The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Wakuu, kwema?
Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote.
Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya...
Mida ya saa 5 asubuhi simu yangu inaita, kuangalia ni namba mpya nikapokea. Hallo, upande wa pili ukaitika, naongea na fulani? (akataja jina langu), nikajibu ndiyo.
Unaongea na huduma kwa wateja kutoka Benki tunafanya maboresho kwenye account yako ya benki, hii namba naoma ndiyo imesajiliwa na...
Supapawa amechanganyikiwa mpaka mizinga inachukuliwa kizembe, tena mizinga ya gharama sana....
R-37M ni babkubwa ya mizinga yenye uwezo mkubwa sana ya kipekee...
Ukrainian forces recovered one of Russia’s most advanced hypersonic missiles
The Armed Forces of Ukraine have recovered the intact...
Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee.
Saidio na Chama kucheza pamoja ni kansa kwetu, lifanyiwe kazi
Salaam tele ziwafikie
Kati ya mwaka 2019 au 2020, msanii Stamina ft Roma alitoa wimbo wenye ujumbe wa kusalitiwa na mkewe wa ndoa. Huyo mke akitoka na Ex wake ambae alicheza club ya Simba SC, na baadae nadhani akahamia Namungo FC.
Nikiwa nimekaa kwa starehe na raha kabisa na kipenzi changu...
Simba timu yangu msipoacha uchawi hakika mtazidi kupata aibu ! Tabia yenu ya kumtegemea huyo sangoma wa kike hapo klabuni niyakipumbavu sana ! Mbaya zaidi mnampa na pesa kabisa awasaidie kuloga mechi hayo mambo niyakipuuzi sana na hamtafanikiwa kamwe!! Aliwaaminisha wachezaji ameshamaliza kazi...
Nakumbuka tulivyokuwa darasa la tatu mwalimu wa sayansi kimu alituambia tulete jiko na sufulia mie nikachagua kuleta sufulia nikaleta sufulia kubwa kwa maesabu yangu tutapika chakula kitabaki nitaonsoka nacho home kufika muda wa kupika walimu alitufundisha jinsi ya kuchemsha maji ya kunywa...
Nataka mtufunge ili tukichanganya na zile Hasira za Kufungwa Thalatha za Mwarabu jana tupate sababu ya Kuvurugana zaidi na Mgogoro uwe mkubwa Klabuni ili Mo Dewji ( Mwekezaji ), Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ( Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ) na mwana Yanga SC lia lia Murtaza Mangungu (...
Kichwa cha mke☺☺
WAEFESO 5:23-25
Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye...
Ndiye mchezaji pekee anayejituma sana hapa Yanga. Na Aziz Ki naye anajitahidi. Ila michezaji ya ndani imezubaa sana. Huoni hata ikiumia tunapopoteza points.
Nimependa Hersi jinsi ambavyo amepiga simu na kumuweka loud speaker Mayele akimtaka kesho kutupatia magoli. Mayele amesisitiza atatetema...
Huyu demu ni muda sana nlikuwa namfukuzia. Siku zote ananitizama anacheka ananiambia "we mtu unajua mi nakuonea huruma huu mzigo huuwezi😁"
Huwa namjibu asione wembamba wa reli huu nabeba mamizigo ya haja. Karibia mwaka ananizungusha. Jana akaniambia ameamua na mimi anipe maana ameona...
WANAWAKE NI VIUMBE WANAOELEWEKA SANA SEMA SISI NDIO HATUTAKI KUWAELEWA!
Anaandika Robert Heriel
Kuhani.
"Mwanamke hajui nini anataka"
"Wanawake hawaeleweki"
"Huwezi kuwaelewa Wanawake" na kauli zingine kama hizo ni kauli za kizamani zilizolenga kuwahukumu Wanawake na kuwafanya wakosaji...
Simu mpya toleo la POP 7 imeweka rekodi ya mauzo baada ya kuuzika simu zaidi ya 5000 ndani ya muda wa mwezi mmoja kwanzia ilivyo ingia sokoni. Hii inaonesha jinsi gani mapokezi ya toleo hili la POP 7 yamekuwa ya kishindo kikubwa. Toleo la POP 7 limeundwa kwa ajili ya wapambanaji wote wanao amini...
Duh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
Kusema ukweli!
Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana!
Mfano...
Huwezi amini hili eneo linapokea na kulaza wageni zaidi ya 100 kila siku. Ngorongoro Simba camping site huu mlango una zaidi ya miezi mitatu bila kufanyiwa matengenezo baada ya kuharibiwa na tembo ila tangu uharibike haujawai kutengenezwa na wala hakuna kiongozi anayeona hili ni tatizo.
Pia...
Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili.
Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.