Salaam, Shalom!!
Ni Rahisi sana kutolewa ugonjwa au LAANA iliyosababishwa na Hila za shetani na mapepo yake, lakini ugonjwa au LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi huna namna ya kuiondoa.
Ukipatwa na LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi waliokulea, huwezi pata msaada kwingine kokote, hayupo wa kukuombea, ni sharti urudi Kwa uliyemkosea.
Ukishambuliwa na shetani na Majeshi yake, Ukiwa katika mikataba ya kishetani ukakiuka masharti na kutupiwa vipande, ukirudi na kutubu, ukajisalimisha Kwa Mungu aweza kukuokoa, lakini ukikosana na Mungu, ukaasi, akaachilia LAANA, hayupo wa kukusaidia, hayupo wa kukufungua Hadi urudi Kwa Mungu baba Yako umalizane naye aondoe adhabu,
Shetani anajua tu kuua, kuponya hajui, anajua kuharibu tu, kutengeneza hajui, Hana chembe ya Upendo, ni negative Kwa kwenda Mbele. Shetani hajui kubariki Bali kulaani pekee,
Mwogope sana Mungu mwenye uwezo wa
1. Kubariki na kulaani.
2.Huua na kuhuisha tena.
3. Huadhibu na kurehemu pia.
Sasa Mungu ndiye wa kumkimbilia na kumtegemea, ni baba Mwema.
Ikiwa unapenda kurudisha uhusiano na Mungu wako, fuatisha Sala hii,
Ee Mungu katika jina la Yesu Kristo, ninakukiri wewe kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yangu, ninatubu dhambi zangu zote, ninaomba unisamehe, ulifute jina langu katika kitabu cha hukumu, uliandike jina langu katika kitabu cha uzima, nipe uwezo wa kuishi maisha matakatifu, dhambi isinishinde, uovu usinishinde, ulevi usinishinde, ninaomba hayo kupitia jina la Yesu Kristo aliye Bwana na Mwokozi wa maisha yangu. Aamen