samsung

  1. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mwenye kioo cha Samsung S10+ Super Amored kuna Tsh 200,000/= Cash

    Ndiyo nahitaji kioo cha Samsung S10+ Super Amored chenye frame yake kabisa. Atakama ni used fresh ilimradi kiwe kimenyooka tu. Ofa yangu ni Tsh 200,000/= Location ni Dar es Salaam - Ilala -Kariakoo Namba ya simu 0622 901670
  2. T

    JamiiForums Tanzania Samsung imeachia update ya Android 14, One UI 6

    Samsung imeachia update ya Android 14 One UI 6 toka wiki iliyopita. Kwa wale wenye simu za Galaxy 23 Ultra unaweza ku-update simu yako kwenda One UI 6. Binafsi nilisha update lakini sioni tofauti yoyote na One UI 5.1. Kama kuna alie update humu anisaidie labda mimi ndio sijaelewa customization.
  3. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galax A23

    Habari nauza simu aina tajwa hapo juu. ipo kwa good condition , clean and kila accessory ipo pamoja including charge , air phone and mawasiliano ni. 0756294771....
  4. B

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Samsung note 20 5g full box

    Nauza Samsung Galaxy note 20 5g full box kwa 630k tuuuu Ina ram 8 storage 128 Pia zip Nokia 3310 kwa 65k tuuu
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Simu Za Samsung Zimewasili na Ofa Ya Stend Ya Simu BURE

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta simu za kipekee, chache aina ya...
  6. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Samsung A32 5g korean version kukataa network za bongo

    Habari, Nina sumsung A32 5g inaandikwa kt network Ukiweka SIM card ya tigo inaandika Limited service Haikubali kusoma line za bongo Kwa mafundi software na hardware nipeni solution
  7. R

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu inauzwa samsung A13 Dar. Haina mushkeli

    Samsung A13 dark blue color Ni 64 GB, ram 4 gb. Simu haina tatizo lolote, screen ipo safi. Simu ipo Dar Imetumika miezi 11. Unapewa charger, box, risiti. Muuzaji ana shida ya haraka kugharamia matibabu ya mzazi wake. Ameshindwa kuipiga picha kwa kukosa simu ya kutumia kuipiga picha. Picha za box...
  8. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Ninauza Laptop ya Samsung

    Hellow guys kwema? Ninauza laptop ya Samsung, Ram 4GB, processor 1.5ghz, HDD ~500 GB, haikai sana na chaji unachomeka moja kwa moja ukutani, Price ni 200,000/ Contacts: 0759~124378 Nipo Mbezi ya Kimara
  9. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Msaada Nahitaji Display Original ya Samsung Galaxy A10

    Simu yangu ilitumbukia kwenye maji display ikaharibika niikaweka display nyingine kwa sh 70,000,display hii mpya haina ubora kama ile original iliyokuja na simu na napasuka kama kioo cha dirisha pia inastack ovyo nikitouch.Nauliza kuna anayejua wapi naweza kupata display nzuri na original ya...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Jipatie Samsung Galaxy a03 core kwa bei ya kutupa

    Karibuni wapendwa Simu HAINA TATIZO LOLOTE Inapatikana maeneo ya airport DSM Bei yake NI 160k Serious buyers karibuni DM
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwa smartwatch, Google na Samsung hawana mpinzani

    Kwa wale wapenzi wa hizi Smart watch, Samsung na Google hawana mpinzani. Designing zao ni za sayari nyingine kabisa. Binafsi navutiwa sana na hizi Smart watch za Android hasa kutoka Google na Samsung. Apple nadhani kitu kinaitwa designing sio kipaumbele chake.
  12. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Natafuta unlock codes za Samsung Note 10 5G

    Natafuta codes za simu tajwa hapo juu, Mwenye nazo aje tuyajenge, nakaribisha wadau wote
  13. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Dar - Mbezi Msuguri; Nauza Friji kubwa na ya kisasa (brand samsung) na SOFA nzuri sana (Leather sofa)

    Hello ladies and gentlemen hizi hapa mali safi kabisa Friji iko mwake mwake kama unavyoiona.. Bei 750,000 Tuwasiliane Mbezi kwa Msuguri
  14. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo used cha samsung note 9

    Habari wakuu Kama una kioo au unamjua mwenye nacho, nicheki kwa 0713 039 875
  15. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Ni Samsung aina gani inabamba kwa Sasa mitaani huko mjini?

    Wadau nina bajeti ya 600k Hadi 800k mwisho, nahitaji Samsung inayobamba Sasa hvi huko mjini Darisalama, Ni aina gani ya Samsung. Wadau wa Samsung naomba mukije huku.
  16. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Msaada: Samsung A50 inajirestart

    Wakuu ni saidieni hii simu inajirestart yenyewe hasa baada ya kutumia kwa muda fulani
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Pata Simu za Samsung Note 5, Toleo maalum linalodumu

    nchi ya China, inatengeneza bidhaa kwa ubora aina 2, kuna ambazo made for china (kwa matumizi ya ndani ya china ,zinakuwa imaa mno na mara nyingi hazina box. Pia kuna aia ya pili made for out of china(kwa kuuza nje ya China) zinakuwa na ubora wa kawaida na box. Leo natambulisha kwenu samsung...
  18. kagombe

    JamiiForums Tanzania Camera ya mbele samsung A7-2017 inahitajika

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mwenye camera ya mbele samsung A7-2017 pesa mfuko wa shati
  19. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Samsung Note 10+

    Samsung Note 10+ inauzwa bei rahisi RAM 12 ROM 256GB @450,000/= [negotiable] ☎️ +255676721372 Dar es Salaam 📍
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nina 1m nahitaji sim kati ya iPhone au Samsung

    Mambo vipi wanajamvi. Naombeni ushauri wenu wataalam wa sim za mkonini. Kwa bajeti hiyo sim ipi itanifaa?
Back
Top Bottom