sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anasifiwa sana, hawaju wateule wake kama Jeneali Ulimwengu anavyodai?

    Mimi ni mpenzi wa harakati za Jenerali Ulimwengu katika utetezi wake wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu. Ninachofurahia kuhusu yeye ni kuwa katika kipindi ambacho wengi walinywea na kurekebisha maoni yao yaendane na mazingira ya utawala uliokuwepo katika awamu ya tano, yeye...
  2. JamiiForums Tanzania Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo amekuwa muongo sana. Mijini tu hakuna maji sembuse vijijini?

    Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma. Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi...
  4. JamiiForums Tanzania Upepo wa Makonda umekata mapema sana

    Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote. Upepo umekata
  5. JamiiForums Tanzania Huyu Prophet Lovi ana nyota Kali sana halafu kwenye mambo ya upako msichukulie poa hata kidogo

    Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana : " Dada angu wewe: 1. Huna tako ( shape) 2. Huna sura 3. Huna kazi. 4. Hujasoma. 5.Huna biashara. 6.Huna danga. 7. Hupati psi psi mtaani. Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu.. Nimeiona hali hii kwenye comments...
  6. JamiiForums Tanzania Manabii wanapingwa sana ila alichokifanya nabii Clear Malisa ni kitendo cha kishujaa.

    Napenda sana kufuatilia habari za kiroho hususani misimbo ya kinabii "prophetic codes". Kuna mengi tumejifunza kuwa ni magumu ila kupitia misimbo mambo huwa bayana. Bila kuzungusha sana maelezo kilichofanyika usiku wa tarehe 8/12/2023 kwa jina "usiku wa maajabu" ni tukio la kuondoa mazoea na...
  7. JamiiForums Tanzania Video inafikirisha sana

    Kwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa na tabia ya mkono wa birika? Natoa sana kwa watu na nahonga sana. Uhongaji utanifilisi

    Wakuu habari za jioni. Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani. Wakuu, inapokuja swala la kuhonga kwa kweli hua sijiulizi mara 2, kama ninacho natoa tu. Hili sio kwa wanawake tu, hata...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, Gamondi anafeli pakubwa sana Yanga

    Salaam wana JF, Kwanza kabisa niwapongeze wote kwa kumaliza weekdays salama. Pia Ngoja niendelee na mada yangu hapo kwenye title. Mimi ni mmoja kati ya wana football ambao nilikuwa namuhusudu sana Nabi na nilifurahishwa zaidi na namna ambavyo aliondoka akiwa bado anapendwa, Ni wachache sana...
  10. JamiiForums Tanzania Nahisi tunadanganywa sana kuhusu kiasi cha umeme kunachozalishwa nchini

    TANESCO wamejificha kwenye kichaka cha uzalishaji wa umeme wa gesi ili kupika data za kiasi cha umeme. Leo hii mvua zimeanza na hali ya umeme imeboreka sana. Inaonekana umeme wetu mwingi ni wa maji. Upatikanaji wa umeme wetu unabadilika kulingana na uzalishaji wa umeme wa maji. Ule wa gesi...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO Simiyu Bariadi imekuwa kero sana

    Habari Wanajukwaa wa JamiiForums ? Natumai mko salaama. Leo ni nina kero ya muda murefu sana kutokana na umeme wa huku Bariadi Mkoani Simiyu ambao umekua ukikatika na kurudi kila wakati kutwa nzima usiku kucha kama ka mchezo flani hivi. Yaani umeme umaweza ukawaka kama dakika 30 hivi au lisaa...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  13. JamiiForums Tanzania Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

    Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
  14. JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa sana

    Njmeshazisoma nyuzi kadhaa humu jamvini zinazohamasisha kilimo. Pamoja na kwamba ni nyuzi za kuvutia, kuna watu wameonekana kuwa na mashaka na hata kuwaita MOTIVATIONAL SPEAKERS watoa mada husika. Na wengine, katika kuonesha kutokukubaliana nao, huziita ni kilimo cha kwenye makaratasi. Lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Usiamini sana watu, mtu ambaye hakuonei wivu ukimzidi ni Baba/Mama yako tu

    Sijui kama ni Bongo au dunia nzima. Adui wa kudumu wa kukufanya uwe na taadhari ni wivu kwa wanaokuzunguka. Usiwe mwepesi kufunguka kwa kula mtu. Hata aliyefanukiwa na tajiri akiona unapiga kahatua kidogo tu moyo unalipuka qnataguta namna ya kukupiga pini. Ujumbe ni kwamba Ukiacha Mjngu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

    Kama haijawah kufika Dar brain inatengeneza image kwamba Dar ni bonge la mji kumbe sio Binafsi before sijafika Dar nilidhani Dar nzima inafanana na Posta, Kariakoo au Makumbusho yana watu wanaishi kwenye apartments kali mixer nyumba za maana. Kumbe Dar imejaa vibanda vya mpesa, vijiwe vya...
  17. JamiiForums Tanzania BRELA ni kero kuanzia kufungua kampuni mpaka kwenye jina la biashara

    Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni. Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

    Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza..... Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  20. JamiiForums Tanzania Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…