samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea katika nchi hii huyu ndiyo mimi namuweka namba moja kiukweli kwa haya mambo ambayo amefanya kwa muda mchache sana mambo yameonekana kiukweli Rais Samia ameweza kuunganisha au kuleta umoja wa kitaifa kati ya waislamu na wakristo lakini pia ameweza kuleta...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wanaotumihiwa kuiba Bil mbil Tamesa wanafutwa kazi na kupelekwa Mahakamani. Angela Kiziga yupo Ikulu akimsadia rais Samia Kazi

    Watanzania wakiingia mitaani na kuandamana kuwa huu utawala haufaina utakiwa kuondolewa kwa nguvu za umma Wanatumia majeshi kuwamaliza. Mtu kama Angela Kiziga alifanya ufisadi ambao ni ni dharau na kebehi kwa walipa kodi. Lakini leo hii ni miongoni mwa WanaCCM ambao ambao wapo karibu na...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mama Samia jana Umedhalilika huko Morocco, na bado

    Timu zikishinda sifa huwa kwa Samia kwahiyo matokeo ya jana ni mali ya Samia Suluhu Hassan. Wanaijeria wamempapasa na kumpiga viwili. cc Abduli, Mafwele na Muliro.
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wewe Samia Suluhu Hassan unajua alipo Mteule wako Humphrey Polepole?

    Nakuagiza ututangazie alipo kama tulivyo tangaziwa alivyo teuliwa. Hii ni amri sio ombi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

    Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu. Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Najaribu ku figure out Mzee Warioba na Samia waliongea nini?

    Picha zilitoka juzi wakionekana Ikulu. Katika hali ya mauaji yale , kweli waliigusia? Samia alijibu vile vile kuwa nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi Mze Warioba alimshauri nini? Lets guess!
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni kweli "Katiba ni kijitabu tuu" katiba ya kweli ni mimi na wewe kubadilika kuwa waadilifu. Hiyo ndio katiba mpya

    Ni kweli "KATIBA NI KIJITABU TUU" KATIBA YA KWELI NI MIMI NA WEWE KUBADILIKA KUWA WAADILIFU. HIYO NDIO KATIBA MPYA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kisheria Katiba ni zaidi ya kitabu. Hii ni kweli. 2. Lakini Kifalsafa Katiba ni kijitabu tuu. Haina tofauti na Biblia au Quran. Kwamba ni...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

    Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea.... https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12. Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe..... Ni kile...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Robert Alai: Tanzania Shida siyo Samia, shida ni system (mfumo), ili kufanikiwa lazima ing'olewe

    Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

    Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi? Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tumwamimi nani kati ya Rais Samia na wasaidizi wake?

    Tangu ghasia za kuukataa uongozi wa Rais Samia ile tarehe 29 Oktoba mpaka leo naona kama kila Kiongozi anaongea la kwake. Na hii ndio inazidi kuleta mkanganyiko zaidi. Kila anakopita Waziri mkuu Mwigulu Nchemba anasisitiza ghasia zile zilikuwa ni sababu ya vita vya kiuchumi. Yeye mkuu wa nchi...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane, Watekaji wamemshinda Rais Samia, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Tanzania, Sasa nashauri tujilinde

    Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao, Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe. Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je Rais Samia alifanyiwa vetting akiwa Rais tayar? Je ni nani ALIFANYA?

    Nauliza ALIYE fanya vetting ya RAIS kuwa Rais ni nani? Je aliyefanya vetting aliona kabisa ana sifa za kuwa Rais? Je alimfanyia akiwa tayari u RAIS? Vetting ya mama wanu irudiwe Mimi naona kama anasifa za ziada ambazo hazikubainika wakati anafanyiwa vetting, Rais ni mwema mnoooo
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hii kamata kamata kila mtaa inayofanywa na serikali iliyojiweka madarakani ya Samia nadhani wote mnaiona

    Hii kamata kamata kila mtaa inayofanywa na serikali iliyojiweka madarakani ya Samia nadhani wote mnaiona. Samia Alihadaa kuwa ameunda tume itakayoshughulikia haya mambo. Sasa imekuwa mwendo wa kuvamia watu na kuwachukua kwenda kuwahifadhi. Kwa kitendo hiki analeta upya chokochoko. Unaweza...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Samia Suluhu Hassan ndie Rais mstahimilivu, shupavu na msikivu zaidi Afrika

    Lakini pia, huenda Dr.Samia Suluhu Hassan, ndie rais mwanamke madhubuti zaidi duniani kwa sasa. Hayumbishwi wala kutetereshwa na porojo au mashinikizo ya mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi. Daima yuko imara kwenye nafasi yake ya uongozi na aliejizatiti zaidi katika kazi ya...
  16. Poker

    JamiiForums Tanzania Tahadhari, kuna machawa yanazunguka PM kuwataka watu waunge juhudi za Samia

    kumekuwa na baadhi ya machawa wanapita pm nakukuahidi posho ya 10k pamoja na unlimited bundle ili kuisifia serikali ya Samia, kuwatusi chadema na kuitetea serikali kwa kila hali. Mbaya zaidi wanasema tuwe tunareport members na kuireport JF kuwa iko biased. Mbinu zao wanakuambia tuma namba ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Waziri Mstaafu wa Afrika Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor, ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa...
  18. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Hata ChatGPT inakataa kwamba watu hawamchukii Samia kisa dini

    Wote mnajua jinsi ChatGPT inavyojaribu kuwa neutral kwenye mijadala. Lakini cha ajabu imemkataa Samia waziwazi, na kudai dini sio sababu ya Samia kuchukiwa SWALI: Mimi ni Rais Samia, Watanzania wengi hawanipendi. Nahisi wananichukia kwa sababu mimi ni Muislam, Mzanzibari na ni mwanamke...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia, Lissu amekukosea nini?

    Kwa kweli kama kuna anayejua jibu ya hili swali atusaidie. Huyu Samia, Lissu alimkosea nini? Kiukweli kabisa katika mambo yanayokufanya uendelee kujiandikia historia ya doa jeusi ni hii ya kumfunga Lissu bila sababu. Mbona una roho nzito kuliko hata watangulizi wako wa jinsia ya kiume...
  20. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ataishi na huu ukweli kwa maisha yake yote yaliyobakia hapa duniani

    Ni Rais pekee ambae watanzania wamemkataa wazi wazi. Sio kwa sababu ya Udini( tuliwahi kuwa na rais waislam na hakukuwa na shida yoyote) , Ukabila au Jinsia kama inavyoenezwa kwa propaganda. Wengi wamemkataa Samia kwa kigezo cha Competency na Uzalendo. Watanzania wanaamini nchi yao ipo...
Back
Top Bottom