samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bora tozo kuliko Kutekana na wasiojulikana

    Wakuu Kwema!!! Tutozane. Tukamuane, Tuzinguane, Tuchapane, Tuchanane, Lakini tusiuane. Kwa kweli Mimi Taikon naona ni mara elfu Tozo kuliko Kutekana, kuuana, kupotezana Kwa kisingizio cha Uzalendo, sijui maendeleo, sijui vitu gani. Nchi sasa inaenda Sawa Sawa, mambo yamenyooka. Mapungufu...
  2. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa tu kutuliza kichwa 'Patience', bado amefanya mazuri mengi. Atulize tu spidi bado ni kiongozi mzuri

    Mimi ni mmoja wa watu ambao huamini kwamba, mtu akichafuka mguuni sio kwamba amechafuka mwili mzima. Hivyo basi, uungwana ni kuzodoa uchafu wa mguuni lakini wakati huo huo kusifia utanashati pale pote pazuri tofauti na mguu ambao umechafuka. Hii inaitwa kuwa 'positive' katika kuyatizama maisha...
  3. James Martin

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amenikosha sana kwa kutangaza azma yake, watoto wa mjini wanaita kupindua meza kibabe

    Nimefurahishwa sana na kitendo cha Rais wetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine. Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida. Bila shaka sasa watu...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume. Pili...
  5. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

    Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo. Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako. Leo umesisitiza kuwabeba wanawake kwa kuwa hapo zamani wanaume walibebwa Sana kwenye siasa, hivyo sasa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

    Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu #HakiZaBinadamu Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja...
  7. Magema Jr

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga Serikali ya Rais Samia wapo wengi tofauti na matarajio yake kama Rais Mpenda haki na usawa

    Ni miezi michache tu tangu bibi yetu achukue kijiti hiki.Mwanzoni alionekana kukubalika saana hasa na wapinzani na wenye mlengo tofauti na aliye kuwa rais wakati huo. Lakini hali imebadilika ghafla na kila mmoja wetu ana hofu nna mashaka juu ya hatima ya kesho. Wengine wanajaribu hadi kumpinga...
  8. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mzee Kikwete katika siasa za Tanzania ya Rais Samia

    Rais Mstaafu Kikwete anamsifia rais Samia kwa utendaji mzuri kama alivyofanya kwa marehemu Magufuli bila kujali machungu ya wa-TZ. Ni tabia ya kulazimisha kutuonesha uhusiano wake na marais walioko madarakani. Wakati Magufuli akiingia madarakani, kulikuwa na marais wastaafu watatu; Mwinyi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa ndani ya DW akieleza sababu za Rais Samia kurekodi makala ya Royal Tour

    Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum itakayoonyeshwa katika kipindi cha Royal Tour ambayo itatangaza Utalii, fursa za uwekezaji zilizopo nchini...
  10. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni hili jambo Rais Samia kuzungumza na wanawake wa Tanzania siku ya Demokrasia duniani

    September 15 ni siku ya kimataifa ya demokrasia duniani ambapo nchi mbalimbali duniani hupata fursa ya kujadili demokrasia ya nchi zao na wadau husika wa demokrasia katika nchi hizo kama vile vyama vya upinzani. Sasa sielewi mantiki ya Rais Samia Suluhu Hassan kuitumia hiyo siku ya leo...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Umahiri wa Rais Samia Suluhu ni kielelezo cha kuimarika kwa utawala bora nchini Tanzania

    UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA. UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria. DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
  12. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam yatajwa miongoni mwa majiji kumi Afrika yanayokua kwa kasi zaidi

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Haki huinua Taifa, Nchi yetu imeanza kuingia midomoni mwa Watu kila kona duniani kwa sasa, Kwa Taarifa hii tu, Dar es salaam itapokea wageni lukuki toka nje na ndani, Kila Mzalendo lazima aone kazi nzuri na njema anayoifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa Tanzania...
  13. zimmerman

    JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

    Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya. #mimi na magufuli ni kitu kimoja#
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia anazindua Mkakati wa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. ===== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, ahsante kwa nilichokisia wakati wa uapisho wa viongozi

    Leo nimesikia maneno mazuri kutoka kwako ambayo nilihitaji kutasikia kwa muda mrefu sana, nakushukuru sana sasa naona umeamua kazi kazi Tafadhali Rais wangu usicheke na kima hapa tutavuna mabua, kwakweli kwakweli niseme wazi upole wako unawafanya watu wakuone dhaifu na kukudharau. Lakini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Makame Mbarawa ni Clatous Chota Chama aliyekuwa amekaa Bench katika Kikosi imara cha Samia Tanzania FC

    Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika. Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Mbarawa asieleweke ni Uungwana wake wa Kiasili. Ila kama kuna Mtendaji ambaye katika Wizara (Dockets) alizopita alikubalika...
  17. Francis fares Maro

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu. Shughulikia changamoto hizi pia

    Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako. Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!. Mama Samia napenda kukupongeza Kwa hatua kadhaa na jinsi unavyofanya nchi yetu inaenda Kwa kasi sasa. Mama Samia...
  18. msovero

    JamiiForums Tanzania Ndani ya muda mfupi Rais Samia amefanya kufuru, licha ya kuupiga mwingi sasa anakimbiza mwizi kimya kimya

    Kama tukiweka unafiki pembeni, Kwa muda mfupi ambao Rais Samia ameingia ikulu amefanya kazi kubwa sana ambayo kama ingefanywa na serikali iliyopita ingechukua miaka kadhaa kukamilika Mama katika kipindi cha miezi sita ambacho ameingia ikulu kwenye sekta ya afya tayari ameidhinisha mabilioni ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Abdallah Mwaipaya ulichokifanya Redioni usikirudie tena Kitakugharimu Kiutendaji kwa Rais Samia

    DC wa Mwanga Mheshimiwa Abdallah Mwaipaya najua kuwa ulikuwa Radio One na ITV na ulikipenda mno Kipindi chako cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili ukiwa na Pacha wako Farhia Middle. Kwa Mshangao kabisa leo nimekusikia nawe ukipiga Simu ( japo najua uliipiga ya Farhia Middle ) na Kuanza...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

    MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu. Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa...
Back
Top Bottom