sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Maafisa wa Uvuvi wanatunyanyasa sana Wauza dagaa wa Kirumba Kivukoni

    Maafisa ya Maliasili na Uvuvi walioko Mwanza wanatunyanyasa sana sisi Wafanyabiashara wa dagaa, unakuta wanakuja pale Kirumba Kivukoni wanakamata mizigo hovyohovyo, hata kama una kibali wao wanakukamata tu. Baada yah apo wanakutafutia kosa na kuanza kuomba rushwa wakidanganya eti ni fine na...
  2. JamiiForums Tanzania Watanganyika wana akili sana. Wamemkataa Jesca Magufuli baada ya kutumiwa na mafisadi wa CCM kama chambo

    CCM mtandao ni wajinga na hawana akili za kuweza kuwadanganya Watanganyika. Walidhani Jesca Magufuli atakuwa bait ili wakubalike kwa Watanganyika. Yuko wapi Humphrey Polepole?
  3. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa hatari sana humu

    Wanamuita Steven Joel Ntamusano Huyu jamaa kweli anastahili kuitwa Great thinker nimemuona kwenye mijadala mingi anayoshiriki yeye ndo huwa anaibuka kidedea bila matusi, bila kashfa yaani unaeleweshwa na unatoka umeelewa kongole sana Mkuu endelea kutupa Elimu
  4. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa sana inanyesha Dar sasa hivi

    Nipo mbezi Louis aisee hii mvua inayonyesha ni balaa
  5. JamiiForums Tanzania Wakati wa Kujitafuta, Epuka Sana Maneno Yanayokupa Faraja

    Kuna kipindi maishani ambacho hakihitaji kubembelezwa wala kulainishwa. Ni kipindi ambacho mtu anakuwa katikati ya mapambano ya kujenga maisha yake upya. Hapa bado hujafika, bado hujaonekana, bado huna matokeo yanayoleta pongezi. Upo kwenye hatua ya kujitafuta - na hii ni vita halisi. Vita ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE Dar kinachelewesha sana kutoa vyeti kwa Wahitimu wao

    Kero yangu, kijana wangu amehitimu chuo Mwaka 2025 katika Chuo cha CBE Kampasi ya Dar, Kozi ya Business Administration lakini mpaka leo Februari 2026 ameenda chuo kufuatilia cheti amejibiwa mpaka mwezi wa tatu, kabla ya hapo waliambiwa mpaka Februari 2026. Chuo amegraduate 02/12/2025, vyuo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

    Habari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama. Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba Mawili, sehemu inaitwa Bwawani. Ni mitaa ambayo niliwahi kuishi pia. Baraka alihamia huko tangu...
  8. JamiiForums Tanzania Kuelekea derby kuna penalty or red card...timu ziwe makini sana kwenye hili

    Wale mliokaribu wajuzeni wachezaji mchezo wa derby kkutakuwa na red card ama penalty Wacheze kwa adabu na heshima sana refa atakaekuwepo n kama amekuwa chambo mistake za kadi hatorembesha Hali hii italeta sitonfahamu kwa dk kadhaa hata hivyo mpira utaendelea na kadhaa kuondoka na simanzi...
  9. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia kabisa Elias Kihombo yupo overrated, anakuzwa na alijikuza mno ila alikuwa wa kawaida sana

    Naona wiki hii huko insta kila kona stori kuu ni ya Elias Kihombo kwamba ni genius bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Binafsi mpaka sasa sielewi wanaosema jamaa ndiye genius wa muda wote hapa TZ wanatumia vigezo gani ? Jamaa O lev amepata 1 ya 14 na matokeo yake nilienda kuyachungulia ni haya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji 70m biashara yangu ya duka la vyakula imeshuka sana nifanye biashara ipi

    Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu vigae vya kuezekea Zanzibar ni nafuu? Huku bara bei kali sana 40,000?!

    Yaani kigae kimoja 40,000? Kwamba nikihitaji vigae 2,000 nalipa almost 80,000,000?! Nilitaka nimshauri huyu jamaa aagize China ila nikaona kwanini aende mbali. Mwenye kufahamu Zanzibar bei ya kigae cha bati sand coated bei gani.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kumbi za cinema na music concerts ni chache au hakuna promo?

    Ukitoa Dar ni majiji gani mengine yana kumbi za cinema atleast Kila weekend WATU wanaweza jipoza. Aya Kwa music wapi UNAWEZA sikia Kuna burudani ukiacha bar za mbagala kule atleast kama ni music ya injili au ya Dunia in a weekend tunaweza PATA burudani? Kama zipo Dar, vipi majiji mengine...
  13. JamiiForums Tanzania Kama unaona mimi ni bahili sana kwenye kutumia pesa zangu, nipe zako ntumie unavotaka

    Habari wana JF, Kuna tabia imekuwa ya kawaida siku hizi - mtu anakupangia jinsi ya kutumia pesa zako. Ukihifadhi, unasemwa ni bahili. Ukipanga bajeti, unasemwa huna moyo wa kutoa. Ukikataa matumizi yasiyo na mpango, unasemwa una roho ngumu. Lakini swali langu ni moja tu: Kama unaona mimi ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini app ya DSE inasumbua sana?

    Hii app inasumbua sana sijui imetengenezwaje -time out -server error -failed to connect to server Unaweza useme kunashida ya internet lakini si kweli app n shida hasa kwen kurefressh na kulog in
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dharura mtoto 2yr anajoto kali sana mwili mzima amechemka sana

    Msaada bint yangu ana umri wa miaka2 usiku huu mda huu kapata joto kali sana mwili mzima kachemka haswaa .hapa nimefanya kumpa panadol nakumpaka vitunguu swaumu mwili mzima Msaada wenu wakuu wa tiba ya dharura kushusha joto uku tukisubiria kukuche kumuwahisha hospital
  16. JamiiForums Tanzania Pikipiki kali na imara sana 2026 ni Haojue express na Tvs 125

    Kama unahitaji pikipiki kwa usafiri binafsi au kubeba abiria chukua Haojue Express Plus au TVS 125 Na ukihitaji pikipiki ya kubebea mizigo shambani chukua Haojue 125 Mninga utafurahia usafiri wako, nimependekeza hizo kwasababu zifuatazo 1. Ni rahisi kuuza hata ukiwa umeitumia kwa mda mrefu 2...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

    Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

    Mwanamke ukifikisha miaka 30 bila dalili za kupata mume ndio utaelewa kwa nini Mama yako alitupilia mbali vigezo vya mwanaume wa ndoto yake na kuolewa au kuzaa na Baba yako licha ya ufupi wake. Unauliza Mwenyekiti nataka kusema nini? Wewe uko hapo unasema Mimi mwanaume ili nikubali anioe...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO NEMC na Polisi Iringa Mjini Mmelala? Bodaboda zinapiga kelele sana

    Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION. Vyombo husika vimelala?
  20. JamiiForums Tanzania Aina mpya ya utajili inayokua kwa kasi sana: DIGITAL ASSETS.

    Uchumi wa kidijitali unachangia kwa kasi ukuaji wa ajira na kipato duniani, huku matumizi ya mtandao yakiongeza fursa za biashara mtandaoni (World Bank Digital Economy Report, 2021). Swali la kujiuliza si tena: “Ni mali gani ninamiliki leo?” Bali: “Ni digital asset gani ninajenga leo ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…