Russia ni taifa la ajabu sana

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
 
Lini vile alisema huyo waziri? Tufahamishe source mkuu nasi tupitie tujue jinsi alivyo hovyo Mrusi.
Lakini mkuu vita ina macho? Si kuna kukosea ukapiga huko upatajapo?kusema ni kwa makusudi maana yake wanatumwa, sioni kama kuna ukweli kwenye hili, bahati mbaya hata nchi kama marekani hufanya na ndio maana raia wa marekani walikua wanaandamana kupinga matumizi ya drone kwa jeshi lao wakisema pia wao wanakuaga wahanga wa hivyo vyombo kipindi ndio vinataka kuwa official used.
 
Yan tupigane nikushinde uende kuchoma nyumba yangu we so mwanaume
Ukimshinda mtu maana yake umechukua nguvu yake kimabavu. Umemdhoofisha tayari sasa mtu huyo anachomaje nyumba yako? Means hujamshinda bado.

Warusi huwa hawa give up kirahisi 😂😂😂 ukilianzisha hata kama utamzidi ila anabadili mbinu anakuchapa kweli kweli!
 
Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
Urusi hana muda mrefu anaanguka.
 
Back
Top Bottom