sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect

    Kumekua na kipaumbele cha pesa kwenye mahusiano mengi sana siku hizi kutoka kwa hawa wanawake wetu tunaowaita wapenzi, baby, honey, laazizi, mahabuba, nyonga mkalia ini,asali wa moyo na majina mengine kadha wa kadha. Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect way, tofauti yao na wale wa Ubungo...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaochezaga na Mic muwapo jukwaani,Mbarikiwe sana

    Ukihitaji salamu subiri kwanza sikukuu ipite! Nyie wanawake ambao huwa mnaikamata mic kwa ufundi kabla ya show pale jukwaani mbarikiwe sana,kiukweli huwa mnazikonga nyoyo za wanaume wengi mno! Unakuta mwanamke anaikamata mic kwa ufundi mkubwa na kuizamaisha mdomoni kwa manjonjo na madaha huku...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu! --- ROME (AP) — Pope...
  4. JamiiForums Tanzania Ujinga tulioufanya mimi na rafiki wa Ma Mdogo wangu unanitesa sana

    Serious Issue Wiki kama mbili hivi zilizoisha nilienda nyumbani kutembelea wazee, kama mjuavyo mapokeo ya huko Nanjilinji huwa ni yenye furaha na vifijo, ilikuwa vivyo hivyo kwangu mie Siku ya pili tokea mapokeo yangu, kulikuwa na sherehe ya birthday kwa rafiki wa Ma Mdogo wangu, basi bhana...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoto gani uliwahi kuota ikakufikirisha sana?

    Nilijikuta niko kwenye nyumba yenye njia kama barabara ya kwenda underground floor (basement hivi). Kuta za hiyo nyumba zilipakwa rangi ya yellow (njano) na nilivyopiga kama nusu mzunguko niliona ukutani kulikuwa na picha ya nyoka mkubwa kichwa kama kilikuwa juu kama kwanye ground-floor kwa vile...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Mpiga Solo Gitaa hatari Nene Tchacou hakuimbwa sana kama Wenzake Diblo Dibala na Dally Kimoko?

    Kwa anayetaka kujua Uwezo wake atafute ile Video ya Kanda Bongoman ya Live aliyopiga nchini Kenya kabla aliyekuwa Rais wa Kenya Daniel Arap Moi kumpa Saa 24 Kanda Bongoman aondoke nchini Kenya kwakuwa alisababisha Wakenya wasiende Kazini na wakawa wanapigana Vikumbo kuingia katika Shows zake...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara za Kitanzania ni za ajabu sana

    Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
  8. JamiiForums Tanzania Nawalaumu sana Hamas, Serikali ya Israeli pamoja na wale wanaowaunga mkono

    Moja kwa moja.. 1. Kwa nini nawalaumu Hamas ? Sikatai ukweli kwamba Raia wa Palestine wameishi kwa mateso miaka mingi chini ya utawala wa Wazayuni,wakiuwawa kunyimwa haki za msingi nk na nakubali kwamba wanayo haki ya kupambana katika kujikomboa na madhila wanayopitia. Ninapowapinga ni njia...
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO bado shida ni kubwa sana, wiki 3 transformer imeungua haijabadilishwa

    TANESCO imeshindwa kabisa kujiendesha kwanza sehemu kubwa ya nchi iko gizani umeme unakatika Zaid ya masaa manane kwa siku na kuna sehemu transformer imeungua watu wako gizani wiki ya 3 hiii sasa na hakuna hata matarajio,na kuna maeneo watu wanakatiwa umeme Zaid ya saa 24 na bado ukirudi...
  10. JamiiForums Tanzania Madaktari mnatuchanganya kuhusu muda gani wa kufanya mapenzi na mke baada ya kujifungua

    Yaani ukikutana na Daktari wa Mwananyamala na Kumuuliza Mkeo akijifungua ni lini uanze Kufanya naye mapenzi utajibiwa baada ya Siku 40 au 60. Ukiwauliza Madaktari wa Amana na Temeke watakuambia baada ya Miezi Mitatu hadi Sita. Yaani kila Daktari anashauri anavyojisikia na Alichokikariri Chuo...
  11. JamiiForums Tanzania Matokeo darasa la nne yamechelewa sana

