samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini tume za Samia kuhusu 'Ghasia za Uchaguzi' mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

    Kwanini tume za Samia za uchunguzi wa ghasia za uchaguzi mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu? Je, Waislamu wana agenda ya kuangamiza Wakristo? Kila aliyetekwa ni Mkiristo, then tume zinaundwa za Kiislam? Au hii inaweza waokoa waislam dhidi ya tuhuma nzito na mipango mibaya dhidi ya Tanganyika?
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Samia Bado unamtuma Wasira asimame majukwaani kuiongelea CCM?!

    Real Stephen Wasira, bado anatumwa kuiubili injili ya ccm na mauaji yaliyojitokeza 29.10? Dr. Samia soma alama za nyakati huyo atumwe kigoma, sumbawanga, mbagara ILA akija Kilimanjaro tafadhali muwe macho
  3. K

    JamiiForums Tanzania Warioba yuko sawa kusema Mama Samia kachaguliwa na Tume sio Watanzania

    Mama Samia kachaguliwa na tume fake kuwa raisi fake wa Tanzania bila kupata kibali cha Watanzania. Hivyo msishangae Watanzania kumkataa . Watetezi wake ambao hawewezi kubisha hoja hii watabakia kuwa machawa lakini kizuri Watanzania wamegoma
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Mama Samia anapoteza nguvu ndani ya CCM

    Pamoja na wote wanasiasa wanajaribu kufuata trend ya wananchi. Kwasasa tred ipo kwenye kudai haki, kupinga sheria mbovu, kupinga utekaji, undugu, u bara na u zanzibari, kupinga rushwa na kutaka haki kwa kila mtu bila kujali chama. Sasa kwa misingi hiyo hata ndani ya CCM kuna wengi hawapendi...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  6. Tujisahihishe Tz

    JamiiForums Tanzania Heche: Nimeambiwa tangu majuzi kwamba na wewe wanataka wakukamate wakubambikie kesi ya uhaini. Nataka nimwambie Samia, nipo tayari sitakimbia

    Ukisikiliza hii hotuba ya mh. Heche utagundua taifa hili tuna rasilimali ya watu wema sana na tunatakiwa kuwatumia kama taifa kwa manufaa yetu sote na Heche kwangu amethibitisha hilo baada ya Tundu Lisdu Msikilize https://youtu.be/0vuyOE2_9GA
  7. S

    JamiiForums Tanzania Dangote, you need to remember: Samia will not be the president of Tanzania forever!

    A word of advice to you Dangote: You need to remember Samia will not be the president of Tanzania forever. Tread with care, watch what you say in public. Stop locking yourself into long term investments for sentimental reasons. Like elephants, Tanzanians might look peaceful, but they have long...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Aliko Dangote ampongeza Samia kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2026

    16 May 2026 Aliko Dangote ampongeza Samia Hassan kwa kuchaguliwa 29 Oktoba 2025 https://m.youtube.com/watch?v=e-CPQCNBkho Akiongea live mubashara ikulu ya Dar es Salaam mara baada ya kikao chake na rais haramu Samia Hassan ikulu leo 16 May 2026 hakujali mauaji yaliyomfanya Samia kujitawaza kuwa...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Aliko Dangote Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Aliko Dangote Wakutana Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Aliko Dangote Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Dkt. Samia: Hekima, Amani na Uzalendo

    Katika historia ya taifa letu viongozi wanaobeba moyo wa uzalendo wa kweli huendelea kukumbukwa kwa namna walivyoweka mbele maslahi ya wananchi na kulinda heshima ya nchi yao. Ameendelea kuonesha mfano huo kupitia uongozi wake wenye utulivu hekima na moyo wa kujali watu hili ni lazima Liwekwe...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania President Samia to Attend Africa Nuclear Summit in Kigali

    RWANDA 🇷🇼🇹🇿 TANZANIA President Samia Suluhu Hassan to attend the Nuclear Energy Innovation Summit for Africa scheduled from 18–21 May 2026 at the Kigali Convention Center.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia avunja bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa hifadhi ya Jamii ya watumishi wa Umma (PSSSF)

  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia avunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Dar es Salaam 14 Mei, 2026 YAH: KUVUNJWA KWA BODI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hebu sikia kilio cha wakulima wa Tanzania kuhusiana na Mbolea. Mfuko mmoja wa mbolea za DAP, UREA na CAN unauzwa 120,000-130,000

    Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa hakuna mbolea huku wale walionazo stoo wakiuza kwa bei ya kuumiza wakulima kwa wastani wa shilingi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

    Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena. Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Heche: Sina Tatizo Binafsi na Rais Samia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche amesema hana tatizo binafsi na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Heche ameyasema hayo jijini Mwanza wakati akizungumza kwenye kongamano la Wasomi wa Vyuo Vikuu lililoandaliwa na Mtandao wa Wanafunzi wa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DED Mbeya DC: Namshukuru Rais Samia kutoa fursa ya ajira 259 kati ya Januari - Mei 2026

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica E. Yegella amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fursa ya ajira mpya takribani 259 katika kipindi cha mwezi Januari na Mei 2026. Katika kipindi cha mwezi Januari, Halmashauri ya Wilaya ya...
Back
Top Bottom