Leo bhana, katika pitapita zangu za hapa na pale, nikaangukia shule fulani, Basi bana, nikakutana na mwanafunzi kapendeza zake, lakini shingoni kavaa bango kubwa limeandikwa “Swahili Speaker”.
Aisee! Hapo hapo akili ikafanya flashback kali moja kwa moja nikarudi enzi za 2003 hadi 2009...