sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania vijana msome mjaribu bahati ya ajira, mjiajiajiri / biashara, kuwa msanii au mwamichezo ni kundi halizidi watu elf 1 nchi nzima waliofanikiwa.

    >> MOVED <<
  2. JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye MAADUI Wengi au MNAOCHUKIWA sana pokeeni huu Ujumbe wenu Kuntu kabisa.....

    Muwe na Weekend Njema na MAADUI zetu tafadhalini msiache Kutuchukia akina GENTAMYCINE. Kudadadeki.....!!
  3. JamiiForums Tanzania Tulifika Dar saa 9 usiku kutoka Zanzibar, kitu cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi

    Hivi karibuni nilikuwa Zanzibar, baada ya shughuli zangu nilikwenda bandari lakini nikawa nimechelewa boat. Nikalazimika kupanda ile ya saa 3 usiku. Tulifika Dar saa 9 usiku ila cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi. Hii iliniacha na maswali sana kama kuna kusafiri usiku kwa nini...
  4. JamiiForums Tanzania Leo nimejisikia vibaya sana wakuu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Siku ya leo kwangu imekuwa siku mbaya sana kwasababu mimi huwa nina huruma sana na huwa naguswa na matatizo ya watu wengine wanayopitia!. Leo nilikuwa nimeenda Hospitali moja pale Sinza,nilimpelekea Dada mmoja hivyo ikabidi nipaki nje kumsubiri!, Sasa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amefeli sana kwenye siasa tangia arubuniwe kuisambaratisha CHADEMA amekwenda ACT hana tena mvuto ameamua kustaafu

    Msaliti hana maisha marefu kwenye siasa. Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo waliandaa njama yakuivuruga CHADEMA , wakakamatwa na kufukuzwa. Akaenda kuanzisha chama chake kwa lengo lakuisambaratisha chadema . Amepambana awezavyo ameshindwa imemlazimu aamue kung'atuka chama kisife mikononi mwake...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kwanini waislam wanazipenda sana China na Russia kuliko USA

    Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA. Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Marekani inakuwa stronger sana kiuchumi au kijeshi kwa sababu ya strong base ya demokrasia waliyo nayo. Hata rais haiwezi kuleta migumo yake

    Sijui kwanini cho za Afrika au za Asia hazijifunzi kwa marekani wakawa na demokrasia. Hivi kwa mfano Kim jong UN, Putin nk wakifa lazima nchizi zao zitingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe mana mtu mmoja ndo mwamuzi wa mwisho tofauti na marekani ambapo hata Rais siyo final. Nchi za Afrika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Majibu Kuntu ya kwanini ndoa nyingi zinavunjika sana siku hizi haya hapa

    Ndoa nyingi za sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu mbalimbali ikiwemo wanandoa kuishi maisha ya kuigiza kabla ya kuoana na baada ya kufunga ndoa kujikuta wakifahamiana kwenye uhalisia hivyo kuondoa kabisa yale matarajio ya mmoja kwa mwenzake. Hii ina maana wakati wa uchumba sehemu kubwa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya uwakala wa benki, nambieni shortcut; process ni ndefu sana

    Mambo ni mengi naombeni aneyejua shortcut 😀
  10. JamiiForums Tanzania Dunia ni tamu ila nifupi sana jitahidi kufanya yaliyo MEMA

    Ndugu zangu DUNIA ni kweli ni TAMU ila ni FUPI sana., jitahidi sana kufanya yaliyo MEMA. Katika mema yako usisahau na muumba wako, pia usisahau na WAZAZI wako. Kwani wao ndio wamefanya uone mwanga wa jua wa DUNIA. Pia jitahidi sana kuishi vizuri na wanao kuzunguka pia. Kwani...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Mtaa Kawe: Kweli kuna kundi la Wahalifu wanatumia kivuli cha Ulinzi Shirikishi, wanatuchanganya sana

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mzimuni, Kata ya Kawe, Raiya Nassoro akifafanua kuhusu matukio ya Uhalifu maeneo ya Kawe katika eneo la Tanzania Packers. Mtaa huo una Ulinzi Shirikishi ukiwa umegaiwa katika Mitaa saba, moja kati ya maeneo hayo ni eneo la National Housing, ni kubwa lakini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

    habari wadau. hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi. mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela iwepo ya ku afford standard basic needs. mwanaume ukimaliza chuo ukajipata fasta, yaani ukapata kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu? Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho. Japo naona na napata...
  14. JamiiForums Tanzania JamiiForums website inapendeza sana na fire bubbles za leo.

    Happy New year family, Japo nimechelewa kuingia kwenye website yangu pendwa ya JamiiForums leo nilivokutana nazo zilinivutia sana na zimenifanya niingie kila muda, Kudos kwa team nzima na technicians kwa ujumla, kazi yenu ni nzuri na inapendeza, Ningeomba kama mlipanga zikae siku moja basi iwe...
  15. JamiiForums Tanzania Dada kama jamaa yako anapiga deki 2024, basi mshikirie sana

    Kila nikijaribu kuzama nashindwa kabisa, nimejaribu sana lakini nikifika karibu kuanza kuna kitu kinaniambia " acha uboya wewe". Dada ukipata mwamba wa aina hiyo mfunge kabisa kamba.
  16. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana

    Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana.
  17. JamiiForums Tanzania HAMAS wamesakamwa hadi wamebakia kurusha roketi moja moja tena kwa kujificha sana

    Hawa hawa waliokua wanarusha mamia na maelfu ya rockets, wamesalia kurusha roketi moja kwa siku tena kwa kujificha sana maana kila wakifyatua, hapo ilipotokea panasambaratishwa kwa majibu ya Israel. Wamefifia maana kuna siku zinapita hawajarusha chochote, wamepoteana na kusakamwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania bhana yaani ukiwa tu na Uwezo wa kukusanya 'tustori tustori twa tujasusi' basi haraka sana unaitwa Jasusi

    Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee. Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Nakwenda kwenye kifungo kigumu sana 2024 ila kitanisaidia sana.

    1. Sita angalia tena movie Wala kusikiliza Muzik wa aina yoyote ile. 2. Social media zote Twitter, Facebook, Instagram na nyingine zote tazi mute kwa mwaka mzima isipokuwa jamiiforum Pekee. 3. Video za vichekesho na short video zote na Zi mute whole year 4. Status za watu Whatsapp zote na mute...
  20. JamiiForums Tanzania KASHFA kubwa ya usalama wa Israel hawa Mossad kumbe hamna kitu sinema zimetudanganya sana.

    Wanaukumbi. KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli: Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza. Katika kukaa kwake kwa miezi 1,5, aliiba vifaa vya kupigana, silaha, vifaa n.k. Pia alijifanya kuwa mwanachama wa Shin...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…