Samsung ndiye mtengenezaji wa 82% ya vioo vya iPhone

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Asilimia 82% ya vioo vya iPhone zote, zimetengenezwa na kampuni ya Samsung. Asilimia 12% ya vioo vya iPhone mpya, vimetengenezwa na kampuni ya LG; na asilimia 6% ni ya vioo vya iPhone 14 inatengenezwa na BOE ya China.

Ripoti mpya za ndani ya Apple zinaonyesha Apple ina mpango wa kuingiza sokoni iPhone Milioni 34 kwa mwaka huu. Na asilimia kubwa ya iPhone zote, zitategemea vioo ambavyo vimetengenezwa na kampuni ya Samsung.

Bado Apple inaitegemea kampuni ya Samsung katika kutengeneza vioo vya iPhone kwa kiasi kikubwa. Japo tangu LG ilipotangaza inaacha biashara ya kutengeneza simu, imeanza kupata deal la kutengeneza iPhone kwa sababu imekuwa sio mshindani wa soko la simu; lakini nyingi inakwama katika upande wa rasilimali.

Maisha ni kutegemeana na ndio sababu hata Apple inashirikiana na mshindani wake katika kutengeneza simu bora.

CREDIT: @ Apollo (@itsapolloo)
 
Kampuni za simu ni ksma zinafanya Assembling tu. Unaweza kuta Apple ni software tu Ios basi kuanzia chip TSMC , vioo sam sung, camera Sony,5G HuAWEI nk
 
Back
Top Bottom