The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...
Si kweli eti utawala huu unatenda haki na kufata Misingi ya kisheria ndio maana Sabaya kafungwa. La hasha.
Kuna Wabunge wapo bungeni Leo bila kuwa na chama. Na wameingia kimizengwe mizengwe. Serikali iko kimya akuna anayeshugulika na uvunjifu huo wa Katiba.
Sheria na Katiba inatambua haki ya...
Kuna hii video nimepatana nayo huko youtube nakuambia imeniwacha hoi, nimecheka kweli. Siasa ya Kenya kweli ina ucheshi sana. Halafu huyu jamaa aliyeunda hii video namvulia kofia. Hongera kwake.
Haka ni katatizo kadogo sana ambako wizara inajua mzizi wake ni nini, kama hawajui basi nawajuza.
Kwanza hili tatizo huwezi kulisikia kwenye hospitali zifuatazo, kama lipo basi ni kwa udogo sana: Hospitali za Wilaya, Mikoa, Vituo vya Afya, Hospitali binafsi.
Hili tatizo utalikuta hospitali...
Jiko la deki 3 ,trey 9 linauzwa, kwa wenye nia ya kufungua bakery ama baking zozote ni jiko zuri sana ni jipya halijawahi kutumiwa, bei mil 5 ,tuwasiliane no.0777482509.karibuni ulimwengu wa wajasiriamali.
Watu wa aina hii hufanya kazi kwa majungu na kusengenyana.
Huwa hawajiamini na mara nyingi hutegemea majungu ili kumjua mtu.
Mara nyingi hata uwezo wao wa kupiga mzigo/ perfomance ni mdogo bali hutegemea majungu ili kusurvavive.
Hupenda sana kuona watu wanafarakana makazini.
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza.
1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi.
2. Asha...
Tumshukuru Mungu kwa pumzi hii na riziki anazotupatia.
Mnamo tarehe 28 September niliweka Uzi hapa JF nikimuulizia na kumtafuta mwanachama maarufu Bw. GENTAMYCINE ambaye happy awali sikuwahi kumfahamu kwa lolote lakini namna alivyoongelewa na wanajukwaa ikanibidi nitie muhuri katika ulimwengu...
Kila tunaambiwa mtandao uko chini tuwe na subira. Wagonjwa wamekaa kwenye foleni tangu saa mbili asubuhi.
Haya mambo ya mitandao mngeachana nayo tu naona hamkuwa tayari.
Kuanzia mapokezi, kwa daktari, pharmacy ni tabu tupu.
Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza.
Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo?
Mnajua kwamba kuna graduates wanaendesha bodaboda? Mnajua kuwa form six leavers wanauza matunda stendi na wengine ni vibarua wa...
"Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri umavyotumia.
Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi. Piga *149*01#>8 - Huduma Xtra> Matumizi Bila Bando."
Huu ujumbe wenu unakera mno. Yaani mnatuma ujumbe saa 7 z usiku mara saa 8 usiku mara saa 9 usiku mara saa 10 alfajiri yaani...
Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine?
Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo.
Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi?
Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji...
Kwenye simu yangu sina mix hata moja ya dj wa kitanzania,sijawahi kupata.
Madj maarufu wa kenya na wakali hawa hapa.
1. Dj Prince
2. Dj Perez
3. Dj Shinsk
4. Dj Layta
Huwezi kukuta mtanzania ana mix yeyote ulakosaajina ya hawa jamaa. Ni wakali sana. Kuna jamaa mmoja anajiita mc fullstop...
Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana jimbo wake,mbunge oyee
Jamaa anajali sana , ana utu kupita kiasi
Habari za asubuhi wana..
Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari.
Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge songe!!atakupiga piga au kukuskuma huku mkipiga stori kawaida tuu..
Mwingine unaongea nae unaona kama anakurusha...
Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo.
Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri walioucheza leo na hadi kutupa Ushindi na kuna Kitu nimegundua kuwa ukitaka Taifa Stars ishinde basi...
Kitu pekee ambacho ninajifunza katika hii dunia ni kwamba kila nifanyalo ni lazima lipite, itakua "ilishakuwa". Kiufupi ili uendelee kufurahia maisha katika hii dunia tendwa wema wenzako, tenda haki, jiepushe na arrogance (kibri na majivuno).
Paul Makonda aliyekabidhiwa mkoa mkubwa wenye...