sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta namna nzuri ya kuachana na mpenzi wangu aliyenifungulia kesi ya ubakaji

    Nina mpenzi wangu ambae tunaishi nae toka mda tuko chuo, Huyu mpenzi tayari ana mtoto ambae alimpata akiwa Olevel. Nilianza kukaa nae rasmi toka Niko chuo akiwa yeye na huyo mtoto wake, nikiwa na mishe zangu za kupambana mtaani. Baada ya kumaliza chuo nikawa na bajaji zangu mbili, Moja nikampa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu...
  3. JamiiForums Tanzania Julio: Nimevutiwa sana na Mayele, ni straika wa ukweli

    Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amesema kwa msimu huu mshambuliaji huyo wa Yanga, amefanya kazi nzuri n ani straika halisi kwa kuwa anajua kufunga. Amesema “Licha ya kuwa mpira wa sasa hivi combination imesababisha wachezaji wengi kufunga magoli lakini Mayele anaweza kufunga popote. “Tabu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Milioni 5 kwa kila goli ni hela ndogo sana

    Kwema wakuu, Nimekaa nikawaza, TZS 5mil kwa kila goli naona kama ni hela ndogo sana. Kwa Serikali kama ya Mama Samia zile ni hela ndogo sana. Pengine hata zingefaa kua ni hela kwa kila mchezaji. Zile ni kama mshahara wa mchezaji mmoja tu hivyo hazileti sana motisha kusema unaipa timu nzima...
  5. JamiiForums Tanzania Sisi wakongwe picha kama hii inatufikirisha sana

    Wesley Snipe 60, Will Smith 54, Eddie Murphy 61, Martine lawrence 57.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Naumia sana nikikumbuka usumbufu wa kaka ulivyomfanya mama awe analia na kupata stress, wengine mpo ambao mliona mama anakosa raha kisa mtoto?

    Ilikuwa 2005 hai 2007 wakati kaka akiwa na miaka 16 hadi 18, alikuwa anamfanya mama alie sana na mimi nilikuwa najisikia vibaya sana kumuona mama analia machozi na kupiga ukunga wa maumivu, very painfull! Kaka alihamishwa shule kibao kwa utoro, uhuni, n.k. Alijiunga na makundi mabovu ya wavuta...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Inaonekana sana Dkt.Tulia Ackson anaogopa sana Uchaguzi. 2025 hakuna mbeleko itakuwaje?

    Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025. Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni. Hata leo mmemsikia. Tar 5 februari akiwa Mwanza kwenye sherehe za Chama cha mapinduzi yeye pekee ndie...
  8. JamiiForums Tanzania Nampenda sana

  9. JamiiForums Tanzania Furahia Uhuru ulionao sasa, ni zawadi kubwa sana maishani mwako

    Nilikuwa sina mpango hata wa kuandika Hii thread lakini naiandika kwa ufupi sana baada ya kupita instagram na kukutana na clip hatari za wahuni wakiwa wanahamishwa gereza huko El salvador Kuhamishwa kwao,mikao yao yani imenikumbusha Moment hatari sana nilizowahi pitia miaka ya zamani hiyo Gusa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama vile Tanzania ni asali na maziwa ya watu wale wale wachache sana kwenye watu milioni 62!

    People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle. Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less. Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe. Wameshapigwa ki ufasaha...
  11. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF. Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini nashauriwa nioe?

    Habari wana Jf, Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila)...
  13. JamiiForums Tanzania Asante sana Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kwa Kutuandaa vyema Kisaikolojia wana Yanga SC na Wanamichezo nchini

    "Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Upinzani huu, Tanzania bado tuna safari ndefu sana

    Kwa wapinzani hawa tulio nao ambao wanashangilia na kufurahia kuweza kumpigia rais simu muda wowote kama vile ni jambo la maana sana basi Tanzania kazi bado ipo. Leo Sugu ama Joseph Mbilinyi anawaambia wanachi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni kwamba ana uwezo wa kumpigia rais muda wowote...
  15. JamiiForums Tanzania Mahitaji yetu ya msingi ni machache Sana., na ambayo sio ya msingi ni mengi sana

    Binadamu mahitaji yake ya kila siku ni machache. Chakula Kulala sehemu Safi /makazi
  16. JamiiForums Tanzania Ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia?

    Kama ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia umma ifutwe mara moja. Katika ulimwengu wa sasa huwezi kumnyima binadamu kujiendeleza kiuchumi kwasababu tu ya mgongano wa kimaslahi. Sheria zinazotakiwa kuwepo ni za kulinda mgongano...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

    Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia. Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara...
  18. JamiiForums Tanzania Ila Polepole kazimishwa vizuri sana

    Kachuo kake uchwara ka uongozi kamepotelea wapi sijui? Wahenga waliosema "Mbwa mwenye mnofu mdomoni hapigi kelele." Waliona mbali sana.
  19. JamiiForums Tanzania NEMC mtusaidie sauti za mitetemo toka club za starehe zina kera sana

    Hili swala limekaa vipi kisheria Unakuta clubs zimejazana katika maeneo ya makazi ya watu na zimekuwa zikipiga miziki mikubwa inayotoa sauti za mitetemo ambazo huathiri faragha ya mtu anakuwa nyumban kwake. Hili swala serikali ilitazame kwa umakini maana hizi clubs siku hizi ni kifuru sana...
  20. JamiiForums Tanzania Nyerere aliwapenda Wapare sana kwa kuchapa kazi mpaka akawaita Wachina wa Tanzania

    Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…