sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki, Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono ilikuwa mingi hasa humu mitandaoni,nikiwamo na Mimi, Majuzi nilifanikiwa kufika Wilaya ya Malinyi...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake Mabonge zaidi ya ubonge wenyewe hawavibe lolote. Sana sana ukubwa wa hekaya la hadith.i

    Vibonge ziii! Hawa vibonge kisa vibration na miujazo wanajibutua huko road ila wakiingia parking hawana vibe Lolote. Namliza mtu weekend hii anakula mlenda hadi kero uvinza kajaa uji kila dakika chumvini huwezi kuzama na ukaibuka. Tuwe makini wala mlenda wana makusudi. Naendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Sina amani Sana kila niwapo nje ya nyumban Kwangu:Panya road wananinyima Raha sana.

    Somo hapo juu linasoma. Mimi ni Mzee na Nina familia ni kawaida kuchelewa kwangu, lakini pamoja na kui asa familia iwahi mapishi na kwa kuwa nafanya shopping ya two wiki, na maji choo na kila kitu ndani bado napata mashaka sana na hivi vishenzi a.k.a panyaroad. Kwa kawaida nchi haipaswi...
  4. JamiiForums Tanzania Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

    Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu makini sana

    Kwanza kabisa ni declare my interest, nimekuwa muumini sana na siasa za Mh, Jakaya Kikwete pamoja Ally Hassan Mwinyi. Twende kwenye point yangu ya msingi, huyu mama ana siasa za kiustaarabu sana kama alivyopitia mzee wetu Jakaya Mrisho ni watu wanaoangalia misingi ya binadamu sana. Mfano Leo...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye nyumba za kupanga mabinti wengi hutumika sana

    Katika nyumba za kupanga nimejionea mambo kadhaa ambayo yamenipa mshangao. Wadada wengi hujikuta wanaliwa na wanaume wengi kadri wanavyo hama hama nyumba. Hata mabinti wadogo nao ni wahanga wa hili. Nilipo panga kuna binti mdogo mdogo ila anapenda kupewa zawadi sana sana. Naona karibia vijana...
  7. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

    Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao. Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu...
  8. JamiiForums Tanzania Kufanana na Mdingi namna hii, poa sana !

    Beautiful!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

    Kwema waheshimiwa? Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani? NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
  10. JamiiForums Tanzania Wakati wa Awamu ya Tano tuliona Marais wengi sana wa Afrika wakija, ilikuwa mwanzo wa uimara?

    Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini. Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika. Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena. Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
  11. JamiiForums Tanzania Habari! Shedrack David From Chugastan

    Habari! Shedy David from Chugastan hapa. Nami nasema hodi Jf. Hivi ni forum gani huwa inakua active sana humu niweke kambi huko?
  12. JamiiForums Tanzania Simba na viongozi Morrison mmekosea sana kumfukuza mrudishen game ya CCM Kirumba

    Nimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii. Nawaombeni viongozi wetu tumrudishe dhidi ya Yanga ili mabeki wake wasikae na utulivu na ukizingatia Kirumba pitch yake sio smooth...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiacha jina la Mungu, ni jina gani linaongoza kutajwa sana humu JF?

    Habari wakuu Nimeijua JF mwaka 2008, nikawa nasoma kimya kimya. Mwaka 2014 nikaona nijiunge rasmi . Na kwa kuwa binafsi ni mpenzi wa kusoma makala na vitabu mnooo,maana nilifundishwa kusoma na kaka zangu kabla sijaanza darasa la kwanza!!! Hivyo nimesoma makala nyingi sana humu na kujifunza...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: Vijana ambao hawajapata mikopo ya Halmashauri pengine ni Wakenya

    Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection. Katambi acha dharau na hilo litakukosesha jimbo. === Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma, wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Audi A4 Gari Moja Ya Kichawi Sana, Twende Pamoja utanielewa

    Audi A4 ni line ya compact executive cars ambazo zimekua kwenye uzalishaji tangu 1994 huko German na Audi ambayo ni subsidiary ya Volkswagen Group, Subsidiary yani ni kama CCM na ACT hivi [Jokes] Tuendelee. . Generation zake zimekua coded B5[1994-2001], B6[2000-2006], B7[2004-2009]...
  16. JamiiForums Tanzania Siku nami nikiwa kama huyu nitafurahi sana. Nitayafanya haya ambayo kwa sasa Ni Kipengele Kweli Kweli

    huyu jamaa nilikuwa namchukia mwanzoni. kiukweli sikuwa nimezoea stories za namna hii. unajua sisi wabongo tunapenda stories za kutia huruma,manung'uniko,kukata tamaa, huzuni n.k yaani mtu akiandika nilikunywa sumu sikufa au nilitaka kunywa sumu sababu ya shida. watu watapenda sana huo uzi...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana kumbe bado Mrusi anapigana Mariupol, nilijua alimaliza mchezo kitambo

    Huyu supapawa kwa kweli hana la maana, hivi ameingiwa na nini Mrusi, mbona miaka yote tulikua tunamwogopa bure tu... KHARKIV, Ukraine — Turkey is working to negotiate an exit for the wounded Ukrainian soldiers sheltering in the bunkers of a steel plant in the port city of Mariupol, but its...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaonekana wa ajabu lakini watarejea Kigoma matajiri sana

    Unaweza kuwaita chawa,wanaa,wambeya na jina lolote fanani nalo. Picha hapo juu ni Mwijaku na Baba Levo vijana maarufu kwa sasa hapa Tanzania hasa kwenye tasnia ya sanaa. Kinachonivutia kwao ni namna wanavyoisaka shilingi pasi na kujali kuitwa majina tajwa hapo juu bali wao wanajali...
  19. JamiiForums Tanzania Chukua hii ya Yanga. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mwaka ambao Yanga wanachukua ubingwa na maisha ya neema kwa watanzania.

    Katika miaka yote ambayo Yanga huwa wanabeba ubingwa wa nchi basi huwaga kuna neema kubwa sana ya kimaisha miongoni mwa watanzania. Hata siku Yanga wakicheza na Simba halafu Yanga wakashinda mechi siku hiyo huwa inakuwa nzuri sana na yenye kwa wananchi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Daz Baba siku hizi anakunywa Sana Pombe, kaisha kweli

    Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza. Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa. Daz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…