samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anatumia 'Contrarian approach' kwenye teuzi. Ni mfumo mzuri pia wa kupata matokeo

    Kwa wasiouelewa huu mfuno. Contrarian approach ni idea kwenye mambo ya uwekezaji ambapo mtu unakuwa unafanya maamuzi ambayo kinyume kabisa na matarajio ya watu. Kwenye uwekezaji, mfano kama bei ya nyumba inapanda kqa kasi, contrarian investor hawezi kuwekeza kwenye nyumba bali atawekeza kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Sh. Trilioni 2/- za IMF anaweza kuzitumia wapi?

    Bodi ya Shirika la Fedha Duniain (IMF) hapo jana iliidhinisha mkopo wa dola za Kimarekani Bilioni 1.046 ambazo ni sawa na shiliingi Trilini 2.4/- za kitanzania katika kipindi cha miezi 40 ili kusaidia katika kupambana na athari za viizotokana na vita ya Urusi na Ukraine. Huu mkopo Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Samia ni Rais wa wafanyabiashara

    Ukiona Rais wa nchi anatetea wakati wote wafanyabiashara ujue ni mfanyabiashara. Hivi katika nchi kama Tanzania unahitaji rais mfanyabiashara au mfanyakazi? Hivi nchi ya uchumi kama wa tanzania unahitaji kuwatetea wafanyabiashara au kuweka sheria kuwadhibiti? Juzi Rais kasema eti...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa kizungumkuti cha ajira na maslahi kwa Watumishi wa Umma chini ya Rais Samia

    Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu. Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

    Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Samia Suluhu Hassan: Rais Magufuli anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
  8. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu mdogo kuhusu uchambuzi wa Lipumba kwa Rais Samia

    Katika gazeti la Raia Mwema la leo tarehe 18 Julai 2022, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan akisema yeye anampa asilimia 75 ya utekelezaji. Kwa ufupi Lipumba amechambua mambo kadhaa katika uongozi wa Rais Samia na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaendelea kuwalambisha asali

    Sifa ya asali ni utamu, Ila katika Serikali ya Rais Samia Suluhu ni faida wanazopata wananchi kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita. Katika moja ya hotuba zake Rais Samia alisema moja ya mipango ya Serikali ni kuendelea kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utalii wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itafanyia kazi ushauri na miongozo ya Wabunge

    Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge. Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako
  11. N

    JamiiForums Tanzania Penati nane za Rais Samia katika maslahi ya watumishi

    Hakika, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Ni ile kauli ya Mama Anaupiga Mwingi usidhani ni msemo tu, sasa hebu tazama jinsi Mama alivyoweka historia katika maslahi ya watumishi wa umma ndani ya muda mfupi tu tangu ashike hatamu. Uchumi wa Dunia unapoyumba hakuna nchi inayobaki salama. Baada...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Isaac Mnurwa akamatwa kwa tuhuma za kusambaza video ya Rais Samia akiwa na Peter Greenberg

    Inadaiwa kuwa kijana Isaac Mnurwa amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma zinazodaiwa ni kusambaza video ya Rais Samia akiwa na Peter Greenberg. Tunaomba kufahamu ukweli wa taarifa hii.
  13. JamiiForums Tanzania NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

    Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF. Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

    Habarini, Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli? Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Rais Samia ambaye yuko ziarani katika visiwa vya Pemba huko Zanzibar leo amekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya upinzani kwa majadiliano. Rais Samia amekutana na kuzungumza na viongozi wa Chama cha CUF, ACT-Wazalendo na ADC Kisiwani Pemba. Wakati fulani hapa Tanzania ilishakuwa ndoto...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua, Wawekezaji kuzungushwa inatosha sasa

    Katika kilele cha Kongamano la kumbukizi ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Hayati Benjamin Mkapa, Rais Samia alionesha waziwazi kukerwa na tabia ya watendaji wa juu, vigogo, Mabosi wa idara, mashirika na taasisi mbalimbali za Serikali kuwazungusha wawekezaji wanaofika nchini kutaka...
  17. JamiiForums Tanzania Kilio cha Walima Vanilla Kagera kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwako Rais Wetu Mpenda. Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kila siku, pia nikushukru jinsi unavyoongoza nchi kwa amani na utulivu. Bila kuacha kukupongeza kwa unavyopambana na miradi ya kimikakati katika kuiinua nchi kuelekea uchumi wa kati. Sisi wakulima wa vanilla Kagera tumekumbwa...
  18. JamiiForums Tanzania Sekta binafsi isije kuwa mzigo kwa umma kutokana na mtazamo wa Rais Samia

    Kila nikimsikiliza rais Samia kuhusu mtazamo wake kushirikisha sekta binsfsi kutoa huduma kwa umma nakua na mashaka. Sekta binafsi ni watafutaji wa faida. Dhana ya kusema serikali ishirikiane na sekta binafsi kutoa huduma kama afya elimu etc lazima itafsiriwe vyema isiweze kutumika vibaya...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi wakitaka kushirikiana na Serikali wanazungushwa mpaka wanakata tamaa wanaondoka

    Rais Samia akitoa hotuba katika kongamano la kumuenzi Hayati Benjamini Mkapa linalofanyika Zanzibar leo 14/ 7/ 2022 amesema kuwa watu wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha kasi ya maendeleo ya taifa letu. Lakini Serikali imekuwa na uzito katika kuwaamini sekta binafsi, wanapotaka...
  20. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna mtu anamchagulia Rais Samia watendaji wa Serikali

    Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale. Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani wa taasisi fulani, wanamchagulia. Ni jambo la kusikitisha kwamba Rais Samia chaguzi zake zote ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…