sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

    January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi. Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete. Mwenye ushahidi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona video hii nimemdharau sana Ali Bongo Ondimba

    Wakuu nimetumiwa video moja ya aliyekuwa Raisi wa Gabon Ali Bongo kwa sasa kapinduliwa nikajua ukweli kwanini Nchi za kiafrika ni maskini sana na nimeshapata majibu kwanini na dokta, maprofesa waliosoma Nchi za ulaya hawana msaada wowote kwa wa Afrika wenzao kumbe tatizo ni imani zao za...
  3. JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

    SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza. "Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri "Wewe Dkt. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

    Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;- "Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje? Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu wema sana

    Kwakweli hii ni ardhi ya watu wema sana, vigezo vya uwekezaji kwa wageni ni rafiki sana, kuna muda wa kutosha wa kufanya majaribio ya biashara mpya bila kulipa kodi. Nawaomba mpunguze mlolongo kipindi cha usajili wa biashara, vinginevyo nawaalika wawekezaji wengine toka uarabuni, uzunguni na...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokuza mtaji wangu wa viatu vya mitumba kwa kuiba viatu (Ni hatari sana, usije ukajaribu utauawa kifo kibaya sana)

    Mbingu na nchi zitapita, lakini neno la Mungu litaishi milele. Wananchi na wana nzengo wenzangu, maisha ya kijana wa kiume ni nusu kuzimu, robo peponi na robo nyingine duniani. Duniani mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo. Maisha yangu ya ujana yalijawa na changamoto nyingi, uchumi duni...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ni mfano wa mashindano ukilielewa hili Jambo Basi utakuwa Mtu Bora Sana

    Maisha siku zote ni mfano wa Mashindano na sio kila anayeshiriki anahitaji Ubingwa au taji Kuna timu zinashiriki ili tu zisishuke Daraja. na hizi timu ndo nyingi Sana (WATU). Hivyo Kama mtu una kusuduio lako unalohitaji kulitimiza hapa Duniani na kushinda taji hili Muhimu linaloitwa MAISHA basi...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Jitahidi kuyafanya sana haya mambo utakuja nikumbuka baadae

    Jamani hapa DUNIANI tupo miaka michache sana katika starehe,. Yaani ni kutoka 25 mpaka 55 Hivyo kama kuna vya kuvitumia kulingana na uwezo wako vitumie sana,. Kama ni (🍺 bia)kunywa sana ikikupendeza zaidi vuta na BANGI ndani ya hiyo miaka, Kama ni (❌ ngono) fanya sana tena hata ngono zembe...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

    Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine. “Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi. Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao. Mchakato wa kuwapata hao...
  12. JamiiForums Tanzania Uchambuzi Yakinifu: Bila chuki wala kuweka utaifa mbele Khaligraph jones katisha sana

    1 kamwambia ukweli Young killer _ saivi yupo busy na mapenzi kuliko mziki (kuna time nilidhan Bongo hip hop ataiokoa) 2 Wakazi anaongea sana mitandaoni(apewe kaz wasafi media) 3 Nikki Mbishi (apa naisi kikosi kazi wote) __(wanafanya mziki mzuri lakini nidhamu ni kitu cha muimu ili msanii afike...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema upinzani utapata tabu sana kushindana na kuishinda CCM kwa nusu karne ijayo tunamaanisha haya

    Kufuatia mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano wa CCM na ambayo yanaendelea kufanywa na Mwenyekiti wa Sasa wa CCM, sioni kabisa wa kuweza kuishinda CCM iwe ni chama na mgombea binafsi kama utaratibu huo ukiruhusiwa na kuanza kutumika kwa nusu Karne ijayo kuanzia 2025 mpaka...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa maskini sana hata mbwa wako anaweza kukung'ata!!

    Umaskini ni tafsida ! Unaweza kuitumia kwa ujumla au kwa mtu Mmoja Mmoja ! Tukiwa kama nchi mbele ya mataifa mengine nchi yetu inaitwa maskini. Hata viongozi wetu wengi wanapotoa hotuba zao mbele ya mataifa yaliyoendelea wanajitambulisha kama nchi maskini ' ukisema hivyo unajumlisha wote...
  15. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  16. JamiiForums Tanzania Hili la Mbeya, wafanyakazi kuiba mapato ya Serikali, linasitua sana

    Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana. Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali! Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu wa Mkoa. Huu ni wizi wa kuaminiwa na tunategemea serikali kutocheka na nyani! Tumeshaanza kula mabua!
  17. JamiiForums Tanzania Vijana tunapitia wakati mgumu sana kwenye utafutaji. Chukua hii, itakufikirisha zaidi

    Nipo hapa kwa kitanda usiku huu wa manane nikiwa na msongamano wa mawazo na kutafakari mambo mbalimbali kuhusu haya maisha hasa kwa sisi vijana ambao tunajitafuta na bado hatujajipata. Haya maisha ya utafutaji yamejaa vitu vigumu na vizito ambavyo siyo rahisi mtu kukuelezea ni namna gani...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Poleni Sana DC na DED Mliotimuliwa: Kesho Watoto wenu wataenda Shule kama watoto wa Mwananchi wa Kawaida

    Nimewaza mengi na kuwaonea huruma. Lkn Cheo ni Dhamana, iwe ulihongwa au ulikipata kwa sifa za kiutendaji, ni DHAMANA Inawezekana yako mengi katika yaliyofanya hawa watu watimuliwe, lkn Mh. Rais katika maongezi yake liko jambo kubwa kalisema ambalo ndio hasa limeshababisha WANA CCM KURUDISHA...
  19. JamiiForums Tanzania Ningekua mimi Samia ningemshukuru sana hayati Magufuli.

    Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT. Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa viumbe ni ngumu sana kwao kusema hivi

    Video inajieleza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…