Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,932
31,178
Heshima sana,

Jana nilikuwa natokea Dar kwenda Arusha.Muda wa saa 2 asubuhi tukapitia hotel ya Kilimanjaro Bus pale Korogwe.
Nikaagiza mtori na sambusa tatu na mwenzangu naye akaagiza kama mimi.Baada ya kumaliza tukaletewa bill kibakuli cha Mtori tsh 5,000 sambusa moja 2,000.

Nikawauliza huu mtori wa ndizi mbili tatu na nyama mbili sh 5,000 na sambusa 2,000 nikaambiwa ndio duh nikalipa bill kwa mshangao.

Nikaondoka kuendelea na safari mbele kidogo ipo hotel nyingine parking imejaa kweli kweli tofauti na Kilimanjaro.Kwakuwa muda wa saa 2 asubuhi magari mengi yalikuwa binafsi nikagundua wadau wa usafiri njia ya Dar to Arusha wameistukia hotel ya Kilimanjaro inauza vyakula bei za kiukraine.

Nilichojifunza wasafiri wanaotumia mabus ya Kilimanjaro wanauziwa vyakula bei kubwa na hawana option labda turejee zama zile za kusafiri na vyakula.
 
Hivi Watanzania wa siku hizi mnakosea wapi? Enzi zetu tulibeba mpaka maji ya kunywa kwenye vidumu!
Njaa ilipouma wakatibwa safari, tulikandamiza zetu wali, ndizi na nyama za kukaanga! Halafu safari ikawa ni ya furaha kabisa.

Hebu fanyeni kurudia maisha ya zamani bhana. Gari likisimama kwenye hiyo hotel, fungua ma hot pot yako, kula mpaka ushibe. Na hakuna atakaye kuuliza! Zaidi ya wapuuzi wachache tu kukushangaa.
 
Heshima sana,

Jana nilikuwa natokea Dar kwenda Arusha.Muda wa saa 2 asubuhi tukapitia hotel ya Kilimanjaro Bus pale Korogwe.
Nikaagiza mtori na sambusa tatu na mwenzangu naye akaagiza kama mimi.Baada ya kumaliza tukaletewa bill kibakuli cha Mtori tsh 5,000 sambusa moja 2,000.

Nikawauliza huu mtori wa ndizi mbili tatu na nyama mbili sh 5,000 na sambusa 2,000 nikaambiwa ndio duh nikalipa bill kwa mshangao.

Nikaondoka kuendelea na safari mbele kidogo ipo hotel nyingine parking imejaa kweli kweli tofauti na Kilimanjaro.Kwakuwa muda wa saa 2 asubuhi magari mengi yalikuwa binafsi nikagundua wadau wa usafiri njia ya Dar to Arusha wameistukia hotel ya Kilimanjaro inauza vyakula bei za kiukraine.

Nilichojifunza wasafiri wanaotumia mabus ya Kilimanjaro wanauziwa vyakula bei kubwa na hawana option labda turejee zama zile za kusafiri na vyakula.
Una bahati hukuharisha mbele ya safari!
 
Mwezi huu..hapo utalipa buku saba na ukikaa vibaya utaambiwa hakuna chakula.
Hasa tarehe za leo,Kesho.

Hapo niliwahi ona jamaa amewekewa mifupa kama mifupa😀😀😀😀

Jamaa aliwasha moto hapo pakawa padogo.

Kuna wajinga wengine wako kule Njia ya Mwanza- Singida, wanaweka chakula kwenye bahasha nusu..
 
Back
Top Bottom