sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. mbinda_smartphones

    Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  2. Naja naja

    Maisha ya bongo ili utoboe jifunze sana kuroga

    Kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia bila ya wewe mwenyewe tafadhari usipuuzie tafuta mtaalamu akuwekee sawa mambo yako la sivyo utatumia nguvu kubwa sana lakini hutotoboa . Kama utaona aibu kwenda kwa mtaalamu basi nenda maduka ya dawa ya asili wakuuzie dawa zitakazokukinga na...
  3. Mathanzua

    America is fast becoming a third World country

    North America, which was once a First World region, is fast becoming a Third World wasteland, thanks to government corruption, Wall Street greed and private central banking. Increasingly more people both in the United States and Canada are unable to afford food because of explosive inflationary...
  4. GENTAMYCINE

    Hongereni sana Kitengo cha CMI JWTZ na wale TISS mliokuwa 'penetrated' JWTZ kwa Kazi nzuri ya CDF mpya Jenerali Mkunda

    Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania. Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya...
  5. Chance ndoto

    INAUZWA Tunauza nguo aina ya tshirts bell, truck suit nzuri sana. Karibu dukani

    Kwa mahitaji ya tshirt kali na Truck suits za kijanja. Karibu sana kwenye duka letu linalopatikana MTAA WA CONGO NA MARUNG’OMBE. Kwa bei nafuu kabisa. Tshirts 16,000/- Trucksuits 28,000/- Pensi 18,000/- Pia tunauza kwa bei ya JUMLA. Wasiiana nasi whatsapp au piga simu 0719 100 591. Asante kwa...
  6. Komeo Lachuma

    Yanga tunahujumiwa sana

    Mayele alipaswa awe ndo mfungaji bora. Inashangaza kabisa huyu George Mpole nani yupo nyuma yake? Ni hujuma zinafanyika ili ufungaji bora asipate Mayele. Na ndiyo kisa cha TFF kutengeneza kombe baya ili tu tuchekwe.. hii yote ni sababu Karia ni Simba. Hizi ni hujuma. Kwa nini watufanyie hivi...
  7. Kibosho1

    Hii App ya NaPA ya postcode imekosewa sana

    Serikali inapswa kuwa makini sana kama ndio wanasimamia hii App. Hayo majina ya mito yamekosewa sana. Huo mto uliopewa jina la Karanga sio jina lake halisi na sio mkubwa. Mto unaoitwa karanga ni huo nilioweka alama x na huo ulioko kwenye mshale unaitwa Nsoo.
  8. K

    Nimetafakari sana na kugundua wanaume hapa Tanzania tupo kwenye mgomo dhidi ya wanawake

    Habari za asubuhi wote mlio hai humu!!! Jana nikiwa natoka kazini nikawa natembea kwa mguu kutoka maeneo ya Posta kwenda kupanda treni kulekea Pugu kwa kutumia treni ya TAZARA (ndio zangu daily) ghafla ubongo wangu ukanasa aina mpya ya wazo, akili ikaniambia hebu angalia wapita njia na walio...
  9. Carlos The Jackal

    Wabunge wengi Tanzania ni Vilaza, weupe sana vichwani

    Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli. Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe. Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo...
  10. D

    Tanesco Morogoro mnakera sana kwa kutowaunganishia wateja wenu umeme kwa wakati

    Mimi ni mteja wenu hapa morogoro. Nilianza kuanza process za kuomba kuunganishiwa umeme toka December mwaka Jana. Mwezi wa Tano nilifanikiwa kulipa huduma ya kupata umeme sehemu inaayohitaji nguzo Moja na nikapewa Muda wa mwezi mmoja Kuwa tayari nitakuwa nimeshafikiwa. Mwezi ukapita, nikaenda...
  11. C

    Tatizo la kutoa hewa chafu (kujamba kupita kiasi)- Elewa chanzo, pata ushauri na tiba zake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Wadau wangu naamini hamjambo kabisa. Nikiwa kazini, nyumbani au hata nikikaa na wenzangu najisikia vibaya kwani huwa najamba sana na mjambo wenyewe ni ule wenye sauti. Nifanye nini kuepuka hali hii? --- UFAFANUZI WA TATIZO HILI...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Kwema Wakuu! Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo; 1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa Mkoa wa Morogoro tabia yake ya nchi na hali ya hewa ni nzuri. Hakuna joto sana wala hakuna baridi sana. Jua...
  13. mangosongoo

    Tigo mnatunyonya sana na MB zenu...

    Tigo Tanzania mmezidi kutunyonya na bando zenu, hawa jamaa wana calculate vip hizi MB? Haiwezekani hata robo saa haijaisha GB1 imeisha..! Hivi tatizo nini hii kitu imeanza kujitokeza wiki sasa, Tigo embu jitafakarini bwana...
  14. Lycaon pictus

    Michakato ya kidemokrasia inachelewesha sana mambo

    Cheki mchakato kama wa wabunge kumi na tisa wa CDM. Nikupotezeana tu muda. Mwananchi anafaidika nini? Leo nchi kama US wanahangaika na habari za bunduki lakini hawawezi kufanya kitu sababu ya michakato ya kidemokrasia yenye kuchosha. Leo China inaweza anzisha sera kwaajili ya maendeleo ya nchi...
  15. I

    Ushirikina bado upo sana katika siasa za Tanzania!

  16. GENTAMYCINE

    Dodoma: Spika wa Bunge, Dkt Tulia ashinda mbio za mita 100 zilizowashirikisha viongozi Wanawake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameibuka mshindi kwenye mbio za mita 100 zilizoshirikisha Viongozi Wanawake wakati wa tamasha la CRDB Bank Pamoja Bonanza katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo Juni 25, 2022. Chanzo: bunge_tanzania Haatimaye...
  17. M

    CHADEMA mbona mnahangaika sana? Mlikuwa hamtaki wafungue kesi upya? Mnaingilia haki za akina halima. Acheni uhuni.

    Mbona mnakuwa na roho za ajabu ninyi wanaChadema? Hiii nini? Hamtaki wafungue kesi upya?
  18. J

    Chadema huu utaratibu wa Mabosi wenu kupeleka barua ni ubunifu mzuri sana!

    Nimeupenda utaratibu wa Chadema wa sass ambapo barua zinasambazwa na mabosi wenyewe siyo matarishi. Benjamin Netanyahu kibarua kimeota nyasi Mungu ni mwema wakati wote
  19. Narumu newz

    Russia ni taifa la ajabu sana

    Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa. Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu...
  20. CHASHA FARMING

    Bongo Kilimo Bado sana tena sana

    Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee. Ukitembelea hizi super Market kubwa kuna vitu vinasikitisha sana na kuona kabisa kilimo sisi bado mno tena...
Back
Top Bottom