sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Kongole nyingi sana kwa Dr. Nchimbi kazi yako inaonekana baba

    Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno. Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata muhimu ya chama, wanainchi na serikali baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha majukumu yake...
  2. DR HAYA LAND

    Dini zinawagawa sana watu kuliko kuwaunganisha .

    Maoni binafsi Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja. The bible is there Quruan is there But only few people can use it positively. Watu wanatengana Wanabaguana Wanachukiana Dini zote zinafundisha UPENDO lakini...
  3. GENTAMYCINE

    Ila Watanzania bhana.....Nimecheka sana na sijui huwa mnawaza nini

    Eti uende kwa P Diddy utoke bure? Umeshaona Timu ya nje inakuja kwa Mkapa na inatoka bila Kufungwa? Kwahiyo Nyumbani kwa P Diddy ni kama tu kwa Mkapa ukiingia lazima Uchapike na ikibidi hata Kuyaacha kwa Watoto wa Pwani hapa mmenielewa vyema tu najua. Aliyetengeza hiyo Clip ni Mbunifu mno kwani...
  4. knows

    Hii hali inaniumiza sana

    Habar wana jf, Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania. Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu. Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga...
  5. Scared

    RAIS WANGU MAMA SAMIA NI BORA SANA MAAFISA UBASHIRI KURA YETU UNAYo

    Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto...
  6. Tlaatlaah

    Huruma, upendo na msaada wa Mungu ndiyo msingi wa mafanikio yako kisiasa, kijamii na kiuchumi

    Historia ya maisha yako ya zamani tangu kuzaliwa, malezi na makuzi yako kiroho, kimwili, kielimu, kisiasa kijamii na hata kiuchumi ni Huruma ya Mungu tu. Na hata hapo ulipofikia hivi sasa ni Upendo wa Mungu tu Na unapoelekea ni pekee Msaada wa Mungu ndiyo wa kukufanikisha. Jifunze kua na...
  7. Mrs Gudman

    Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?
  8. mdukuzi

    Hizi ajali mbili za malori zilinifurahisha sana nilitamani zijirudie

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa kuwa polisi wanakuja ku search nyumba kwa nyumba, tulificha zile bia wiki nzima ilikuwani kufyonza tu...
  9. M

    Msaada wa rehabilitation centre (rehab) inayopatikana Boma Ng'ombe Karibu na KIA, Kilimanjaro

    Inakuwaje wanajamvi? Matumaini yangu wote mu bukheri wa afya na mnaendelea vema na pilka pilka za kila siku. Naombeni msaada kwa yoyote anayejua rehabilitation centre (rehab) ambayo inapatikana Boma ya Ng'ombe Karibu na Kia kilimanjaro. Please Wadau naomba maelekezo kwa yoyote anayeijuwa...
  10. Nehemia Kilave

    Ni lini Mchungaji Msigwa atafikishwa mahakamani na Mbowe ?

    Naona bado anaendelea , au sio post yake ? Au wanajuana madhaifu yao ? Au anazo bilioni 5 ?
  11. excel

    Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

    Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao. Kwa kweli wakati...
  12. Brojust

    Ogopa sana hili jambo kwenye Daladala

    Salaam wanajukwaa Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji ) Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu...
  13. R

    Ni kitengo / role gani ambayo kazini/ofisini kwenu mnahangaika sana au mlihangaika kumpata mtu wa kuijaza ambaye ana weledi wa kutenda kazi???

    Sisi ofisini kwetu tulihangaika sana kumpata IT aliyebobea ,kila aliyekua anakuja aligundulika kuwa kiazi. Wewe/nyie je???
  14. Mshana Jr

    Chama Tawala kimechoka sana

    Huu ni zaidi ya utoto na upuuzi wa viwango vyake. Hali ikifika hapa tambua kwenye hoja wameshapigwa dafrau la chembe sasa wanachechemea
  15. Hance Mtanashati

    Devil worshippers wanapitia magumu sana huenda P Didy ni mmoja wapo, na huwa wana mwisho mbaya sana

    Utajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si...
  16. BICHWA KOMWE -

    Kwanini iPhones zimekaa kishamba sana?

    Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone. Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika. Huwezi kukuta mtu...
  17. L

    Jenista Mhagama ana heshima na unyenyekevu sana. Embu angalia hapa ujue kwanini anapendwa na kila Rais anayeingia Madarakani

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiachana na uchapakazi , uzalendo na kubadilika kulingana na Mazingira kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama. Lakini ukweli unabakia kuwa heshima na unyenyekevu wake ni miongoni Mwa vitu vinavyomfanya kujenga ushawishi kwa kila Rais anayeingia Madarakani kumuweka katika...
  18. Brojust

    Sema maisha yanaenda kasi sana, hivi ni kweli iPhone 16 Promax kwa hapa bongo ni 6,800,000/=

    Salaam wakuu! Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania. NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo" Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
  19. N

    Wamiliki wa Migodi ya Shanta ni WaTanzania lakini wanayanyasaji sana

    WaAfrika sisi ni wajanja wajanja tu. Wamiliki wa Mgodi wa Shanta (WaChaga) ambao wana sites zao Singida, Mbeya na kwingineko wamekuwa miungu watu. Hawa jamaa wametuajiri bila kufuata taratibu za kisheria kwa kotokuruhusu sisi wafanyakazi tuwe na wenza wetu mahali pa kazi lakini pia hawatoi...
  20. Magical power

    Haloteli wezi sana wa bando

    Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu. Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani 🤔🤔
Back
Top Bottom