sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Amemteua...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wana moyo mgumu sana wa kusaidia??? (Na sijaomba hata pesa)

    Hii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate. Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision. Halafu inatokea ghafla...
  3. JamiiForums Tanzania Kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara ni matumizi mabaya sana ya akili kwa Ma HR wengi nchini.

    Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili. Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?. Unakuta mtumishi kapata kesi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya WanaJF wana majina ya ajabu na ya kufikirisha sana

    Habari wanajf The fact kwamba jf watu wengi ni anonymous, inawafanya wanatumia majina ya ajabu sana. Kuna majina jf ukiyasoma unaweza cheka, kushangaa au kufikiria sana, Pongezi kwa wanajf wanaotumia majina yao mawili kama Lukas Mwashambwa leo tuwatag watu wenye majina ya ajabu humu watupe...
  5. JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu sana, hakuna pesa za kuhonga

    Kuna Baa moja hapa nimezama na mim kwa leo, yani wanaume wote counter tumenuna tupo buyu, bar ina wanawake wengi saana lakini tunaziangalia tu zikijipitisha hakuna cha kuwaita wala kuwasemesha. Mimi ni nani nianze kusaliti kambi na huku hela ngumu balaa 😁😏😏😏
  6. JamiiForums Tanzania Nawapenda sana walimu wangu ila CWT kinawasaidia Nini?

    Binafsi nawakubali na kuwapenda sana walimu wangu mlionifundisha mambo anuwai ya Dunia nikaweza kuelimika.Ila nina swali moja hiki chama chenu cha walimu(CWT) kina mchango upi katika changamoto za mwalimu?Kubuni rangi za t-shirt? Binafsi sitapenda mtoto wangu awe mwalimu. Bora tu awe hata dreva boda
  7. JamiiForums Tanzania Dunia inarudi ilipotoka, itarudi kwa maumivu makali sana

    DUNIA INARUDI ILIPOTOKA, ITARUDI KWA MAUMIVU MAKALI SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kila kitu kitarudi katika sehemu yake. Kila mtu atarudishwa katika nafasi yake. Hakuna atakayevuka mipaka yake tena. Bahari itajidhibiti mawimbi yake, wala maji hayataenda sehemu ya nchi kavu, Usiku...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini mnatumia njia ndefu sana za kumtafutia Sababu za Kumuondoa CEO wa 'Umeme Tanzania?

    Tunajua kuwa Yeye na aliyeko Foreign sasa lao lilikuwa ni moja na mpaka hi Kata Washa na Washa Kata no kutokana na Upumbavu na Ufisadi wao huko Umeme Tanzania. Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hamumtaki Maharage Mabovu na Kumuondoa hapo Umeme Tanzania mnamuonea Aibu hivyo sasa mnatumia Mbinu ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania AVN imekuwa mateso sana kwangu. Naomba msaada

    Nawasalimu Nyote Nimekuwa na changamoto ya kupata AVN nilihitimu Diploma 2015...nikafanya hatua zote za online za kuiomba AVN nikafika mpaka NACTE wakaagiza chuo kiandike barua ya kuomba kufunguliwa mfumo waingize matokeo yangu sasa ni wiki ya tatu inaenda ya nne nikipiga simu chuoni...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kipi kilichomvutia Rais Samia kumpa Biteko Unaibu Waziri Mkuu?

    Kihistoria watu wote waliowahi kupata Unaibu Waziri Mkuu cheo ambacho si cha kikatiba bali huja tu kwa utashi wa raisi aliyepo madalakani, ukiwaona na kuwatathimini unagundua kwamba walikuwa na kitu cha ziada, ambacho kinaleta kishindo kikubwa Kwa kiwango cha kutikisa baraza zima la mawaziri...
  11. JamiiForums Tanzania Sijawahi kudumu na mpenzi ambaye nimepigiwa debe na chawa wangu kumpata

    Katika harakati zangu za mahusiano kuna nyakati inatokea napata demu kupitia wapambe, makuwadi, wapiga debe, a.k.a Chawa wa Kichwamoto. Mara kadhaa huwa nikipata pisi yoyote kupitia chawa wangu au mpiga debe awe demu au men, nahisi kama nimefunga goli kwa offside. Hivyo Nina kawaida ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

    Wanajamvi nimeshangaa kusikia kumiliki kifaa kipya kama hiki ni almost 10millions. Kina maajabu gani zaidi?
  13. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa au kuanzisha familia jitahidi sana uyafanye haya

    Kwa ambao bado HAWAJAOA au Kuwa na FAMILIA (MAJUKUMU) ------------------------------ Ndugu yangu kabla ya kuoa Jitahidi sana kuyaandaa mambo haya utakuja nikumbuka baadae. Rafiki maisha ya sasa ni magumu sana hivyo unapaswa kujiandaa ipasavyo kabla ya kuyaendea majukumu ya kifamilia...
  14. JamiiForums Tanzania Tiptop bar manzese Ina vibe sana

    Tiptop bar wameikalabati sasa imekua nzuri inapendeza Sana ,Jana nilikua tiptop mine enyoy Sana usiku wa malaika band kila jumanne Wadau mnaionaje tiptop sasa baada ya kuikalabati
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji wavuna mikaa na kuni tuongee biashara juu ya eneo langu

    Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
  16. JamiiForums Tanzania Wewe Mchezaji Mzawa wa Simba SC uliyeiba 'Soksi' ya Mchezaji Aubin Kramo ili 'Ukamroge' mrudishie haraka sana

    Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa upande wa Mungu utashambuliwa sana, CHADEMA jipeni moyo mtashinda

    Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi. Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma bora, ufisadi, wizi ,uonezi, njaa, afya, haki na amani anaitwa Mchochezi na mahala pake ni jela. Huku...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  19. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye suala la sadaka natoa hongera kwa Waislam. Wametuacha mbali sana

    Hi! Mimi ni mkristo, tena ni kiongozi kanisani kwetu. Hili suala la sadaka liko wazi kabisa kimaandiko. Maandiko yameweka wazi tutoe vipi, tutoe wapi na muda gani. Ila baada ya Taasisi nyingi kuzaliwa kwa mgongo wa ukristo sasa misingi ya sadaka kibiblia imeharibiwa na mwanadamu anayetaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…