sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Profesa Janabi kuhusu lishe ni mzuri sana lakini upo too general

    Wakubwa habari za mchana? Bila shaka mnaendelea vema na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni moja ya watu ambao wanamfuatilia sana Prof. Janabi, Mkurugenzi mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Huyu mtaalamu anatoa ushauri mzuri sana juu ya watu kuzingatia ulaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini na kujiandaa vizuri huenda Machi 2, 2024 wana Simba SC tukachekwa sana

    Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu. Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo tujiandae kulia, kuumia na kuchekwa. Nimemaliza.
  3. JamiiForums Tanzania Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

    Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tunamtaka Hersi ampe mshahara mzuri Mudathir Yahya

    Mudathir Yahya: Nyota Inayong'ara wa Young Africans SC here is why?? # Uwanjani: Uchezaji wa Kusisimua Mudathir Yahya amekuwa akiwasha moto uwanjani. Uwezo wake wa kubadilisha mwelekeo, kuona vizuri uwanjani, na kudhibiti kiungo cha kati unamfanya kuwa mchezaji wa pekee. Kuanzia kuzuia pasi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭

    Hii ya leo imeniuma Sana hadi nimelia..... Kuna watu wanaroho mbaya Sana. Wafaanya biashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭😭 Bas mwenzenu Mimi nafanya biashara online, Sina bidhaa Ila nikipta mteja baada ya kupost ndo nikamchukulie. Sasa pale kariakoo nimewazoea...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nani kama mama ni msemo wa kijana mdogo, Nimeshuhudia baba akisota kwajili yetu bila kulalamika, stress bila kuonyesha masikitiko, wazazi wote ni sawa

    Nawapeni elimu ndogo kabisa, Ni baba ndiye alikuwa/ anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia/ kuwapa mnadhani ni zake. Nani kama mama ni misemo ya watoto/ vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi...
  7. JamiiForums Tanzania Kazi ya Wakuu wa Mikoa ni nyepesi sana

    Heshima sana wanajamvi, Inafahamika Jumanne yatakuwepo maandamano hapa Jijini Arusha. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha imekuwa katika harakati kubwa za kutaka kuyazuia maandamano hayo kwa kutumia njia haramu na zinazo kiuka misingi ya katiba yetu yenye mapungufu mengi. Mosi kamtumia mwenyekiti...
  8. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally aliumizwa sana na matokeo ya CR BELOUIZDAD kwa Mkapa

    Utani wa aina hii hausaidii timu yako kufanya vizuri. Huwezi kuifananisha Horoya na CR BELOUIZDAD hata kidogo. Nadhani hakutarajia kuiona CR BELOUIZDAD ikifungwa goli 4-0 na yanga kutinga robo finali siku hiyohiyo kabla ya mechi moja mkononi. Anaweweseka na kufadhaika, hakulala siku ile. Ahmed...
  9. JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

    Habarii ndugu zangu Wana jf,Ni muda Sasa nimekuwa nikifanya sex under performance yaanii chini ya dakika mbili tayarii nakuwa nimeishamaliza na hunichukua Hadi dakika 15 au zaidi kurudia round ya pili ambayo huwa ya mwisho na yenyewe pia huaga naenda haizidii dakika labda mara moja moja huwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania latest Car ni chache sana kuonekana. Bado wanaagiza Magari ya 2000-2010

    Kwanini Tanzania bado wanaagiza Magari ya zamani sana. Yaani mpaka Leo mtu bado anaagiza Old Model Car.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mafanikio kiduchu kelele kama zote, Kwanini watu wa Forex wanavimba sana na kutaka attention hata kwa mafanikio madogo?

    1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot. 2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa online business mkoa wa Mbeya una watu Smart sana sio washamba kama Mwanza

    Hua nafanya online business hasa ya electronics kama simu, computer,na laptops before nilikua nafanyia mwanza nikahamia mbeya tangu January Biashara mwanza ilikua ngumuh Sana wateja pasua kichwa mwanza Ina watu wengi na Kundi kubwa la watu wanakaushamba Flani Ivi laiti mwanza ingetambua...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga tumuombee Simba afuzu makundi... Itakua faida kubwa sana kwetu

    Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory coast afcon) Hawa asec, Simba, mazembe, es Tunis, Petro Luanda tunawamudu vizuri sana.... Hawa tuombee...
  14. JamiiForums Tanzania Ninawaogopa sana viumbe wa kuitwa binadamu

    Nimejikuta ninawaogopa sana binadamu kutokana na visa mbalimbali nilivyowahi kupitia kwenye maisha yangu. Asili yangu ni ukimya na utaratibu lakini kuna wakati maisha yanahitaji ujichanganye na watu mbalimbali kutokana na mifumo yetu. Na ndicho kipindi nilichojifunza kuwa binadamu ni kiumbe...
  15. JamiiForums Tanzania TFF wanaihujumu sana Simba

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mienendo ya hawa waliopewa dhamana ya kusimamia mpira wa bongo. Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana. Kwenye ratiba za CAF za mwaka huu, wamewatanguliza Simba kucheza alafu Yanga wanafatia. Hii inawafanya wacheze wakiwa wanayajua matokeo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwetu Yanga 'head to head' ni akiba tu, tunaenda robo fainali tukiwa vinara wa kundi

    Naam, hakuchi, hakuchi kumekucha.. Siku nyingine tena tumeamka tukiwa na furaha, baada ya mbugi kali baina yetu sisi mabingwa wa kutandaza soka la kisasa na la viwango hapa TZ na waarabu wa Aljeria kisha kuibuka na ushindi mnono uliotuhakikishia kuingia robo fainali ya kombe la klabu bingwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Niseme ukweli, yanga sc mmeniudhi sana leo..!!!

    Hello Mashabiki wa Yanga, popote pale mulipo, kunjeni ngumi, pigeni kifuani kisha hewani huku mkitamka 'Wananchiiiiii...!!!' Ahsante sana, mmeliheshimisha Taifa. Yap.. kwa kila mwanayanga leo ni siku kubwa mno, siku ya kufurahi.. Aliyekutenda, na wewe mtende! Yanga kamtenda zaidi CR...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa. Yesu ndiye mponyaji!
  19. JamiiForums Tanzania Waislamu nchi wakipelekwa kwenye nchi wanazoona bora watarudi mbio Tanzania wakiangalia amani walioiacha hapa

    Ukitaka kujua shida angalia wale kila kukicha wakikimbilia Ulaya kutafuta amani na utulivu na nchi nyingi ndio za kiislamu. Sasa kuna Msomali mmoja alikuwa rafiki yangu sana japo Kiswahili chake cha shida kwa sasa yupo Canada, kuna neno aliniambia; "Hawa wanaojifanya hapa Tanzania uislamu...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Punyeto ilinitesa sana nikafanya hivi kuacha

    Miaka ya 2000 mwanzoni mimi Babu Njunju mzee wa kunjunja na kunjunjumila niliteseka sana mpaka nikafikia kujipa cheo cha master nyeto. cha ajabu ili nigairi kunyetoka hiyo siku husika basi niwahi kuoga nipande kitandani niendelee na shughuli hapo kitandani. hapo sitanyetuka. lakini la haula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…