samsung

  1. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania TECNO kuachia toleo jipya la simujanja TECNO CAMON 18

    TECNO tunatarajia kuachia toleo jipya ya simu janja TECNO CAMON 18 hivi karibuni ambayo italeta ushindani mkubwa na simu kutoka kampuni ya Samsung. CAMON 18 Premier ina sifa kuizidi simu ya Samsung Galaxy A52. Kamera TECNO CAMON 18 Premier ina sifa ya kipekee kuwa na GIMBAL CAMERA, ambayo...
  2. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Simu Samsung Brand inahitajika

    Ohy wadau nahitaji simu(Samsung) yenye good condition tufanye biasharaa , Pia isiwe chini ya 64 GB internal itakuwa poa sana. Kama uko Dar au Moro town na una mzigo njoo tuongee
  3. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Samsung yaachia Operating system update Andorid 12 kwa simu S21 Ultra

    Kampuni ya Samsung wameachia updates ya os ya Android 12 ama UI 4 kuanzia tarehe 15 mwezi huu kwa simu za Samsung Galaxy S21 Ultra. Ila hii updates ilianzia huko Marekani, Ulaya na Korea Kusini kwenyewe. Naona kadri siku zinavyoenda inasambaa kwa mataifa mengine. Leo mimi simu yangu imepata...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy Note 10+ inauzwa

    Habari Wanajamvi, Nauza simu yangu mwenyewe ni Samsung Galaxy Note 10+. Ina mwezi mmoja tangu niinunue, ina risiti niliyonunulia na boksi lake Bei ni laki 8.5, inapungua kidogo sana Kwa aliye serious anifuate DM Location, nipo Dar es salaam
  5. S

    JamiiForums Tanzania samsung A Series

    Ninatumia samsung A 7 ya mwaka 2017, na ninaiona iko vizuri kuliko hizi A series nyingine zinazotoka miaka hii hadi zimefika A51, je kuna tofauti gani ya kitaalamu kati ya hii A7 yangu ya 2017 na hizi A series mpyampya zinatoka mfululizo. Nisije kuexchange A7 yangu nikajuta ?
  6. Samsung_Store_Tanzania

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung galaxy A32 bei 750,000tsh

    Samsung Galaxy A32 Bei:750,000Tsh PHONE:0622666111 RAM:6gb internal storage 128gb camera:64MP+8MP+5MP+5MP battery:5000mAh,fast charging 15w Os:Android 11, One UI 3.1 Network:LTE warranty:samsung care + 2years na warrant ya kioo 1 year karibu tupo china plaza ground floor tunaangaliana na lift...
  7. Abu Haarith

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubypass samsung galaxy a12 nitalipia huduma

    Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina samsung yangu galaxy A12 ime hard setiwa nahitaji msaada wa kutolewa pass nitalipia huduma
  8. Tugutuke

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A21s for Sale

    Simu Used Full Box iko sokoni,Full Documents. Brand; SAMSUNG A21s Internal; 64GB RAM; 4GB Condition; Iko kwenye hali nzuri,nimeitumia miezi 5 tu. Location; Dsm. Price/Bei; 350,000/- Mawasiliano; Njoo PM kama tutaelewana hapa. Karibu tuongee BIASHARA.
  9. Samsung_Store_Tanzania

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A03s zimeshafika brand new 350k

    Samsung Galaxy A03s zimeshafika brand new Karibu tukuhudumie tupo kariakoo china plaza ground floor shop no 4 ,tupigie 0622666111 zinakuja na warranty ya miaka 2 Key Specs ☑️Display 6.50-inch (720x1600) ☑️Processor MediaTek Helio P35 ☑️Front Camera 5MP ☑️Rear Camera 13MP + 2MP + 2MP ☑️RAM 3GB...
  10. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Natafuta Samsung Tab 8 Mpya

    Hello Wadau, Niko Dar. Natafuta tab 8 mpya. Isizidi laki 4. Au Tab T. Nishtue inbox. niko Dar mpaka kesho jioni
  11. dardealz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung S8+ / S9+ bei nafuu sana

    Offer BABKUBWAAA[emoji419] USED SmartPhones (clean condition) from Japan, UK & Dubai sasa zinapatikana bei rahisi[emoji3578] S8 Plus - 415000/=[emoji736] [emoji3541] Storage 64GB [emoji3541]Ram 6GB Colors - Mix S9 Plus - 465000/=[emoji736] [emoji3541] Storage 64GB [emoji3541]Ram 6GB Colors -...
  12. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung S8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy S8 Edge Ina 4GB Ram 64GB Storage Battery health 100% Inakuja na Original Fast Charger na Kava lake. Haina crack wala mchubuko wowote. Imetumika miezi 2. Bei 390,000 maelewano yapo. Contact 0623464795
  13. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

    Wakuu, habari za jumapili? Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine. Kwanza kiko smooth, hii 120HZ screen refresh rate ni habari nyingine kabisa. Simu laini, ukigusa tu kidogo app ishafunguka...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Samsung yafungia Smart TV zilizoibwa wakati wa ghasia

    Kampuni ya Vifaa vya Kielektroniki ya Samsung imesema imezifungia runinga za kisasa (Smart TV) ambazo ziliibwa kufuatia ghasia zilizotokea baada ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma, kuhukumiwa na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani. Hukumu ya Zuma ilipelekea maandamano na...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuweka dark mode kwenye Samsung J7

    Ni Samsung Android version 6.0.1
  16. maficpgt

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu samsung s8 plain

    Bei ni 320,000/= 64gb|4gb RAM In a very Good condition ▪︎Doted (ina kidoti kidogo kwa juu) ▪︎Haina mchubuko wala mkwaruzo ▪︎Nakupa wire na earphone ▪︎Sehemu yoyote unayoitaka tunaeza fanyia biashara(Hata kituo cha polisi) Contacts: call/sms/whatsapp0654030252
  17. Shark

    JamiiForums Tanzania Cable ya "One connect" kwenye Samsung TV

    Wakuu Kwema? Kuna TV funa nakaribia kuipata, mazingira yenyewe ni kua naipata TV tupu, sasa nimeicheki nimeiona kwenye Pots zake kuna One Connect, USB na Internet tu. Huu wa ONE CONNECT ndi utaunga device itakayokua na pots za HDMI, AV, etc. Sasa nauliza hii device ya One Connect naweza...
  18. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Msaada Samsung A20s imejilock

    Imejilock. Na password yake ni 2000. Siwezi kufanya chochote napokea simu tu. Ikitaka passwaord nikiweka inaniambia nijaribu baada ya sec 30. Kila nikijaribu inarudia tena hivyo hivyo. Kama kuna maujanja mnisaidie tafadhali. Chief-Mkwawa reyzzap
  19. Dyf

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A72 used inauzwa

    Samsung A72 RAM :8GB STORAGE: 128GB SIMU HAINA TATIZO LOLOTE-IMETUMIKA MIEZI MIWILI TU, FULL BOXED INCLUDING RECEIPT NAIUZA KUTATUA CHANGAMOTO LOCATION :DAR ES SALAAM- UBUNGO SURVEY PIGA SIMU: 0658323300 750,000TZS
  20. Below 40

    JamiiForums Tanzania Samsung s6 edge+ inafeli ku acces internet data.

    Asalam wakuu natumaini wazima. Kuna simu Samsung s6 inazingua accessibility ya internet kila nikijaribu ku surf inanambia unblock Samsung internet first hata nikitumia wi fi mziki ni uleule,naombeni ushauri kabla sija restore factory au kuiflash nifanye nini?
Back
Top Bottom