    Wanabodi salaam Watoto wa darasa la nne wamefanya mitihani yao hapo Oktoba na sasa wazazi na walezi wanajiandaa kwa ngwe ya darasa la tano. Lakini wanawezaje kufanya maandalizi bila kufahamu matokeo ya vijana wao? Serikali izingatie kutoa matokeo kwa wakati tafadhali
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimekua disappointed sana na Mtu ambaye nilikua namuona wa thamani sana....ni week sasa Tangu nikutane na hio disappointment

    Wakuu, nimekua disappointed na mtu ambaye tuko very close; nilikua namchukulia kama ndugu yangu wa damu. I was very fond of him yan katika circle yangu ya watu wachache, nilionichagulia, na yeye nilikua namconsider. Dah, gafla bin Vu akanifanyia kitu ambacho nikarealize kumbe mimi ndo nlikua...
  13. JamiiForums Tanzania Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

    Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana. Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wengi wa Kiume wa Redio nchini Ukiwasikiliza haraka sana utawagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao?

    Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu. Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania ni wazuri sana! Elezea kwa mifano

    Ni wakamilifu? Sijasema hivyo. Isitoshe, hakuna taasisi ya kibinadamu iliyo kamilifu! Pamoja na madhaifu yao, wana mengi sana mazuri. Shrikisha🙏 Usiandike madhaifu, bali mema tu. Elezea matukio yaliyowahi kufanywa na Polisi wa Tanzania, iwe ulishuhudia au umesimuliwa na mtu mwingine, ambayo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Cris Mauki anapenda sana kwa Wanawake

    Jamaa anapenda sana SIFA kwa wanawake. Jamaa hakuna post yake au video clip itakayoeleza mema ya mwanaume. Yeye clip zake zote ni kumponda mwanaume dhidi ya Mwanamke. Yaani utafikiri hiyo taaluma yake ya Saikolojia ni kwaajili ya Mapungufu ya Wanaume dhidi ya wanawake. Kumbe hajui pia saikojia...
  17. JamiiForums Tanzania Kocha Gamondi "Kombe la Shirikisho ni la kitoto, huku Klabu Bingwa ni kugumu sana, sidhani kama tutafuzu"

    Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza kumuelewa, angekuwa na wakati mgumu sana. Gamondi alianza kwa kuomba msamaha kwa wale ambao...
  18. JamiiForums Tanzania Leo nitawapa jibu la kwa nini wanawake wanaojiuza ni wazuri au wanavutia sana na walioolewa ni wanawake wa kawaida tu

    Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe. Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na duka/supermarket tyr yenye bidhaa moja renewable hapo kati. Kwa hio moja kwa moja anaanza kusupply mara tu...
  19. JamiiForums Tanzania Nawaombeni sana wana JF na mods muwapuuze vijana wanaokuja na nyuzi za kujinyonga

    Hakuna salamu, nimekasirika sana Yaan watu tunapambana kuishi bado tunaumwa maugonjwa ya ajabu yasio na tiba, tuna michepuko 3 na ndoa 2, january (njaanuaru) inakuja watoto lazima waende shule, kabla ya njanuary hizi sherehe wategemezi wote wanakuangalia ww. Halafu unapambana nayo yote unakuja...
  20. JamiiForums Tanzania Nimefikia conclusiion kwamba wanawake wengi ni wepesi sana kudanganywa kwenye imani, 90% ya waumini wa makanisa ya mazingaombwe ni wanawake.

    Makanisa ya mazingaombwe kipaumbele huwa ni kufanya mazingaombwe ambayo watu wengi wenye imani nyepesi huona ni miujiza, neno lina nafasi ndogo sana. Wachungaji wa hayo makanisa wamegeuza imani nyepesi za waumini kujikusanyia utajiri wa kutisha, Mafuta ya kuitwa ya upako yanatengenezwa hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…