sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mtu wa ajabu sana

    Sijawahi kumuona mwanasiasa aliehudumu ktk siasa miaka 40 hafla kukosa uongozi akakaa kimya Kama Mbowe. Sio Tanzania, China au hata Japan
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za UTT ni mbaya sana siku hizi

    Huduma za UTT ni mbaya sana hivi sasa. Watu hawawazi access funds zao wana kuwekeza kwa uaminifu sababu App haifanyi kazi na tukipiga simu tunaambiwa tutarejewa bila mrejesho. Ssa sisi ni wawekezaji au ombaomba?
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Inachekesha sana Trump kashindwa kupambana na waandamanaji wanaodai haki eti yupo na Wairan

    Inachekesha sana Rais Trump. Kashindwa kuwapa haki wamarekani ambao wanafanya maandamano makubwa katika miji ya Marekani baada utawala wa Trump kuwakandamiza. Trump anasema anawalinda waandamaji wa Iran😀 https://x.com/haiderali099/status/2011674805972701583?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Rais aliongea kwa uchungu sana watu kubambikiwa kesi

    Peter Madeleka, amekosoa utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na jeshi la polisi, akidai kuwa mchakato wa utoaji haki nchini umejaa migongano ya kisheria na matukio yanayovunja utu wa binadamu. Soma: PostGE2025 - Rais Samia: Huko Mahabusu kuna watu hawana hatia, wanafungwa kwa kesi ya...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tukio hili niliamini kama nchi bado tuna safari ndefu sana

    Hili Tukio ndio niliamini Hii nchi tuna safari ndefu sana 🤣. Siasa za Kijinga sana hizi, Imagine ilikua Trending sana, Ikawa na Bango la kimkakati kabisa.
  6. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka sana wana JamiiForums baada ya kupotea kwa muda kwenda ujinini

    Habari wana zengo wakubwa kwa wadogo, hatimae nimerejea tena nilikuwa nimepigwa PIN akaunti yangu inagoma kuingia JamiiForums nikaenda ujinini sasa nimerudi na mambo mapya na makubwa na hatimaye nina habari nzuri kwenu. Je, kuna mpya gani huku.
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hizi kauli za Samia zinanichanganya sana. Je, nijinyonge kwa Ajili ya nchi yangu ndo mjue naipenda?

    Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu? Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwandambo: Niliwekwa kwenye kituo hakijatumika mwaka mzima, kili kuwa na wadudu wengi sana

    Mwandambo Clemence anasimulia namna alivyokamatwa na Jeshi la Polisi Jijini Mbeya.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe

    Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe mpaka October 2030. Ili uchumi ukue vizuri sana, na utalii ukue vizuri sana, na wananchi wapate vipato vizuri sana. Inaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu. Kuna baadhi ya agents...
  10. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Hili ni pishi letu la jana, kwasababu mlisema sana mchanganyiko wa maini +bamia+na nyanya chungu

  11. A

    JamiiForums Tanzania Moyo unaniuma sana, nahisi nitapata ugonjwa wa moyo. Nimekata tamaa ya maisha, natamani Mungu anichukue

    Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia, Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo! Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu. Maisha yameniumiza mno.😞 ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kuna brand za nguo zilitikisa sana aisee!

    Sijui ata brand izi zilipotelea wapi. Ila enzi zake zilisumbua sana. Phat Farm: Hawa walikua na nguo, na viatu. ((P)) FUBU DADA: Hawa majeans yao yalikua na mifuko ya nyuma mikubwa, kaunta buku haukunji. G-Unit: Hii ilikua clothing line ya wakina 50 Cent na wenzie. Sean John: Nadhani...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Watu wa kanda ya ziwa, hiki kinywaji kwanini mnakipenda sana?

    Kina siri gani sana, Kahama ukikutana na vijana wa kiume watano basi wanne wana hiki kinywaji Nini siri yake?
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tatizo la magonjwa ya akili duniani limekuwa kubwa sana. Dalili moja ya ugonjwa wa akili ni kutaka kusikia shari kila muda.

    Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana. Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Sylabus ilikuwa sawa na kwao ulaya, communists wametudanganya sana, yani!

    Kama ni kweli ''wakoloni '' walikuwa ni wabaya kiihivyo kama communists walivyotuminisha, how is that elimu ambayo ilitolewa kwetu ndiyo ile ile iliyotolewa ulaya kwao wazungu waliotutawala? i mean, tulikuwa tunafanya mtihani mmoja cambridge same sylabus, kwa maana nyingine high school graduate...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

    Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC. Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake. Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?

    Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya. Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania ICC mbona wanachelewa sana?

    Hii Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu(ICC), mbona inachukua muda mrefu sana hata kutoa taarifa ya wapi wamefikia au ni kinaendelea? Jamani tufanyieni wepesi basi kabla machungu hayajapoa maana ni juzi tu tumetoneshwa kidonda kwa kauli za kiburi cha hali ya juu.
  19. Humble__

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Miundombinu ya Vyoo na majitaka Majengo ya UDOM kitivo cha Elimu (COED) ni hatarishi kwa wanafunzi

    Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne Pia...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu

    Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu. Kila mmoja anajua kuwa wao ni njaa wameokotwa okotwa huko ila wenyewe wapo serious wakijitoa akili kwamba hatujui kuwa ni wapumbavu walio okotwa huko. Hawana elimu, hawana...
Back
Top Bottom