Heri ya nusu mwaka , ngoja niwape maua yao watu wafuatao 😂😂
Wanaume wote ambao wako kupambania familia zao no matter what!! Mungu awabariki sana
Wanawake wote masingle maza waliachiwa watoto ilihali wanasonga mbele na watoto wao, mbarikiwe sana
Vijana wooote ambao hawachagui kazi wanapambana...