Naomba kujuzwa bei ya Samsung S20 ultra 128GB Dual Sim

MATEO GODFREY

Member
Apr 7, 2014
33
53
Wadau nipo njia panda kidogo

Hivi Samsung S20 Ultra 128GB dual sim mpya inapatikana madukan kwa sasa hapa DSM na bei yake ipoje maana madealers wengi wakkoo wanadai hamna mpya na wanasisitiza nichukue refurb. Je hizo refurb zina usalama na uhakika kweli? Na bei zake zipoje
 
Back
Top Bottom