samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wengi tungependa Samia Maduro aondoke !

    Chaguzi fake, utekaji, rushwa, kufunga wapinzani. Samia na Maduro ni sawa kabisa tuendelee kuomba Mungu atamuondoa tu
  2. JamiiForums Tanzania Samia hana mamlaka ya kuongea na wananchi anaongea nini na wananchi wakati wanauwa wananchi akatafute genge lake huko wakae wapige zogo

    Samia hana mamlaka ya kuongea na wananchi anaongea nini na wananchi wakati wanauwa wananchi akatafute genge lake huko wakae wapige zogo.
  3. JamiiForums Tanzania Donald Trump, Samia Suluhu alikuita "WHO ARE YOU?"

    Wakuu, tumchongee Samia Suluhu kwa Trump Baba Donald Trump, Huku Tanzania kuna Mwanamke anaitwa Samia Suluhu Hassan aliikuita who are you.. Mvutie pumzi.. Kwa sasa yupo huko Tunguu Zanzibar. Siku mkimtaka ntatoa Ushirikiano.. Yaani mtamkamata kama kuku wa Kisasa.. Naye anatakiwa apokee unyakuo...
  4. JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nasubiria kuona WABUNGE MACHAWA wakisema SAMIA AONGEZEWE MIAKA MINGINE 20! Thubutuuuuuuu

    Labda kama wao hawakuzika ndugu zao ile MO29 na itafka sku tu watatoa ya moyoni kwa yanayowakuta hasa hawa wakuu wa Mkoa ambao walikubali kutumika kuua Raia majumbani mwao! Nategemea wabunge wapitishe samia aongezewe Miaka 20 ili iwe hakuna nywinywi wala nywinywinywi! ili akiua binadamu wenzie...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Je, Utawala wa Samia Unaielekeza Tanganyika Kwenye Njia Hatarishi Inayofanana na Mauaji ya Halaiki ya Darfur?

    Sudan inakabiliwa na moja ya majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani. Tangu Aprili 2023, zaidi ya watu 400,000 wameripotiwa kuuawa na takribani watu milioni 12 wamekimbia makazi yao. Kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) kimeshutumiwa vikali kwa mauaji ya kimfumo dhidi ya raia wa makabila...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania mnamchukia sana Samia. Sio kwa hizi comments dah...

    Leo katika pitapita zangu mitandaoni nikaingia page ya Millard Ayo kuangalia post za hizi siku mbili tatu. Aisee watu mnamchukia Samia sio poa, yani watu wanakasirika kabisa kuona habari za Samia. Dah . . . . . . Huku nako naona habari Shilole amepata ajali, gari alilopanda limegonga ng'ombe...
  8. JamiiForums Tanzania Samia na genge lake next....

    Unaweza usione uzito wa kauli hii leo. Tuendelee kiwaamini hawa wavaa kaundasuti, wavunja tofali wa vichwa (badala ya akili) na wazee wa shuruti bila sheria kwamba watakulinda. Dawa ya jeuri ni kusudi.... Baada ya Maduro, kituo kinachofuata ni...... Usiseme sijakutonya
  9. JamiiForums Tanzania Samia ,Traore chungeni ndimi zenu na waheshimu Mabeberu

    Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea. The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons. Jifunze kilichomkuta Madulo, alikuwa na mdomo, mikwara, na kuwatesa wapinzani, baada ya kuungwa...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani njooni muwachukue Samia, Wambura na Mafwele kwa kumteka Raia wenu Thadei Kweka

    Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro. Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani. Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
  11. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia kuuaga mwaka 2025 yazua mjadala. Aendelea kukebehi maelfu ya waliouawa. Yadaiwa si halisi, imetengenezwa kwa Akili Mnemba (AI)

    https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
  12. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

    Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee. Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanaccm wanaoteswa na Samia. Wanaccm wengine 2026 hii pazeni sauti kama Gwajima! Nanyi hamko salama

    1. Humphrey Polepole. Alikuwa balozi, katibu mwenezi wa ccm taifa na mbunge. 2. Geoffrey Mwambe. Alikuwa waziri wa uwekezaji na mbunge. 3. Daniel Chonchoriro. Mjumbe wa mkutano mkuu CCM. 4. Sinda Mseti . Mgombea udiwani kupitia CCM huko Sirari. 5. Gwajima . Alikuwa mbunge (CCM) Jimbo la...
  15. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kweli yatapatikana Tundu Lissu akiaachiwa na Rais Samia akikiri watu waliuliwa ili kulinda maslahi ya wanaCCM

    Ukweli upo wazi kuwa watu waliuwawa ili wanaCCM wanamtandao waendelee kuiba rasimali za nchi. Kiongozi mkuu wa CCM akiri wazi kuwa hatukupoteza ndugu zetu kwa kufariki by natural death ila kwa sababu watu walishaukataa utawala wa CCM. Tundu Lissu aachiwe sababu hakuna kesi. Mahakama iishasema...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, you're still lost in your own denial mode. Taifa linahitaji TRUTH & RECONCILIATION COMMISSION na sio TUME YA MARIDHIANO TU!

    Rais Samia Suluhu Hassan bado yumo katikati ya tatizo kubwa na tishio la maisha yake mwenyewe... Rais Samia Suluhu Hassan bado anatafunwa na kufunikwa na KIBURI na JEURI kwa sababu ya madaraka, fedha za wizi na ufisadi, bunduki za Polisi na majeshi yake ya siri akidhani zitaepusha anguko la...
  17. JamiiForums Tanzania Samia hakusema nani kawaondosha hao wapendwa wake

    Nimemsikia mkuu wa dola Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea" Katika kusema huko hakusema nani kawaondosha hao wapendwa? Lakini juzi kati tu hapa alisema wale walifuata mkumbo na aliwapa kubwa kulingana na walivyokuja...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Leo na ombi ya mwaka Samia aondoke kwa njia yeyote

    🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️Nchi haijawahi kumchoka mtu hivi
  19. JamiiForums Tanzania Samia unataka kuridhiana na nani wakati maelfu ya vijana wa Tanganyika wameuwa wasio na hatia yoyote?

    Samia unataka kuridhiana na nani baada ya kuua maelfu ya vijana wa kitanganyika wasio na hatia yoyote? Kabla ya uchaguzi ulianza kuteka wananchi waliokuwa wanakukosoa na kuwapoteza. Majina tunayo yote. Ulipokaribia uchaguzi ukamweka Lissu ndani bila kosa kwa kuogopa ushindani. Siku ya uchaguzi...
  20. JamiiForums Tanzania Samia analihutubia taifa kama nani?

    Nasikia kuna mmama huko Zanzibar anaitwa Samia eti anataka kulihutubia taifa usiku huu Yeye ni nani haswa mpaka alihutubie taifa? Kwa nini asiwe busy kumhudumia mumewe badala ya kujipa umuhimu ambao hana?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…