sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mapenzi bila drama hayaendi?

    Mimi sikuwa najali sijui nani kamtafuta mwenzake, mi nikisikia nimemmis nampigia tu, i don't care who call first or often. Sasa ikafika hatua ukimwambia 'i love you' anasema sawa. Nikaona sio shida nikaanza ku "balance shobo" sasa anaanza kulalamika kua simpendi. Hivi mapenzo bila drama hayaendi?
  2. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Sasa tunaweza kukubaliana kuwa; aina ya siasa anayoifanya Rais Samia ni ya kiwango cha juu sana ambapo ni nadra sana kuiona Afrika

    Rais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’. Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe anaangalia tu matokeo ya mwisho ya michakato, bali pia uhalali wa michakato yenyewe na kutumia busara ya...
  3. okiwira

    JamiiForums Tanzania Hongera sana TAKUKURURU Wilaya ya Rungwe kama ni kweli

    Hamjachukua muda mrefu kuchukua hatua baada ya kusikia malalamiko ya baadhi ya wananchi MBEYA RUNGWE kata ya IKUTI PALE BUTONGA. Walau wenda viongozi wa kata na kijiji IKUTI RUNGWE wataamka na kutambua huu sio wakati wa kutishana bali uwajibikaji. Japo mkimaliza uchunguzi wenu kuna waamuzi...
  4. wilson nisha

    JamiiForums Tanzania Ajira ambayo Ina faida Sana japo ni Jambo jipya DEALNO1. Welcome

    Napenda kushiriki nanyi kuhusu deal no1. Ni online part time job ambayo inalipa Sana lkn issue hii ni mpya haikuwepo. Unakuwa wakala wa ku2ma orders online na kulipwa commission hapohapo ipo since 2017 japo kibongo imekuja sio mda. Capital ni kuanzia Dolla 10. Kiasi Cha kawaida sana...
  5. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya malipo Tanzania inaongeza watu kuwa wavivu makazini

    Mtu anaenda safari analipwa 250000 kwa siku lakini mtu anayekesha na kazi mahali fulani analipwa chini ya 60000. Kwa hiyo mtu anayesafiri sana ndo anafanya kazi na sijui serikali ya mama samia imechukua kigezo gani. Kwa kweli hili halijakaa sawa maana linaendekeza nchi kuwa na wavivu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Binafsi vinalipa mishahara midogo sana

    Kichwa cha habari chahusika. Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato...
  7. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi, ni vema kumwambia abiria gharama ya mzigo wake wakati anapanda basi

    Zipo baadhi ya kampuni za mabasi wahudumu wake wanakosa sifa za huduma bora ili kuepusha migogoro. Mfano kuna kampuni inaitwa Kisumapai ya Songea, kuna siku nimesafiri nimepokelewa na mhudumu aliyevaa tishet yao akaweka mzigo wangu kwenye buti. Wakati huo mkatisha tiketi wa kampuni hiyo anaona...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Niko njiapanda: Mwaka wa 3 huu nampa ahadi za uongo lakini hachoki kunihudumia

    Mimi nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali. Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa. Mwaka huu nimempa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana. Amuimbia Samia Bungeni

    Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani. Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Marafiki wasanii ni wanafiki sana na ni wa binafsi

    Kama una marafiki/rafiki msanii utakubaliana na mimi hawa jamaa ni wanafiki sana na wana ubinafsi Wao kazi yao kubwa kukutumia links za kazo zao uwasaidie kushare na kuview ili waingize pesa na wanakurushia picha uwapost ila wao hawafanyi hivyo na hawajishugulishi na jambo lolote la kijamii...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Waziri Mkuu wa India kwa kudumisha na kujivunia utamaduni wa India katika mavazi

    Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana msimamo, ndio maana hawezi kuyumbishwa propaganda za nchi za magharibi!!
  13. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Hii ni kumbukumbu nzuri sana kwenye Soka Letu

    Wakuu Kumbu kumbu nzr sana hii, namkumbuka Ramadhani Lenny akija home ( mtoni Kwa azizi Ali, uwanja wa sifa) kucheza ndondo akitokea mbagala kabla ya kuingia Simba. . Hakika alikuwa moto sana na miguu yake kama imechomekwa ivi😃😃 hakika tulipata burudani. Zamoyo mogella, pia huyu nae alikuwa...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kumbe freemasons ni watu poa sana!

    Miaka ya mwanzo wakati ukristo unaanza kulikuwa na vuguvugu la wayahudi na wakristo. Watu hawa walikuwa wakipinga kuwa kwenye dini zozote. Waliamini mtu anaweza kumuabudu Mungu bila kuwa kwenye dini. Watu hawa walianzia huko Alexandria Misri. Baada ya dola ya Roma kuanguka, kanisa Katoliki...
  15. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Dar watu wana roho mbaya sana, nimeamua nikalale stendi kesho nirudi zangu mkoani

    Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo. Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya nikaosha kidogo macho na ning'arishe ngozi kwa maji ya mwambao. Sasa nilifikia kwa huyu ndugu yangu...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya kimila ni ndoa nzuri sana kwa wanaume wa kikristo matajiri zama hizi

    Habari wadau. Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana. Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3. Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dar: Tozo za Daraja la Nyerere Kigamboni zimeshuka

    Rais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni. Sasa tozo zimeshuka na zitalipwa kwa siku badala Kila mtu anapovuka Hiki kilikuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kigamboni. Kigamboni ikianza kujengwa itakuwa mji mzuri sana na...
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kigamboni darajani badilisheni utaratibu, foleni kubwa sana inakera mno

    Maoni kwa wasimamizi daraja la kigamboni jioni na asubuhi foleni kubwa sana inakera mnooooo yaaani ukaaa zaidi ya nusu saa kukata tiketi sasa sijui why msijaribu kuangalia namna nzuri asubuhi na jioni ata mnaweza kukata tiketi ziwe tayali gari ikija unapewa unaenda sio mpk aanze kuingia kwenye...
  19. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania AK Operation Dudula, foreigners Out, wameanza kujitambua!

    Waafrika Kusini wameanza kujitambua, Operation Dudula inawataka wageni wote walioko illegally waondoke. AK wameanza kujitambua! Bango linasomeka“ wageni ni mzigo kwenye nchi yetu, wakwende“ !
  20. B

    JamiiForums Tanzania A Level mwaka huu jiandaeni kwa matokeo ya kushangaza sana, yawezekana yakavunja rekodi. NECTA yarudi kwenye misingi yake

    Habari wanajukwaa, A Level mwaka huu jiandaeni kwa matokeo ya kushangaza sana, Kwanza, kuna uwezekano heshima ya matokeo ACSEE kurudi kama zamani zile kwa sababu wanafunzi mmekuwa mkifaulishwa kwa michongo sana na siasa nyingi hali ambayo mama haitaki, hivyo mjiandae kisaikolojia aliyesoma na...
Back
Top Bottom