samsung

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania FORBES: Samsung yatajwa kuwa 'Mwajiri Bora Duniani'

    Samsung imetajwa kuwa ya kwanza kwenye orodha ya Forbes ya ‘Waajiri Bora Duniani 2022’ kwa mwaka wa tatu mfululizo. Kwa ushirikiano na Statista, Forbes ilifanya utafiti kwa zaidi ya wafanyakazi 150,000 katika makampuni 800 duniani kote, yakiwemo makampuni kutoka Uingereza, Ujerumani, Marekani...
  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Angalia uwezo wa Samsung Galaxy S22 Ultra

    Angalia maajabu ya Samsung Galaxy S22 Ultra. Kwa teknolojia ya kisasa ya kamera ujue hakuna usiri tena. Unaweza kufanya jambo ukiamini hakuna anaekuona kumbe mtu yuko kilomita kadhaa anakuangalia tu. Juzi baada ya Apple kutoa Iphone 14 nikawa naangalia reviews kadhaa online ikiwemo ya...
  3. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S6 haitaki kusoma line(Mtandao)

    Wakuu msaada kidogo hapa,,, nimenunua hii Simu S6 Ila nilijaribu kuweka line yangu haisomi.. tatizo nini wadau nashindwa kuelewa kabisa.. Simu hii ni Used, nadhan zinajulikana yaan zimetumika kidogo.. Halafu juu ya screen Kuna hicho kiduara sijui ndo kinachosababisha Simu yangu isisome...
  4. lembu

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa simu za Samsung Arusha

    Habari za mchana ndugu zangu, Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na nilikuwa nafanya backup online ila sijui kama kuna jinsi ya kurestore hiyo backup bila kutyumia...
  5. Poker

    JamiiForums Tanzania Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani! N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI CHONDE CHONDE NISIWAONE HUKU!
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Samsung ndiye mtengenezaji wa 82% ya vioo vya iPhone

    Asilimia 82% ya vioo vya iPhone zote, zimetengenezwa na kampuni ya Samsung. Asilimia 12% ya vioo vya iPhone mpya, vimetengenezwa na kampuni ya LG; na asilimia 6% ni ya vioo vya iPhone 14 inatengenezwa na BOE ya China. Ripoti mpya za ndani ya Apple zinaonyesha Apple ina mpango wa kuingiza sokoni...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy S10 inauzwa

    Wanabodi, Samsung Galaxy S10 inauzwa Storage: 128 gb Ram: 8 gb T-mobile Bei: 800000 (Maongezi yapo) Telephone: 0766543258 Dar es Salaam
  8. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Kuweka android version 12 kwenye samsung S9; Inawezekanaje?

    Naomba kufahamu kama naweza kuweka android version 12 kwenye Samsung S9. Ahsanteni.
  9. Chura

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo(LCD) cha Samsung S20 ultra na S10 Plus

    Kichwa cha habari chajieleza, Wakubwa nahitaji kioo cha s10 plus na s20 ultra zote Samsung, kwa Dar au Mwanza vinapatikana wapi? Asante
  10. aise

    JamiiForums Tanzania Msaada Simu yangu ya samsung imejiweka kialama cha funguo

    Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri. Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa kukiondoa hiki kifunguo.
  11. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung A72 inauzwa

    SAMSUNG A72 📱 Storage 128 GB|8GB ⚙️ Dual sim ✅ Battery 5000mAh Display 6.7” Black ⚫️ Tsh 850,000/= From Muscat Oman Inamiezi 6 tu . Haiba shida yoyote 0715160365 📞
  12. TURTEKING

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung J7star

    Samsung J7 star GB32 RAM 2 GB SINGLE LAIN 180000 TEGETA KWA NDEVU 0783231177
  13. mbinda_smartphones

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  14. W

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy M31 for sale

    Samsung galaxy M31 Storage: 128GB Ram: 6GB Camera kali mno: 64 megapixel main, 32 megapixel front Battery: 6000mAh (inakaa na charge mpaka inakera) Coluor: Dark Blue Condition: Excelent/Almost New Bei: 350,000/= fixed Location: Mwanza Ilemela Ni ya kwangu mwenyewe ninaitumia, haina magumashi...
  15. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Samsung One UI ni Version bora kabisa ya Android kuliko versions zozote za Android

    Kama unatumia Samsung siku ukishika simu nyingine za Android unatamani urudi Samsung mapema sana. Nimetumia Oxygen OS ya One Plus, Color OS ya Oppo, MIUI ya Xiaomi na nyinginezo lakini hakuna inayoifikia One UI ya Samsung kwa utamu wa mpangilio wa apps, fluidility, visual impressiveness nk...
  16. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung galaxy A10 for sale

    Nauza samsung galaxy A10, 32GB internal storage na RAM 2 GB bei 200,000/-Price is negotiable Contacts: 0759-124378
  17. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania TECNO yatangaza teknolojia mpya ya RGBW camera sensor + glass ambayo imetengenezwa kwa ushirikiano na Samsung kwenye mfululizo wake wa CAMON 19

    Barcelona, Uhispania, Februari 28, 2022 - Wakati wa toleo la hivi karibuni zaidi la Kongamano la Dunia la Simu (MWC 2022), moja ya matukio makuu katika ulimwengu wa teknolojia ya simu, TECNO Mobile, mtengenezaji wa simu za kisasa wa hali ya juu kabisa tulitangaza kuwa teknolojia ya kichujio cha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya Samsung S20 ultra 128GB Dual Sim

    Wadau nipo njia panda kidogo Hivi Samsung S20 Ultra 128GB dual sim mpya inapatikana madukan kwa sasa hapa DSM na bei yake ipoje maana madealers wengi wakkoo wanadai hamna mpya na wanasisitiza nichukue refurb. Je hizo refurb zina usalama na uhakika kweli? Na bei zake zipoje
  19. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A10 kwa 170,000. Ubungo Dar

    Bei hio 170,000, namba 0713096076 samsung galaxy A10 ipo ubungo external piga simu chap
  20. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Samsung S9 inahitajika haraka sana

    Offer yangu ni 280,000/= Chapu kwa haraka njoo tufanye biashara
Back
Top Bottom