sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Harusi ya Mchambuzi mahiri wa Kike nchini Salama Ngale inahairishwa hairishwa tu sana?

    Mkiambiwa jitahidini sana kuwa Wasiri kwa Mambo / Mipango yenu hasa ile ya Ndani kwani Waswahili tuna Kijicho ( Husuda ) hasa kwa Maendeleo / Mafanikio ya Wengine huwa hamtuelewi tu. Haiingii Akilini yaani Harusi ya Mchambuzi mahiri wa Kike wa Soka nchini Salama Ngale mpaka sasa imeshahairishwa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

    Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife. Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza...
  3. JamiiForums Tanzania Kama tukiendelea kuamini kwamba huu mgawo wa umeme ni halali basi tutakuwa ni wajinga sana

    Nisikuchoshe Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki? Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali kiasi hiki? Kwanini bwawa halikamiliki kwa wakati? Sikuwahi kufikiri kwamba waziri wa nishati ni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wakatili upenda sana kuhubiri kulogwa, kuuawa, kudhurika na kumtaja sana Mungu?

    Watu wengi wasiotenda haki ni wepesi sana kuamini katika kulogwa na kudhurika. Upenda sana kuifanya jamii ionekane kama ina kizazi cha watu wakatili na ambao wasingependa wenzao wafanikiwe. Kwa upande wa pili viongozi hawa upenda sana simpathy na perfection huku walio chini yao wakitakiwa kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Singapore ni kama Wilaya ya Kigamboni tu lakini ina uchumi mkubwa sana

    Ni jambo LA kusimitisha Sana kuona nchi ndogo kama Singapore ikiwa na uchumi mkubwa kuliko taifa lolote ndani ya bara LA Africa Ukubwa wa Singapore ni kama tu wilaya ya kigamboni. Ina raia karibia million Sita Uchumi wake ni gdp karibia 500 billion usd. Kwanini tunazidiwa na nchi ndogo kiasi...
  6. JamiiForums Tanzania Investigation discovery (IDx) moja ya channel nzuri sana

    Kama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani Ni ukweli usipingika kwamba wahalifu wa marekani wanatumia akili kubwa sana na wapelelezi na polisi...
  7. JamiiForums Tanzania Niamini..Usitoe Code ya Biashara Yako...!

    Biashara ni siri..aisee usitoe code kabisa Mimi kuna biashara nilikua nafanya 7years back sasa bana nikampa code wife...wife ana rafiki yake si ampa siri yote! Nakuja ingiza mzigo sokoni aisee! Soko Limejaa..nikabaki najiuliza Nikatumia umafia sana nikajua ni yule dem na mumewe Nika mbana...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza rangi nzuri za kupaka kwenye nyumba kwa Bei nafuu

    Habari karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira Karibu sana mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms Whatsapp 0715 128 827
  9. D

    JamiiForums Tanzania PJ na Hando ni watangazaji wenye I.Q kubwa sana

    Aise kwangu mimi PJ kutoka clouds FM na Gerald Hando kutoka Wasafi Media hawa watu huchoki kuwasikiliza wana madini, ● Wazuri katika uwasilishaji wa mambo magumu katika lugha rahisi ● Wachambuzi wazuri hasa wa habari ngumu za kisiasa ● Pia wana kaliba km ya uongozi hivi
  10. JamiiForums Tanzania Nina hamu sana ya kusikia kuna mabadiliko madogo/makubwa ya Baraza la Mawaziri, Ma RC's na DC's kuanzia sasa

    Nitafurahi mno nikisikia kuna mabadiliko haya kwani kwangu mimi GENTAMYCINE naona Overall Performance ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sasa ni below standard (very poor) Natumai kwakuwa Mteuwaji Mkuu huwa Ananisoma sana GENTAMYCINE na tuko nae hapa JamiiForums tena hii mida ya Saa 10...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Neno kubarikiwa limeshuka hadhi. Wagalatia tunapita wakati mgumu sana

    Mzuka wanajamvi. Yani Papa katuangusha sana. Sasa hivi mtu unaogopa hata kubarikiwa tu na mchungaji. Yani hata humu jamvin upande wa pili wanatudhibiti sana katika hoja pinzani kwa kutuambia Nenda kabarikiwe. Unabaki tu umelegea na kunyong'onyea yani wanatuweza kichizi. Neno kubarikiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Karibu sana Mwenezi Paul Makonda ndani ya Songwe

    Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa nyingi,unakaribishwa kuhudhuria mikutano ya mwenezi wetu taifa. Karibuni sana,Kidumu chama cha...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

    Habari za Usiku wana JF, Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
  14. JamiiForums Tanzania Tuacheni uzinifu, madhara yake ni makubwa sana hata ukitoa magonjwa yaliyopo

    Leo ngoja niweke ushahidi wangu binafsi. Kuna mahala kwenye mijadala yangu humu niliwahi kusema nina mke mmoja na michepuko watatu ila watu wakapinga. Lakini ukiachana na michepuko hao watatu wapo wengine wasio rasmi ambao kila nikikanyaga mikoa husika nachagua mmoja aje kutoa huduma. Hapo...
  15. JamiiForums Tanzania Hili jambo linanigharimu sana

    Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi. Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Madaktari na maofisa wengine wa kiserikali mnawanyanyapaa sana wananchi

    Idadi klubwa ya wananchi ni dhofu hali na pangu pakavu hivi hizi kauli za madktari kuwalingania wananchi kuwa wapime afya zao kila wiki wanakuwa wakifikiri kuhusu pato la kila mmoja?wapo viongozi wengine wa kiserikali wanatumia kauli za kuwaaambia vijana wajiajiri ila wao ndiyo kwanza wapo...
  17. JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini - Sherehe za Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM Zafana Sana

    MUSOMA VIJIJINI - SHEREHE ZA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zinafanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini. Jumuiya zote za CCM zimekamilisha sherehe zake. Chama kinaendelea kusherehekea kwenye ngazi za Kata. Mbunge wa Jimbo, Prof...
  18. JamiiForums Tanzania Wakongo wanashambulia madereva wanaokwenda kusafirisha shaba, hali ni mbaya

    Kama kichwa cha taarifa hapo juu. Hali si shwari Kongo ==== Kongo kumechafuka, na hali si shwari toka tarehe 2/2/2024, Wakongo hawataki shaba (copper) itoke nchini mwao, gafi yako ikibeba shaba kusafirisha nje inashambuliwa. Gari hiyo inayoonekana kwenye video inasemekana ni kutoka kampuni...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule wanawatesa sana walimu aisee

    Yaani Kuna shule Mkuu wa hiyo shule anawachukulia walimu wake kama watoto. Kufika kazini ni saa 1 kamili, kutoka ni saa 11 jioni na ni mkali balaa kuwaandikisha barua kila wakati.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Dear Mama! Usipoweka sheria nzuri za chaguzi utaishia kwenye stress sana mwisho wake!

    Napenda kupendekeza kwa Mama. Hayo maendeleo pekee haita kuwa sababu ya watu kukusamehe kwenye sheria mbovu za chaguzi hasa kama vyama vikuu vya upinzani vitagomea uchaguzi. Ukweli ni kwamba huko ndiko tunaelekea. Hao wanao kudanganya mambo yatakuwa powa sio kwako ni kwao. Mambo hayatakuwa powa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…