Kwanini Wasukuma wanalipenda sana hili jina?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,675
106,781
No research no right to speak.

Nimefanya research yangu kwa muda mrefu nimegundua kwamba Wasukuma wanalipenda sana jina la Jose. Ukienda Mwanza na Shinyanga utakutana na akina mama jose na Jose wengi saana.

Katika wasukuma 10 basi wakuma 3-4 wanaitwa Jose. Hapa mtaani niliko sio usukumani ila nawafahamu akina Jose 3.

Hebu wasukuma niambie Kuna siri gani kwenye hili jina?

Another interesting fact, kaskazini karibia kila familia kuna jina Angel/Angela na Beatrice.
Eg. Kwetu kuna Beatrice 2 na Angel 3
 
Naomi, Flora, Sikitu, siwema, nyanyama, nyangeta, nyasatu, nyamweko, mafulu, majina ya ujitani😀
 
No research no right to speak.
Nimefanya research yangu kwa muda mrefu nimegundua kwamba Wasukuma wanalipenda sana jina la Jose. Ukienda Mwanza na Shinyanga utakutana na akina mama jose na Jose wengi saana.

Katika wasukuma 10 basi wakuma 3-4 wanaitwa Jose..
Hapa mtaani niliko sio usukumani ila nawafahamu akina Jose 3.

Hebu wasukuma niambie Kuna siri gani kwenye hili jina??

Another interesting fact, kaskazini karibia kila familia kuna jina Angel/Angela na Beatrice.
Eg. Kwetu kuna Beatrice 2 na Angel 3
Na jina Makanyagio.
 
No research no right to speak.

Nimefanya research yangu kwa muda mrefu nimegundua kwamba Wasukuma wanalipenda sana jina la Jose. Ukienda Mwanza na Shinyanga utakutana na akina mama jose na Jose wengi saana.

Katika wasukuma 10 basi wakuma 3-4 wanaitwa Jose. Hapa mtaani niliko sio usukumani ila nawafahamu akina Jose 3.

Hebu wasukuma niambie Kuna siri gani kwenye hili jina?

Another interesting fact, kaskazini karibia kila familia kuna jina Angel/Angela na Beatrice.
Eg. Kwetu kuna Beatrice 2 na Angel 3
Ni Jose au Yose? Ulimi wa msukuma hauwezi kutamka Jose, msukuma na mnyamwezi(hawa ni mapacha) hutamka Yose (Yosefu).
 
Opagelile, hater wa wasukuma nyanoko!

Ester, ndebile, ngolo, holo na felista ndo common kwa bhanhu.

Amajogoli mluhile sana.
 
Back
Top Bottom