samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Beira Boy

    Hussein machozi kubadili dini kisa mauwaji ya mama kizimkazi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ameshea ujumbe huo kwenye page yake ya Instagram Namshauli awe msabato au kkkt YESU KRISTO ni mwaminifu sana Karbu husen machozi kwenye njian ya uzima Jina lako uitwe stephano SHAHIDI Steve Steven SAYUNI BOY
  2. PAYE

    Uchaguzi wa Spika wa Bunge na uthibitisho wa Waziri Mkuu mpya kufanyika Novemba 11, 2025

    Kufuatia Tangazo la Rais la kuitisha Bunge lililotolewa kwenye Gazeti la Serikali, Toleo Maalum Na. 11 (Special Supplement) la tarehe 4 Novemba, 2025 Tangazo Na. 647A Wabunge Wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge...
  3. N

    Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  4. K

    Kwako Rais Samia: Iundwe wizara ya tathmini, ufuatiliaji na udhibiti ubora na iwe Chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Kwako Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote natanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutujalia afya njema na kutoa pole nyingi kwa wote waliopoteza Ndugu, jamaa na marafiki kutokana na maandamano. Mwenyeji Mungu aendelee kulijalia amani ya kutosha. Ni heshima kubwa kukufishia...
  5. Influenza

    GE2025 Taasisi ya Mo Ibrahim: Rais Samia, kufunga intaneti na kupiga risasi waandamaji haikubaliki

    Taasisi ya Mo Ibrahim imetoa kauli kali dhidi ya hatua za serikali ya Tanzania kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025, ikionya kuwa nchi hiyo inarejea katika mwenendo wa kiimla. Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, taasisi hiyo ilieleza “wasiwasi na masikitiko...
  6. Carlos The Jackal

    Kutoka Kwa Maria : Wale Masheikh wa Zanzibar waliokuwa na kesi ya Ugaidi wakaachiwa na Samia, Mmoja wao ni huyu wa katikati akiua Watanganyika

    Mnakumbuka Kuna Masheikh wa kizanzibar walikua wakiongoza Kundi la Kigaidi na kupata Ufadhili kutoka Nchi za Waarabu hususani Oman , MAGUFULI AKAWAFUMULIA MTANDAO WAO WOTE. Sasa hivi Karibuni Samia aliwaachia, Kumbe waliachiwa Kwa kazi maalumu ya UCHAGUZI MKUU. Hawa hapa Masheikh wa Zanzibar...
  7. w0rM

    GE2025 Hii ni ajabu! Aliyeshinda kwa asilimia kubwa kiasi hicho ameapishwa bila hata wale waliodaiwa kumpigia kura kuwepo uwanjani

    Uchaguzi wa mwaka huu, ambao Dkt. Samia Suluhu Hassan amechaguliwa tena kuwa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili wa Serikali ya Awamu ya Sita, umeniacha nikiwa na mshangao mkubwa na sina shaka Watanzania wengi wanahisi vivyo hivyo. Asilimia alizopata mgombea huyu zinafanana kabisa na zile...
  8. D

    Samia isn’t helping herself: Haya ma-Lamborghini na ma-Limousine ya kazi gani?

    Nimeona gari mpya za Samia; ni kama amekuja kutokomesha kwamba tulishoboka na zile Rolls Royce za mwanae? Yeye kaja sasa kutuonesha kwamba hatukuwa tumeona kitu bado. Na bado duru zinasema tayari imenunuliwa ndege ya Rais ambayo hatujapata kuona Afrika, na mnunuzi ni yule yule tena mwanae...
  9. Stuxnet

    Rais Samia achana na Mchengerwa kwenye baraza jipya, anakuharibia sana

    Najuwa kuwa ni mkwe wako na una msifu kuwa ana kifua kikubwa lakini uwezo wake kiakili (IQ) ni mdogo. Mwaka jana alitumia mbinu zile zile za Magufuli za mwaka 2019 kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na huo uchaguzi ndiyo uliozaa No Reforms No Elections. Kama CHADEMA wangetendewa haki basi...
  10. PendoLyimo

    Samia na mapokezi kazini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Watumishi wa Ofisi ya Rais, Ikulu alipowasili Ikulu ya Chamwino, Dodoma mara baada ya kuapishwa.
  11. funaku

    Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amkabidhi nyaraka za kazi Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.
  12. R

    GE2025 Rais Samia: Nitoe onyo kama Mama, Wote waliochochea uvunjifu wa amani, watambue vurugu huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami

    Akizungumza Novemba 3, 2025 baada ya kuapishwa kwake, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alitoa kali kwa wale waliohusika na vurugu zilizojitokeza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. Chanzo: TRT Afrika
  13. L

    GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya...
  14. The Father of All

    Samia anataka maridhiano na nani na kwanini wakati analaani 'wageni' kufanya maandamano?

    Kuongoza taifa siyo sawa na kupika au kufua nepi. Kunataka jabali tena mwenye elimu, busara, na akili timamu. Tanzania, tumejaliwa kila kitu ila huyo hapo juu. Uongo umegeuzwa uongozi. Upigaji dili umegeuzwa maadili. Ndiyo maana tunapata watawala wa hovyo kama hawa. Kweli CCM mmejua kututenda...
  15. PAYE

    Rais Samia kuendelea na Hamza Johari kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Amemtea tena leo kushika Wadhifa huo

    Tangazo kwa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma. Imetolewa na...
  16. figganigga

    GE2025 Rais, Samia, Kilichotokea kuchoma vitu sio Utanzania, Je, kuambia watu nywinywinywi ni Utanzania?

    Rais Samia kalalamima eti watu kuandamana na kuchoma Mali za Umma na Binafsi sio Utanzania. Namuuliza yeye kuwaambia Watanzania mambo yya Nywinywinywi ni Utanzania? Kwanzza Asilimia kubwa ya mali binafsi zilizochomwa ni za wale walioibia Serikali au kuunga Mkono iwizi na Ufisadi. Na bado...
  17. Idugunde

    GE2025 Rais Samia Utawatala vipi raia wasiokutaka uwe mtawala wao?

    Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao. Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili. Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao...
  18. figganigga

    GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  19. figganigga

    GE2025 Sikutegemea Katoliki wamuombee Dua Samia kwenye kuapishwa kwake

    Imekuaje Katoliki wamekubali mwaliko wa kwenda kwenye Sherehe za kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan? Halafu wanamuombea Dua yenye nguvu kabisa. Imekuaje? Nnimefarijika Mumetaja mauaji yaliyotikea wakati wa Uchaguzi na mumewaombea Dua.. Yule wa Ummoja wa Wakirisyo hajui hata kama kuna watu...
  20. K

    GE2025 Unabii wangu: Samia hatamaliza miezi 18 kama Rais wa Tanzania

    Nimetoa miezi 18 lakini muda ni mfupi zaidi naomba save huu ujumbe halafu tutaona sitatoa deals sana
Back
Top Bottom