samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. zimmerman

    Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

    Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya. #mimi na magufuli ni kitu kimoja#
  2. J

    Dodoma: Rais Samia anazindua Mkakati wa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. ===== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
  3. N

    Rais Samia Suluhu, ahsante kwa nilichokisia wakati wa uapisho wa viongozi

    Leo nimesikia maneno mazuri kutoka kwako ambayo nilihitaji kutasikia kwa muda mrefu sana, nakushukuru sana sasa naona umeamua kazi kazi Tafadhali Rais wangu usicheke na kima hapa tutavuna mabua, kwakweli kwakweli niseme wazi upole wako unawafanya watu wakuone dhaifu na kukudharau. Lakini...
  4. M

    Profesa Makame Mbarawa ni Clatous Chota Chama aliyekuwa amekaa Bench katika Kikosi imara cha Samia Tanzania FC

    Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika. Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Mbarawa asieleweke ni Uungwana wake wa Kiasili. Ila kama kuna Mtendaji ambaye katika Wizara (Dockets) alizopita alikubalika...
  5. Francis fares Maro

    Hongera Rais Samia Suluhu. Shughulikia changamoto hizi pia

    Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako. Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!. Mama Samia napenda kukupongeza Kwa hatua kadhaa na jinsi unavyofanya nchi yetu inaenda Kwa kasi sasa. Mama Samia...
  6. msovero

    Ndani ya muda mfupi Rais Samia amefanya kufuru, licha ya kuupiga mwingi sasa anakimbiza mwizi kimya kimya

    Kama tukiweka unafiki pembeni, Kwa muda mfupi ambao Rais Samia ameingia ikulu amefanya kazi kubwa sana ambayo kama ingefanywa na serikali iliyopita ingechukua miaka kadhaa kukamilika Mama katika kipindi cha miezi sita ambacho ameingia ikulu kwenye sekta ya afya tayari ameidhinisha mabilioni ya...
  7. M

    Abdallah Mwaipaya ulichokifanya Redioni usikirudie tena Kitakugharimu Kiutendaji kwa Rais Samia

    DC wa Mwanga Mheshimiwa Abdallah Mwaipaya najua kuwa ulikuwa Radio One na ITV na ulikipenda mno Kipindi chako cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili ukiwa na Pacha wako Farhia Middle. Kwa Mshangao kabisa leo nimekusikia nawe ukipiga Simu ( japo najua uliipiga ya Farhia Middle ) na Kuanza...
  8. Q

    Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

    MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu. Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa...
  9. Nyankurungu2020

    PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

    Walinzi wa Rais wanachemka sana, ikumbukwe kuchanja Jonhson and Jonhson sio uhakika wa kutopata maambukizi ya Uviko -19
  10. britanicca

    Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!! 1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion...
  11. Mzalendo_Mwandamizi

    Huu ni Udhalilishaji anaofanyiwa Rais Samia. Swali ni amelazimishwa au ameridhia?

    President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan as "a special tour guide"
  12. CM 1774858

    Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

    Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania, "Hakuna kama Samia" Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita. Bei ya juu ya...
  13. Rebeca 83

    Tumsaidie Rais Samia

    Hello wana JF, Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli? kuwa Rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine. Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko... Iundwe kikundi cha watu...
  14. Hell is real

    mh Rais samia chukua hatua ajali zimezidi kipindi

    Habari wakuu!!!! Kipindi cha miezi ya hivyi karibuni kumekuepo na ajali nyingi sana, mpaka imefikia hatua sasa kila siku lazima ajali itokee mahali! Tunawapoteza ndugu zetu! Yamkini ni uzembe wa madereva, traffic kujisahau nk! Kipindi cha magufuli haya mambo aliyakomesha na kiukweli ajali...
  15. MK254

    Tanzania hatimaye yakubali kuingia kwenye soko la pamoja Afrika, baada ya kusuasua...hongera mama Samia

    Huu ndio uongozi, yaani uthubutu wa kufanya sio kuogopa ogopa na kuwa na vijisababu vya hovyo.... Tanzania on Thursday ratified the agreement establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), effectively joining a pact connecting countries with a total gross domestic product of...
  16. B

    Rais Samia afanya uteuzi wa Mbunge wa Bunge

    Ni yule aliyekuwa Katibu Mkuu wa SADC.
  17. M

    Nashindwa kujizuia kumpenda Rais Samia, nimegundua kuwa ni mtu wa mila za asili ya babu zetu aliyejificha, Atatuvusha

    Wakati nasoma chachi histori mle ndani nilikuta vitu vya kushangaza na ilichukua miaka mingi kuelewa, zamani nyuma ya kalne ya 16 kule ulaya kulikuwa hakuna uhuru wa kuabudu, napo sikuelewa uhuru upi wa kuabudu kwani tayari Yulopa zilikuwa nchi za kikrito. Lakini baadaye nilielewa kuwa haya...
  18. B

    Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
  19. J

    CCM yampongeza Rais Samia kutunukiwa Uchifu

    CCM yampongeza Rais Samia kutunukiwa Uchifu "Chama Cha Mapinduzi kitaendekea kupiga vita sera za udini, ukanda na ukabila lakini hakitaacha kutowatambua machifu na watemi. Hivyo kinawapongeza umoja wa machifu Tanzania kwa kumsimika@ Rais Samia Suluhu Hassan uchifu mkuu wa machifu wote...
  20. CM 1774858

    Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

    Wanasalimu kwa Jina la JMT, Siku njema huonekana asubuhi, Hatimaye Rais Samia Suluhu Hasaan ameiingiza nchi yetu kwenye nchi Tano zenye mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Africa. Sasa Tanzania tutashuhudia wawekezaji wakimiminika nchini kwetu na kwahakika Vijana wetu watapata ajira na...
Back
Top Bottom