sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Msiba wa Mzee Mkono wajae Watani wa Wazanaki na Wasukuma ili Wamchane Mjane na Bintiye Leah

    Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono. Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kina Mama wawafunze mabinti kubalance Elimu, Career, Ndoa, Uzazi. Complications za Uzazi,Ugumba, ndoa migogoro zimekuwa nyingi sana

    Changamoto za ndoa zimekuwa nyingi sana sababu ya kesi za ugumba. Mume analalamika mkewe hashiki mimba kumbe kamuoa binti akiwa above 28 binti kashakula sana p2 huko nyuma. Kina Dr Mwaka wanapiga hela za ujanja ujanja na bado mimba hazipatikani Kutumia Vidonge vya kuzuia mimba muda mrefu...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaovujisha wanawake Video za Uchi, Nani Kawaroga?

    Hivi wanaume nyie ni nani kawaroga? Mimi kama mwanamke nimeumizwa sana na nitaendelea kuumizwa kila nikiona wanaume wanavujisha video clip za wanawake wenzangu wakiwa watupu chumbani wamelala. Hivi mwanaume lijali unayepiga paipu papuchi na ikapigika kisawasawa haswa huo muda wa kumrekodi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Imenisikitisha sana watoto kuzomea watoto walio na wazazi wanaofanya baadhi ya kazi

    Juzi ijumaa nilikuwa kwenye shule Fulani nikakuta watoto wadogo chini ya Miaka kumi wakiwa wamekaa wanapiga story zao. Mmoja wao akaanza kuuliza wenzie baba Yako anafanya kazi gani kila mmoja akaanza kujisifu na kazi ya baba yake, ila mojawapo baba yake ni mpishi anauza nyama choma na mwingine...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe CAF super league wanachukua hadi timu mbovu

    Hizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league. 1) Tp Mazembe 2) Es Tunis 3) Petro Luanda 4)Horoya 5)Simba 6) Wydad 7) Mamelod 8) Al Ahly Wakati mashindano haya yanazinduliwa, Simba waliinasibu kuwa ni mashindano ya timu bora tupu ndio zinazoshiriki hayo mashindano, lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

    Maisha ya mahabusu/ mfungwa ni magumu na mabaya ila siyo kwa ubaya ule unaovumishwa mitaani kwamba kule kuna Kupigwa na wababe Kunyang'anywa chakula Kuteswa Kubakwa n.k ni hapana Maisha yanaenda kawaida ikiwa kwa upande wa burudani Television ipo Draft/bao lipo Mpira wa miguu upo "Kwaya kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Twitter imekuwa ya ovyo sana siku hizi

    Serikali imefungia kurasa za mitandao ya Fabebook 361, Instagram 198, Twitter 12 na vikoa 2,456 ambazo zilikuwa zinajihusisha na matangazo ya ukiukwaji wa maadili ikiwemo mapenzi ya jinsia moja. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumatatu Aprili 17, 2023 na Waziri wa Habari Nape Nauye wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wako unamleaje? Nimesikitishwa sana na watoto wa shule hii

    Leo nimetembelea shule anayosoma mwanangu, ni sekondari ya bweni. Nilichogundua ni kwamba wazazi wengi majumbani mwetu hatuwafundishi watoto kuthamini kidogo walicho nacho. Nimekuta watoto wanatupa viatu vizuri kabisa. Wametupa mashuka na yako kwenye hali nzuri sana, wametupa nguo zao...
  10. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga kilichofungwa na Simba ni sawa na kikosi kile kilichokuwa kinafungwa sana na mzee wa Kiminyio Madaraka Suleimani

    SIMBA VS YANGA;KIKOSI CHA YANGA KILICHOFUNGWA NA SIMBA NI SAWA NA KIKOSI KILE KILICHOKUWA KINAFUNGWA SANA NA MZEE WA KIMINYIO MADARAKA SULEIMANI. Leo 10:15hrs 17/04/20223 Mwaka 1994 timu ya Yanga ilikuwa na timu bora sana lakini kikosi hicho bora kililegezwa na mgogoro mkubwa wa Yanga asili na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

    Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla =====...
  12. JamiiForums Tanzania Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

    Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF. Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza. Ila nimesikitika sana...
  13. JamiiForums Tanzania Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

    Hahahah ngoja nianze na kicheko unafiki, hivi wanaonijua huwa naandikaga pumba eti? Anyway sikuumbiwa mapenzi, ninayotamani yote hufa. I hate love, ila sina jinsi, najua napoteza ila sina namna, nahitaji muda sana. Ninahisi pain sana kila wazo la kimahusiano linapo nipitia kichwani, furaha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa Wakongwe tu, najua mtakumbuka mengi sana

  15. JamiiForums Tanzania Ukiona Mwanaume anatetea sana Wanawake tambua kuwa ni mpenda Ngono

    Niulize kwanini...... Fanya tafiti ndogo sana watu ambao wanatetea wanawake, mtego wao mkubwa ni kutunukiwa hakuna kingine, ni wachache sana kukuta Mwanaume kamili yuko anazungumzia masuala ya kike mara apate haki fulani. Wengi ni wapenda NGONO ndo maana upiga kelele sana, Mwanaume kamili...
  16. JamiiForums Tanzania Njia hii inatumika sana huko ughaibuni kusaidia kudumisha ndoa.....

    Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo...
  17. JamiiForums Tanzania Hii picha nilivyoiona nimecheka sana. The tripple integral 😆

    Picha imefutwa
  18. JamiiForums Tanzania Zuku wanajimwambafai sana? Au wameelemewa na wateja? Au ni dharau?Au jeuri?

    Yalianza jana kupitia airtel, muamala wa malipo haukufanyika Sasa leo nawapigia simu zuku ili angalau niwafahamishe kuwa nimeshalipa ni airtel ndio wanachelewesha hela yao weeeee dakika 140 zimeisha Dakika 140 zimeisha bila simu kujibiwa Na sasa hivi nipo raundi ya pili dakika 70 zimekata ni...
  19. JamiiForums Tanzania Akumbukwe Diego Maradona. Mwanzilishi wa kujichukulia sheria Mkononi. Mahusiano yanatesa sana

    Wanaume wengi miaka hii wameamua kuwa tu wanajichukulia sheria mkononi. Wanafunga goal la mkono. Unakumbuka mwaka 1984 kama sikosei.. unakumbuka? Diego Armandos Maradonna alipiga bao la Mkono na kuchukua ushindi kwa team yake ya Argentina. Bao la Mkono unapata ushindi mzuri tu. Unachukua...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu kuu za Mmarekani kuhamasisha kwa nguvu sana ushoga Afrika na siyo mabara mengine

    Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa. "kwanini Afrika kwa sana"?. "Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…