samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. PostGE2025 Nchimbi asijipe tumaini la kushika nchi kama Samia atakutwa na hatia na kuvuliwa Urais

    Kuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi. Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri . Itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama Samia sheria itambana ajihudhuru halafu Nchimbi akapandishwa kuwa...
  2. Sasa hivi Samia Yuko Lockdown (Self imposed)

    Nchi pekee ambazo Rais Samia yuko huru kuzitembelea duniani ni Uganda na Burundi kwa wauaji wenzake. Nchi nyingine zote akithubutu kufanya ziara lazima atazomewa 😭! Hii ni aibu kubwa kwa Watanzania!
  3. R

    PostGE2025 Naomba elimu kuhusu kesi iliyofunguliwa ICC dhidi ya Samia et al

    Imefunguliwa kesi na wanasheria wa ulaya, je wanasheria wetu au UMMA wa TANZANIA utahusikaje katika kuendesha kesi hiyo in terms of kutoa ushahidi
  4. PostGE2025 Nasaha za Mzee Kamara Kasupa kwa Samia

    KUNA MAMBO YAKIPOTEA HAYAWEZI KUREJESHWA. “KWANINI SAFARI HII HALIPO TENA GOLI LA MAMA WALA SIMU YAKE?” Naanza na kuwauliza washabiki wa Simba na Yanga, imekuwaje safari hii kusiweko tena simu itokayo kwa MAMA, inayowatia moyo wachezaji na washabiki na viongozi, ikionyesha kwamba kuna...
  5. M

    PostGE2025 Mpango wa kuzima maandamano D9 hautofanikiwa, hakuna uovu mtakaoupanga ambao utakuwa ni siri tena

    Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu Watanzania msione serikali ipo kimya kuhusu D9 vichwa vinawauma,sasa mpango wao wa kuzima maandamano uko hivi👇🏽👇🏽👇🏽 Wanajua...
  6. Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  7. K

    PostGE2025 Samia kamweka Mwigulu kumfunika Nchimbi (Kikwete mtandao)

    Samia kamweka Mwigulu kumfunika Mchimbi (Kikwete mtandao) baada ya watu kuongelea Samia aondoke na kumpisha Nchimbi. Hivyo Nchimbi na Mwigulu havitaiva. Hata Kikwete na genge lake la mafisadi wanamtaka Nchimbi zaidi ya Samia. Lakini Mwigulu anapenda sana sifa na kila siku atahakikisha ni...
  8. PostGE2025 Dunia imekataa kumtambua kama Kiongozi halali wa Tanzania. Wananchi nasi tumekataa kumtambua kama Kiongozi wetu halali

    Alianza kwa kuwateka, kuwapoteza na kuwaua kila aliyemkosoa. Akaja kuiba uchaguzi kwa kiwango cha kutisha na kujitangaza mshindi kwenye Uchaguzi ambao bahati nzuri kuanzia Wananchi hadi Wasimamizi wa Kimataifa wamedai kuwz haukuwa halali, huru na wa haki. Hakuishia hapo akaviamuru vikosi vyake...
  9. Q

    PostGE2025 CCM wamemwachia Samia jumba bovu limwangukie?

    Baada ya ushindi wa kishindo tofauti na chaguzi zilizopita, siwaoni wana CCM wakisherehekea ushindi wala simuoni Mkiti wao akizunguka mikoani kuwashukuru wana CCM na wapigakura. Ni yeye tu na msemaji wa serikali ndio wanasikika sioni wengine wakihangaika kumtetea. Simuoni Makamu Mwenyekiti...
  10. H

    PostGE2025 Rais Samia ni Mtu wa Ajabu Sana, Sijui Rohoni Mwake Amebeba nini!

    Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu...
  11. Q

    African 'one term' presidents: Will Samia take a course?

    Mwaka 2018 miaka mitatu kabla ya kifo cha hayati Magufuli niliandika makala hii ndani ya JF "African 'one term presidents : Will Magufuli take a course?" Leo tena nakuja na makala fupi inayofanana na hiyo kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini. Mimi sio mtabiri bali huwa nalinganisha...
  12. N

    kuna dada anaitwa Magdalena Sabaya nasikia anakuwa mkuu wa wilaya samia kwa nini unatuchokoza ?

    mama kichwa cha habari kinavyojieleza nasikia huyu mdada anaandaliwa mkuu wa wilaya wakati ana historia mbaya sana na familia yao wa historia mbaya mno mno ,yeye mwenyewe nasikia mwizi na mkatili mno SAMIA SULUHU HASSAN PUNGUZA KUCHOKOZA WANANCHI NA HISIA ZETU
  13. M

    PostGE2025 ACT Wazalendo, Kigoma: Baba Levo na Zitto waliongezewa kura ili zishabiiane na kura alizopata Samia

    Wananchama wa ACT Wazalendo jimbo la Kigoma Mjini wamefungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Baba Levo, moja ya sababu ya kufungua shauri hilo ni ubabaishaji wa kutangaza matokeo mara mbili. Awali Baba Levo alitangazwa kupata kura 35, 725 naZitto Kabwe kupata kura 16,619, baadaye baada...
  14. Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  15. PostGE2025 Samia alikuwa na uwezo wa kujenga kukubalika baada tu ya kuwa rais na angeweza kuwashinda upinzani lakini uwezo mdogo umempeleka pabaya

    Samia alipata nafasi ya kuonesha maono yake na watanzania na dunia ili muamini na kushangilia, lakini kutokana na kile ninachokiita "uwezo mdogo" alishindwa kujenga misingi ya kukubalika. Samia angeweza kuwashinda wakina lissu, kwanini lissu akubalike lakini samia asikubalike, hapana samia...
  16. Tuvae viatu vya Rais Samia, tumpe ushauri Kwa upole bila mihemko

    Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi 1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani 2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha 3. Taasisi na wahisani wa kimataifa...
  17. Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  18. PostGE2025 Rais Samia awatunuku kamisheni maofisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo Novemba 22, 2025 amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Rais Samia amewatunuku maofisa hao katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) kilichopo Monduli mkoani Arusha. Ambapo maofisa hao ni...
  19. Nimepitia video ya ndugu Samia hana furaha na hayuko sawa

    Nimepitia video ya ndugu samia hana furaha na hayuko sawa heti anawaambia wamama alio waulia watoto zao wawakanye wasidai haki. Ndugu Samia alikuwa njiani kuelekea Arusha na kikundi chake cha maigizo. Yeye ni amani amani tu, hata wale wasiopewa miili ya ndugu zao yeye anataka amani amani.
  20. PostGE2025 Yaani uonewe na Al Jazeera, BBC, France 24 na CNN? Wewe nani kwa mfano?

    Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini. Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…