samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake. Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje fedha sasa si za Samia bali za Watanzania wote?

    Tulizoea kuwasikia machawa wakisema Samia katoa hiki, katoa kile kana kwamba ilikuwa ni fedha yake na si yetu. Baada ya kubao kugeuka, sasa wanaramba matapishi. Wanatuhadaa kuwa pesa ni yetu wakati ni ya Samia. Ina maana hawakujua kuwa tunajua kuwa ni pesa yetu ndiyo wanatumia kujineemesha na...
  3. canular

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania hatuwataki CCM na Rais Samia

    CCM, Samia na wahuni wote watanzania tumewakataa hatuwataki Mnataka watanzania tufanye nini ili msikie kwamba hatuwataki tuachieni taifa letu hamna cha kutudangaya watanzania sasa hivi tumejitambua Samia achia nchi yetu hatukutaki, hatuwapendi, hatujawachagua tokeni msituletee machafuko kwa...
  4. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Samia aliwahi kusema Ajira za Undugu, Urafiki na upendeleo zinaharibu taasisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliwahi kusisitiza kwamba viongozi wanapaswa kuacha tabia ya kuwaajiri watu kwa misingi ya kufahamiana iwe ni ndugu, rafiki au upendeleo wa aina yoyote kwani hatua hizo zinaharibu na kudhoofisha taasisi za umma. Kauli hiyo aliitoa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hasa wa Visiwani wanathamini sana Uarabu? Samia alishasema waliambiwa na polisi "Nyie waarabu mna shida sana" Mbona wabantu wenzetu

    Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
  6. aise

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi ICC inavyofanya kazi, wahusika wa mauaji ya Oktoba 29, 2025 hawatafikishwa kwenye hiyo mahakama

    Habari za jioni wakuu! Mauaji yaliyotokea October 29 2025 hapa nchini, wengi wetu matumaini ya kupata haki yako ICC, ila kwa jinsi mahakama hiyo inavyofanya kazi, ni ngumu kupata haki huko. Kwanza ICC haina 'Jeshi wala Polisi' Inategemea majeshi ya nchi husika kumkamata mtu, sasa kwa jeshi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi na maisha ya Watanzania hatarini kwasababu ya Samia, Rostam na Kikwete

    Hawa wadau watatu ndiyo wametufikisha hapa na huko mbele wakibaki wataharibu uchumi wa TZ vibaya sana lazima Mama atolewe na kuwe na serikali ya mpito
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamuutaki huu utawala wa Rais Samia? Nawauliza na mseme ukweli

    Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala? Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu. Tatizo nini?
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nchimbi asijipe tumaini la kushika nchi kama Samia atakutwa na hatia na kuvuliwa Urais

    Kuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi. Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri . Itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama Samia sheria itambana ajihudhuru halafu Nchimbi akapandishwa kuwa...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi Samia Yuko Lockdown (Self imposed)

    Nchi pekee ambazo Rais Samia yuko huru kuzitembelea duniani ni Uganda na Burundi kwa wauaji wenzake. Nchi nyingine zote akithubutu kufanya ziara lazima atazomewa 😭! Hii ni aibu kubwa kwa Watanzania!
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Naomba elimu kuhusu kesi iliyofunguliwa ICC dhidi ya Samia et al

    Imefunguliwa kesi na wanasheria wa ulaya, je wanasheria wetu au UMMA wa TANZANIA utahusikaje katika kuendesha kesi hiyo in terms of kutoa ushahidi
  12. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nasaha za Mzee Kamara Kasupa kwa Samia

    KUNA MAMBO YAKIPOTEA HAYAWEZI KUREJESHWA. “KWANINI SAFARI HII HALIPO TENA GOLI LA MAMA WALA SIMU YAKE?” Naanza na kuwauliza washabiki wa Simba na Yanga, imekuwaje safari hii kusiweko tena simu itokayo kwa MAMA, inayowatia moyo wachezaji na washabiki na viongozi, ikionyesha kwamba kuna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpango wa kuzima maandamano D9 hautofanikiwa, hakuna uovu mtakaoupanga ambao utakuwa ni siri tena

    Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hivi👇🏽👇🏽👇🏽 Wanajua...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia kamweka Mwigulu kumfunika Nchimbi (Kikwete mtandao)

    Samia kamweka Mwigulu kumfunika Mchimbi (Kikwete mtandao) baada ya watu kuongelea Samia aondoke na kumpisha Nchimbi. Hivyo Nchimbi na Mwigulu havitaiva. Hata Kikwete na genge lake la mafisadi wanamtaka Nchimbi zaidi ya Samia. Lakini Mwigulu anapenda sana sifa na kila siku atahakikisha ni...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dunia imekataa kumtambua kama Kiongozi halali wa Tanzania. Wananchi nasi tumekataa kumtambua kama Kiongozi wetu halali

    Alianza kwa kuwateka, kuwapoteza na kuwaua kila aliyemkosoa. Akaja kuiba uchaguzi kwa kiwango cha kutisha na kujitangaza mshindi kwenye Uchaguzi ambao bahati nzuri kuanzia Wananchi hadi Wasimamizi wa Kimataifa wamedai kuwz haukuwa halali, huru na wa haki. Hakuishia hapo akaviamuru vikosi vyake...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM wamemwachia Samia jumba bovu limwangukie?

    Baada ya ushindi wa kishindo tofauti na chaguzi zilizopita, siwaoni wana CCM wakisherehekea ushindi wala simuoni Mkiti wao akizunguka mikoani kuwashukuru wana CCM na wapigakura. Ni yeye tu na msemaji wa serikali ndio wanasikika sioni wengine wakihangaika kumtetea. Simuoni Makamu Mwenyekiti...
  18. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ni Mtu wa Ajabu Sana, Sijui Rohoni Mwake Amebeba nini!

    Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania African 'one term' presidents: Will Samia take a course?

    Mwaka 2018 miaka mitatu kabla ya kifo cha hayati Magufuli niliandika makala hii ndani ya JF "African 'one term presidents : Will Magufuli take a course?" Leo tena nakuja na makala fupi inayofanana na hiyo kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini. Mimi sio mtabiri bali huwa nalinganisha...
  20. N

    JamiiForums Tanzania kuna dada anaitwa Magdalena Sabaya nasikia anakuwa mkuu wa wilaya samia kwa nini unatuchokoza ?

    mama kichwa cha habari kinavyojieleza nasikia huyu mdada anaandaliwa mkuu wa wilaya wakati ana historia mbaya sana na familia yao wa historia mbaya mno mno ,yeye mwenyewe nasikia mwizi na mkatili mno SAMIA SULUHU HASSAN PUNGUZA KUCHOKOZA WANANCHI NA HISIA ZETU
Back
Top Bottom