Binadamu sisi ni wabaya sana

Binadamu sisi ni wabaya sana

Wenye maendeleo hawapost, ukiona mtu anayepost post kila siku jua huyo ni mchovu.
Mchovu akiwa kwenye ndege yake binafsi
Screenshot_2026-04-11_112824.jpg
 
Daktari hili jibu natamani nilifananishe na sindano ile walitoiiita chloroquine ilivyokuwa ikiingia kwenye sehemu husika utamu unausikilizia mpaka kwenye kisogo
Hako kajamaa kanapesa chafu na kana shinda mitandaoni kakionyesha maisha yake , unakuta yupo kwenye yachi yake ya kifahari na totozi tatu tatu halafu zote ni Drop dead gorgeous😅
 
Back
Top Bottom