sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii imenisikitisha sana hivyo sitalikalia wazi nitaliongea wa kujifunza ajifunze wa kunirushia mawe arushe

    Kuna kitu nimekishuhudia weekend hii ngoja nisimulie hapa labda mtajifunza hasa wazazi. Ijumaa nilikua chimbo moja nimekaa peke yangu natafakari ugumu wa maisha na harakati zake huku nasubiri mdada ambae tulikua na miadi nae, ni aina ya wale mabinti dishi limeyumba ila wazuri balaa, dkk 1...
  2. JamiiForums Tanzania Alie tunga wimbo " ALISEMA NYERERE VIJANA WOTE MLEGEA " ni Genius wa viwango vya juu sana. Wapinzani wanapaswa kujifunza kwa huyu mwamba.

    Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen. Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Mkopo unanitesa sana, si jambo rahisi kama wengi wanavyofikiria

    Mikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria. Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara haikufanikiwa kama nilivyotarajia, na baadaye nikapatwa na majanga yaliyoteketeza hata mtaji uliokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Uongozi: Klabu ya Azam kwetu ni hasara sana. Haina faida yoyote ndo maana ni bora tujitoe tu

    "Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga. Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo...
  5. JamiiForums Tanzania Nimekutana na Demu wa Kiarabu Toronto. Amenifundisha jambo la ajabu sana

    Nlikutana naye Supermarket moja inaitwa T&T ana makalio yanaonekana ingawa kavaa baibui. Sasa ikawa kila nikizunguka nakutana naye. Kama mara 3 hivi. Mwishowe akaja niuliza kama kitu flani nmewahi kutumia ni kizuri. Nikamwambia ni kizuri nmewahi tumia na ni halal kwake. Akacheka na kushukuru...
  6. JamiiForums Tanzania Tumekuwa Mabingwa lakini hatuna Furaha na tumepoa sana. Shida ni nini?

    Yanga ni Bingwa tena. Lakini sioni kama watu wana furaha. Watu hawana furaha. Wana unyonge na wamepoa sana. Sielewi tatizo ni nini ndugu zanguni wana Jangwani. Kuna nini hakipo sawa? Hebu tufurahieni tuwaoneshe hawa Mikia kuwa kombe tunalo na tunatamba nalo. Tuacheni unyonge. Ni kama...
  7. JamiiForums Tanzania Kila binadamu anamtegemea binadamu mwenzake. Usijione una akili sana

    Kuna tabia imeenea siku hizi ya watu kujiona wanajua kila kitu. Ukweli ni kwamba hakuna anayejitosheleza kwa maarifa au ujuzi. Unaweza ukawa bingwa wa hesabu kiasi cha kutatua milinganyo migumu kwa dakika chache, lakini kuna kijana ambaye hajafika chuo anapiga solo la gitaa mpaka ukabaki...
  8. JamiiForums Tanzania Bongo mambo mengi sana

  9. S

    JamiiForums Tanzania Amesikika mtu akisema "tuliona wengi wa polisi wetu wana vitambi ikabidi tuwabadilishie uniform, zile za zamani zilionyesha sana vitambi vyao"

    Nimecheka sana, baada ya kusikia sababu za polisi kubadilishiwa uniform toka zile za zamani. Kumbe sababu ilikuwa kuficha vitambi! Hizi za sasa mashati sio yale ya kuchomekea, na hivyo kutoonyesha vitambi vyao. Huu ni ubunifu mzuri sana wa serikali. Funika kombe.
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini watumishi wa huduma afya wakiwa kazini wanavaa sana yeboyebo je ndio utaratibu rasmi wa wizara ya afya?

    Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu. Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano. Je, ndio utaratibu rasmi wa Wizara ya Afya?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kufanya mazingaumbwe ni skill inayolipa sana

    Kaa wewe umeshajipata katika sekta yako mfundishe mtoto wako apaye skillz za kufanya illusion na mazingaumbwe. Kisha anaanza kutembea shule baada ya shule baada ya shule. kiingilio 500, sekondari buku anaenda ku perform mazingaumbwe Hapo atakua anatengeneza hela nyingi sana kwa performance...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ananisumbua sana huyu mwanamke

    Wakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena. Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye kwao ni Mbeya na mimi kwetu Singida. Nipeni ushauri wakuu. Tumejenga nyumba moja na biashara ya duka
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshindwa kusafiri kisa Uhamiaji Mbeya wamechelewesha passport yangu

    Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran na Wafuasi wa Iran, Palestine Duniani kote Wanamuogopa Sana Netanyahu?

    Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu. Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea wapi? Huwa nasomaga page za huko Twitter, Instagram ikiwekwa habari ya Netanyahu utaoma wenye...
  15. JamiiForums Tanzania CRDB Mnakera sana katika huduma yenu ya SimBanking

    Kuna muda najiuliza kuwa hii App mliiweka ya kazi ipi hasa Tangu asubuhi Mtu wa miamala anashindwa kuhudumia wateja kwa kutumia Simbanking kisa huduma haipatikani Mara hii nimejaribu kununua umeme kwa mara 4 zote sipati majibu yeyote Mlituwekea huduma hii ya kazi gani? Mnakera sana ninyi.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Chadema kuweni macho sana, elevate security alarm/alert to 100%. Hii ni missed target!!! MOST LIKELY!

    Hii ni missed target. Hakuna bahati mbaya. Alilengwa mtu akidhaniwa labda amebadilishana chumba na dereva wake kwa ajili ya tahadhali kama mbinu za kiusalama! Target ikawa missed! Mpeni ulinzi makamu mwenyekiti hata watu 20 all time..Kama kumuua waue na watu Hao 20.
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche. Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili...
  18. JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma vijana na wanaotaka kuanza biashara maana, sehemu nzuri za biashara zimeshaisha

    Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na ukipata basi Kodi itakua ni kubwa, au utahitajika kumuondoa mtu, ulipe wanaita kiremba, kwahiyo mtaji...
  19. JamiiForums Tanzania Dereva wa Lissu alichukua tahadhari haraka na mapema sana kuomba hifadhi ubelgiji.

    Ukishaona hali ya usalama haiaminiki ni kuchukua hatua za dharura, haraka na za maksudi. Usingoje wala kupuuzia. Fanyia kazi hisia zako na kuonywa na watu kama britanicca anavyotoaga alert humu siyo kupuuzia. Dereva wa Lissu alijionea kifo kwa macho na akachukuwa tahadhari. Hata boss wetu...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu Chalamila huu Mji wako mchafu sana hayo mabasi sio uchafu

    Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka. Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro Weka sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…