The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini,
Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma
Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
“Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu. Lakini nawambia tarehe 9 mwarabu atatafuta sehemu ya kupitia.”- Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan...
Eti niki cheat na yeye analipiza ana cheat na mwanaume mwingine.
Sasa najiuliza kama yeye ni jemedari wa kulipiza visasi, mbona nikilipa bills za nyumbani halipizi? Na yeye akawa analipa bills.
Mbona nikilipa ada za watoto halipizi? Nayeye akalipa ada za watoto.
Mbona nikifungua biashara kwa...
Ng’ombe wa Jersey wana uwezo wa kutoa kati ya lita 15 hadi 25 za maziwa kwa siku 🥛, kutegemea na lishe, mazingira, na huduma bora ya mifugo. Ingawa si wengi hutoa lita nyingi kama Friesian (ambao wanaweza kufikia lita 30–40 kwa siku), maziwa ya Jersey yana ubora mkubwa kwa mafuta – jambo...
Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho.
Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia...
Kwa kweli hii nchi tulikuwa tunaongoWa na mshamba kweli kweli. Maendeleo kidogo tu tena almost negligible kelele wiki nzima na kuita vyombo vya habari ili kusifu
Mbona jk alikuwa anaajiri almost walimu na madaktari wote nchima lakini hatukusikia mayowe na mapambo
Mbona samia anafanya mambo...
( Nilikua na miaka kati ya 4-6) Ila kabla sijaanza SHULE ya msingi.
Tumelelewa na singo Maza kwahiyo alikua bize sana kupambania ugali wanae tusilale njaa. Alikua mjasiriamali kwahiyo muda mwingi yupo minadani Leo WILAYA hii kesho nyingine . Kuna wakati dada wa kazi alikua haeleweki...
Wakati watu wanasubiri mwaka 2000 kila mtu alikuwa na hofu sana kwa jinsi mijadala mingi ambayo mpaka wakina kibwetero wakatokea hapo.
Mimi na kumbuka wakati tuna subiria 2000 mzee aliwaita ndugu zake wote na kuchinjwa kuku wa kutosha tukisubiri labda yesu anakuja ndio mwisho wa dunia.
Mwisho...
Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa.
Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
Habari wadau .Moja kwa moja kwenye mada miaka ya hivi karibuni tumeona kundi kubwa la wachekeshaji wa mitandaoni inaonekana Watanzania wengi wanastres sana hadi kufikia hatua ya kununua furaha.
Yani watu wanalipia hela kwenda kucheka .Enyi watawala punguzeni kubana watu wanastress sana...
Agenda ya CHADEMA ya No reform No Election imepelekea baadhi ya wanachama wa CHADEMA kuelekea kuasi kwa sababu ya tumbo. Wengi wao wako pale kwa kutafuta masilahi na siyo vinginevyo. Agenda hii ilianzishwa na Mbowe mwenyewe leo hii mnamlaumu Lissu. Kumbe wengi hawapo pale kwa ajili ya Chama...
Jana jumamosi tarehe 5 ilikuwa ni graduation kwa wanafunzi wa form Six Baobab high school Bagamoyo.
Kuna tatizo Sugu kuhusu huduma ya vyakula siku ya visiting day au mahafali huruhusiwi kwenda na chakula chako au bites zozote kutoka nje, ili swala tumelijadili muda mrefu kwenye vikao rasmi...
Kila kukicha au dakika hapa JF ni mada ambazo utolewa na wanaccm wakijua undani wa Mbowe kuliko wa wasira,nchimbi wala yule CPA makala.
Lengo lao ni lipi na kwa nini wasijadili kuhusu watu wao CCM ambao wamefikia hata kukosa mvuto ndani ya chama na kukomalia swala CHADEMA zaidi.
Nimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu.
Chatgpt
Ana taarifa nyingi sana
Ana kiswahili kimenyooka sana
Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi
Deepseek
Taarifa yake haiwi imeshiba sana
Kiswahili si kizuri makosa mengi hata kwenye kuandika tu spelling...
Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.
Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.