katika mapokeo ya Chanjo licha ya Maambukizi kuwepo pamoja na Vifo vya Wagonjwa. Dkt. Marwa amesema sababu zinazopelekea mwamko mdogo wa Wananchi ni pamoja na sababu za kijamii na Elimu ya Chanjo kutowafikia Watu wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…