sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana GSM Yanga SC kwa kuamua kuwapokea Mbeya City FC

    Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu wa Kuchukua Pesa za GSM Yanga SC na kuwapa Wachezaji wenzako wa Mbeya City FC ili Jumamosi mlegeze na...
  2. JamiiForums Tanzania First love...

    Ni hisia ya pekee sana pale unapo tambua kuwa umependa kwa mara ya kwanza, wengine hupenda ukubwani na wengine katika kipindi cha makuzi yao hasa wanapo balehe. Niwapongeze wote mlio fanikisha kuwapata wapenzi wenu wa kwanza kabisa mlio wapenda, kwa upande wangu mimi haya ndio yaliyonikuta kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mama ni cheo kikubwa sana

    Familia inasubiri chakula mama anapika na ananyonyesha. Nani kama mama.
  4. JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana, kwa utajiri wa mali na biashara anazofanya Mbowe ni wa kuchangiwa? Au ndio kuumizana tu Kichademachadema?

    Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai. Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili? Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia...
  5. JamiiForums Tanzania Siasa inahitaji sana akili: Angalia alichofanya Rais Obama baada ya kuingiliwa alivyokuwa anatoa hotuba yake

    Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Siuku hizi Rais wetu amekuwa na sura ya ukali sana!

    Bahati mbaya nimeshindwa kuziweka picha zake hapa. Lakini nimechunguza tangu Ndugai amkorofishw hacheki cheki tena na amevaa sura ya ukali. Ningeshauri asiwe hivyo tunataka awe na sura ya ucheshi angalau! Kuongoza kupo hiyo hata usiotegemea wakudissapoint inaweza ikatokea wakakufanyia hivyo so...
  7. JamiiForums Tanzania Mbona gharama za kununua nyumba Tanzania zipo juu sana?

    Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwandair hujaribu sana, siku zote wapo kwenye kumi bora Afrika, licha ya kainchi kenyewe saizi ya mkoa

    Hapa inabidi kuwasifia Wanyarwanda, kainchi kadogo mithili ya mkoa lakini kanalambisha vumbi majitu makubwa Afrika, Rwandair imeshikilia namba saba, huku Kenya Airways ikiwa namba tatu, Ethiopia wameongoza. =================== Skytrax has revealed the World's Top 100 Airlines for 2021 and...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ya Wakili Kidando, Luteni Urio, Katiba ya Mbowe na siku ya kuzaliwa yametufariji sana juma hili

    Mambo ni mengi kweli kweli. Juma hili bhana imekuwa na furaha na masikitiko sana kwa watu wengi kati yetu. Kwa kifupi ninamwonea huruma sana Wakili Kidando na Timu yake kwani matarajio yao kushinda hii kesi KWA HAKI ninaamini yamefifia sana. May be Moses Lijenje ndiye shahidi tu tunayemtegemea...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada Wataalamu wa Kiswahili, matumizi ya haya maneno ambayo hunichanganya

    Lipi ni neno sahihi kwa matumizi. Maneno kama Yuko na Yupo, Wapo na Wako, Sipo na Siko, Tupo na Tuko, Uko na Upo. Baba yuko nyumbani au Baba yupo nyumbani. Kesho sipo nitakwenda Moshi au Kesho siko nitakwenda Moshi. Leo tupo Kanisa la Arusha Mjini au Leo tuko Kanisa la Arusha Mjini. Kaka...
  11. JamiiForums Tanzania January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

    Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine. Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza...
  12. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana mtuhumiwa kujinyonga mahabusu au gerezani

    Poleni na majukumu naomba nigusie machache kuhusu hili tukio la mtuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara wa madini kudaiwa kujinyonga akiwa mahabusu. Mahabusu ni chumba au jengo kama bweni ambalo mara nyingi linakua na madirisha mawili kwa juu na mlango mmoja wa chuma mengine mbao...
  13. JamiiForums Tanzania Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

    Niko kijijini kabisa huku ndanindani. Nimekuja kumzika bibi yangu aliye fariki akiwa na miaka 97 lakini akiwa bado mrembo na nguvu zake. Kilichonuogopesha na kunishangaza, mimi wakati nakua, tulikiwa hatujui Kiswahili, tunabonga tu lugha yetu ya asili, huku tukisimuliana hadithi za Masala...
  14. JamiiForums Tanzania Tumuombee sana Profesa J

    Anaumwa sana, kalazwa ICU, MNH inasemekana ana shida ya figo..... Get well Soon Prof J.
  15. JamiiForums Tanzania Watu waliosoma masuala ya afya apply hii kazi nzuri sana - Swahili Medical Content Manager (f/m/x)

    ABOUT US At Ada, we envision a world where everyone has access to the healthcare they need. In one of the biggest challenges facing the world, we pioneered a new form of artificial intelligence, combining medical insurance knowledge with bespoke reasoning technology, to empower millions of...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

    Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye. Mkuu huyo wa nchi amesema hayo leo Alhamishi Januari 27, 2022 wakati wa mahojiano maalumu yaliyorushwa na Shirika la...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wanasoma sana ili walipwe mishahara mikubwa

    Watu wanasoma sana ili walipwe mishahara mikubwa. Wewe unasemaje katika hili. Reference: Mshahara wa darasa la saba Mshahara wa form four Mshahara wa certificate Mshahara wa diploma Mshahara wa degree Mshahara wa masters Mshahara wa PhD.
  18. JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC. Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki? Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF UPDATE Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba. 17” Kagera Sugar 0...
  19. JamiiForums Tanzania Peter Banda uwezo wa kawaida sana

    Yupo slow sana, back pass nyingi labda ball control anajitahidi ila kiufupi hatishi yani hafiki hata kwa Tepsi Evans (19) au Denis nkane.
  20. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe. Chanzo: EastAfricaTv...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…