The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Nimekuwa nikifuatiria wahanga mbalimbali wa ajira za serikali, moja ya jambo linalonishangaza ni kuona wahitimu wa vyuo wa miaKa hii yaani 2020 mpaka 2024 wengi wao wakipata ajira za serikali kwa wingi zaidi ukilinganisha na wale waliomaliza vyuo kwa miaka 2014 mpaka 2021 je kigezo...
Bunge lililopo limezeeka sana limejaa vikongwe
Sensa inaonyesha idadi kubwa ya watu Tanzania ni vijana. Vijana wengi wa CCM kachukueni fomu kugombea ubunge na udiwani Ili kama nchi tuanze kupata kizazi kipya cha wabunge na madiwani chenye mawazo mapya yanayoendana na dunia ya sasa
Changamkeni...
Hivi hawa wazee vikongwe ninao waona huku mjini posta, na mitaa ya upanga wakiwa wanaomba omba, huwa najiuliza walikosea wapi enzi za ujana wao,
Kwanini kipindi cha ujana wao hawakuandaa maisha yao ya uzeeni,
Je, hawana watoto wa kuwasaidia?
Unakuta kibibi au kibabu kinapigwa na baridi na...
Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita.
Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado haijakaa sawa hasa kwa vile wafanyabiashara wengi wakubwa wamezihofia bidhaa kutoka nchini Marekani...
Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana.
Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
Kesi dhidi ya Lissu imejikita kwenye dhana kuwa ametoa kauli ya
1. Kuhamasisha uasi
2. Kuzuia uchaguzi
3. Kukinukisha.
Makosa yote hayo ni abstract, hayana legal stand na ni vigumu kwa Jamhuri kutengeneza kesi ya maana. Sanasana inaenda kumdhalilisha SSH, Polisi, Mwendesha Mashitaka na dola...
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Kutokana na msongo wa mawazo nilionao, nikaona wacha nikajichanganye na watu ili kuepusha kujitundika kitanzi
Nimejikuta naweka kituo kwenye kijigenge kimoja kidogo dogo. Kulikuwa na bodaboda watatu ila mmoja wao alikuwa na tabia zisizo za kuigwa na mwanaume wa aina yoyote ile duniani. Maake...
Yanga s.c alipangwa kundi moja na Al hilal Omdurman, MC Algers na TP Mazembe ambapo Al hilal aliongoza kundi huko MC Algers akishika nafasi ya pili, Yanga na TP Mazembe walikusanya vilago na kila mmoja kurudi kwao.
Kwenye hatua ya robo fainali Al hilal ambaye ni top of the group kapigwa nje...
Kwanini wasimuamini Heche, Lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya Lissu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini?
Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo.
Uhaini ni kitu mbaya sana katika...
Nilikua nafannya malipo ya game, sasa kutoka na uizi mtandaoni, wanakata kwanza pesa kidogo, kisha unatakiwa kuingiza hicho kiasi cha pesa kilichokata kuthibitisha kweli ndio mmiliki wa hiyo kadi.
Sasa kimbembe kimekuja, wao wamekata salio kwa usd, ila kwenye kuweka kiwango unachagua sarafu...
Si unakumbuka zilipigwa marufuku Toka 2017 na ikapelekea MPAka mfanyabiashara wa dodoma kujiua sasa wajanja hawakujiua walificha stock na siku hizi wanazitoa zinauzwa kinyemela wanauziwa bei rahisi hasa wakina mama wanaouza gongo wateja wanaambiwa tu hizi spirit ni konyagi au smart.
Pamoja na...
Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke.
Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo.
Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi
Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna...
Mambo vipi. Kwa wajuvi wa mambo hebu tuelezeni mbona tukisoma taarifa nyingi za habari kuhusu wizi wa magari utakuta ni Toyota Noah zinaibea sana na zaidi hasa Kilimanjaro na pia Nairobi. Zina ni I hasa Hadi wezi waziibe sana?
Pia unafanyaje ili ulinde gari lako dhidi ya wezi wa namna hii?
Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.