samsung

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Samsung yafungia Smart TV zilizoibwa wakati wa ghasia

    Kampuni ya Vifaa vya Kielektroniki ya Samsung imesema imezifungia runinga za kisasa (Smart TV) ambazo ziliibwa kufuatia ghasia zilizotokea baada ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma, kuhukumiwa na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani. Hukumu ya Zuma ilipelekea maandamano na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuweka dark mode kwenye Samsung J7

    Ni Samsung Android version 6.0.1
  3. maficpgt

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu samsung s8 plain

    Bei ni 320,000/= 64gb|4gb RAM In a very Good condition ▪︎Doted (ina kidoti kidogo kwa juu) ▪︎Haina mchubuko wala mkwaruzo ▪︎Nakupa wire na earphone ▪︎Sehemu yoyote unayoitaka tunaeza fanyia biashara(Hata kituo cha polisi) Contacts: call/sms/whatsapp0654030252
  4. Shark

    JamiiForums Tanzania Cable ya "One connect" kwenye Samsung TV

    Wakuu Kwema? Kuna TV funa nakaribia kuipata, mazingira yenyewe ni kua naipata TV tupu, sasa nimeicheki nimeiona kwenye Pots zake kuna One Connect, USB na Internet tu. Huu wa ONE CONNECT ndi utaunga device itakayokua na pots za HDMI, AV, etc. Sasa nauliza hii device ya One Connect naweza...
  5. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Msaada Samsung A20s imejilock

    Imejilock. Na password yake ni 2000. Siwezi kufanya chochote napokea simu tu. Ikitaka passwaord nikiweka inaniambia nijaribu baada ya sec 30. Kila nikijaribu inarudia tena hivyo hivyo. Kama kuna maujanja mnisaidie tafadhali. Chief-Mkwawa reyzzap
  6. Dyf

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A72 used inauzwa

    Samsung A72 RAM :8GB STORAGE: 128GB SIMU HAINA TATIZO LOLOTE-IMETUMIKA MIEZI MIWILI TU, FULL BOXED INCLUDING RECEIPT NAIUZA KUTATUA CHANGAMOTO LOCATION :DAR ES SALAAM- UBUNGO SURVEY PIGA SIMU: 0658323300 750,000TZS
  7. Below 40

    JamiiForums Tanzania Samsung s6 edge+ inafeli ku acces internet data.

    Asalam wakuu natumaini wazima. Kuna simu Samsung s6 inazingua accessibility ya internet kila nikijaribu ku surf inanambia unblock Samsung internet first hata nikitumia wi fi mziki ni uleule,naombeni ushauri kabla sija restore factory au kuiflash nifanye nini?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Samsung note 4 firmwale

    Members msaada, nahitaj kuapdate mannual samsung note 4 ifike android 6, kwenye web ya samsung ukitaka kidownload wanataka uchague nchi ila tanzania haipo, nichague nchi ipo hapo au yoyote tu maana kwa africa naons south africa (vodafone)
  9. R

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Samsung Smart TV inch 40 bei laki 550

    TV inapatikana Sinza Sweet Corner. Ni samsung inch 40 smart. Haina shida yoyote ile.
  10. Shiningraytz

    JamiiForums Tanzania Display ya Samsung A30 Original

    Nina kioo cha Samsung A30 original, simu ilizima ikiwa na mwezi mmoja tu. Hakina mikwaruzo Nahitaji mashine, ila kama una mashine unahitaji kioo nicheki 0622009372 . Location: Songwe Mbozi
  11. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha samsung A70

    Husika na kichwa hapo juu mwenye nacho anicheck kwa no 0678288666 hii kiwe used au kipya kwa bei za kitanzania.
  12. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Samsung 12 ni kiboko

    Leo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana... Storage ya kutosha lakini kwenye betry ndo nilichoka yani simu ina 60% lakini inaandika 1DAY mpaka iishe...
  13. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Samsung yaipiku Apple kwa mauzo ya simu robo ya kwanza ya mwaka

    Uamuzi wa kampuni ya simu ya Samsung kushusha bei ya simu zake aina ya Galaxy S21 unaonekana kuipa faida kampuni hiyo baada ya kumpiku mpinzani wake wa karibu, Apple katika mauzo ya simu duniani kwa robo ya kwanza ya mwaka huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imeonekana kufanya vizuri katika mauzo...
  14. hp4510

    JamiiForums Tanzania Mwenye Samsung note 10 kwa laki Saba

    Wakuu Niko dar es Salaam, Naitaji Samsung note 10 Bajet ni sh laki saba cash Simu iwe kwenye hali mzuri no michubuko kabisa, Mwenye nayo ani dm
  15. oxlade

    JamiiForums Tanzania Samsung A 02S Vs samsung A 12 Ipi ninunue?

    Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k
  16. Shadow7

    JamiiForums Tanzania TECNO kutwaa tuzo ya simu pendwa baada ya kuishinda Samsung

    Utafiti wa soko la teknolojia, uliofanywa na Kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyombo vya habari na mawasiliano ya simu. Mwishoni mwa mwezi wa nne wametoa report ikionyesha kuwa kampuni ya simu TECNO imechukua nafasi ya kwanza kama simu...
  17. Prince Nadheem

    JamiiForums Tanzania Kwanini Samsung wameanza kukomaa na processor za Mediatek?

    Habari za leo wajamvi? Kama heading invyosema hapo juu. kwa sasa Samsung mobile phones zinaonekana kutoa mid range budget phones kwa kasi sana kila leo ili kuendana na makampuni ya simu ya kichina. Kwa upande wa makampuni ya simu ya kichina nao wameonekana kuja juu kwa kuweka specifications...
  18. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naitaji Samsung note 10

    Naitaji Samsung Note 10 yenye hali mzuri no michubuko, ambayo imetunzwa vizuri. Bajet yangu ni laki sita na nusu. Niko Dar es Salaam. Mwenye nayo tafadhali npm tufanye biashara.
  19. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

    Habari nimeona ni share na nyinyi hii, Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix Hot 10 Play na Samsung Galaxy A02s.na mwisho wa makali hii nadhani tutakuwa tumepata kufahamu ipi...
  20. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Msaada manunuzi ya Lcd Ya Samsung J7 Pro kwenye site ya Aliexpress.

    Natakaa kuagiza LCD hii hapa US $25.88 30% OFF|5.5 ni mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi kwenye mtandao huu pia kama kuna option naweza kupata kwa hapa Tanzania kwa bei nafuu na nikizuri mnisaidie.
Back
Top Bottom