samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana kwa ana na polisi Moshi

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufungua Kikao Kazi cha Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi Tanzania kitachofanyika katika Shule ya Polisi, Moshi mkoani Kilimanjaro. Kikao hicho cha siku tatu kitahusisha Wakuu Waandamizi wa makao makuu, Makamanda wa Polisi mikoa na vikosi. Akitoa taarifa hiyo...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi wamuomba Rais Samia kumfukuza kazi Jaji Mutungi

    Chama cha NCCR-Mageuzi, upande wa Mwenyekiti James Mbatia umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wakidai inashindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi ikiwamo kusuluhisha mgogoro unaoendelea ndani ya chama hicho. Chama hicho...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Japan yatoa dola bilioni 30 kusaidia nchi za Afrika

    Serikali ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 – 2025) kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha kutekeleza programu na miradi ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi barani humo. Kiasi hicho cha fedha kimetangazwa kutolewa...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Hili la wamachinga kurudi kwenye maeneo waliyoondolewa, wasaidizi wa Rais Samia wajitafakari sana

    Ni muda kidogo sasa tangu kutekelezwa kwa agizo la kuwaondoa Wamachinga maeneo ya katikati mwa majiji na miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha kwa lengo la kuwapanga vizuri lakini pia kuyaweka maeneo hayo katika hali ya usafi. Habari mbaya ni kwamba katika maeneo mengi...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye Orodha ya ahadi alizowahi kuzitoa Rais Samia na zikafanyika Aziweke hapa

    1…….. 2……..
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025

    Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza. Kwanza niseme wazi Mama ni moja ya Marais bora kabisa kuwai kutokea katika taifa letu. Sijawai kusikia kashifa yeyote ya wizi na ufisadi kutoka kwake, ni Rais mwadilifu kweli...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao, Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kufanya makubwa wilaya ya Ludewa, amwaga mabilioni

    RAIS SAMIA AENDELEA KUFANYA MAKUBWA WILAYA YA LUDEWA, AMWANGA MABILIONI. Rais Samia Suluhu Hassan amepania kupeleka maendeleo makubwa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kama ambavyo amekuwa akifanya kwa Nchi nzima kwa ujumla. Rais Samia kupitia TARURA amefanikiwa kufungua Barabara ya Lifuma-...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya teuzi za Samia na Jakaya Kikwete ni wino wa kalamu tu vinginevyo ni mmwendo ya mwenye nacho uongezewa hasiye nacho akafie mbali anafaa kugo

    Je nawaza tofauti au Niko sawa?kichwa Cha habari chajitosheleza
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hakuna mbunge atakayethubutu kuukosoa utawala wa Rais Samia, kwa sababu kwa kufanya hivyo atahatarisha nafasi yake

    Huo ndiwo ukweli. Wawakilishi wa wananchi hususani wabunge wote ni waoga kuukosoa Utawala wa Samia kwa hofu kubwa ya kutokuteuliwa 2025 kuwa wagombea wa nafasi hiyo. Kama yupo awaye na matarajio hayo ni bora ayafute. Ifahamike wabunge wote waliopo mle bungeni kwa sasa ni zao na bila kupepesa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania

    Asante Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania Na Mwandishi Maalum. Twende Pamoja. Dar es salaam Hatimaye siku iliyokuwa ikingojewa sana na kila Mtanzania, iliwadia, ya tarehe 23 Agosti, 2022, na zoezi adhimu la Sensa likaanza nchini Tanzania. Zoezi hilo limejiri siku 170 tangu Mhe Rais Samia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wazo duni? Rais Samia atayaweza mengine, Muungano mtihani kwake

    Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii. Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea kuwa moja ya mambo yenye udonda sugu. Kila inapotokeza fursa ama tukio la kuujadili muungano, mambo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakumbukwa kwa kujenga uchumi unaowagusa Watanzania

    Ndugu zangu, wanasema uchumi mzuri ni ule unao gusa maisha ya watu wengi. Ukimfuatilia vizuri Mh. Rais wetu utagundua kuwa anajenga uchumi wenye kumgusa kila Mtanzania. Kwanza Mh. Rais ametambua kuwa kilimo ndio sekta iliyo ajiri watanzania wengi wa makundi tofauti tofauti. Hivyo juhudi zozote...
  14. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawapa nguvu wanawake

    Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra kusikia mijadala inayohusu uwezo wa mwanamke katika kuongoza, ilionekana mwanaume ndiye anafaa. Dhana hii inazidi kukosa mashiko kadiri siku zinavyokwenda kutokana na ufanisi unaoonekana kwenye nafasi zilizoshikwa na wanawake. Wanawake wenyewe wamekuwa mstari wa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza nia ya Rais Samia kusamehe wafanyabiashara kodi za nyuma?

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini Rais Samia aliamua kuwasamehe wafanyabiashara kodi za miaka ya nyuma, ambazo ni kodi halali kabisa wanazodaiwa na mamlaka ya kodi? Kumbuka mwezi June Rais Samia aliwaagiza TRA wasiwasumbue wafanyabiashara kwa kuwadai kodi za miaka ya nyuma isipokuwa za mwaka jana...
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Zitto ahesabiwa, ampa tano Rais Samia

    Zitto ahesabiwa ampa tano Rais Samia. Zitto Kabwe kamaliza kuhesabiwa adai ana furaha kubwa Sana baada ya kupokea ujumbe wa simu kutoka kwa rais Samia ambapo naye aliuforward kwa M/ Kiti Mbowe incase Kama hakupata wake, pia amewataka wananchi na wanachama wa ACT kujitokeza kuhesabiwa.
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!. "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi". Mimi nimeupata ujumbe...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Shuhudia Sensa Live Kupitia TBC, Nimeshuhudia Live Rais Samia Akihesabiwa. Let's Share Experiences za Sensa na Zoezi la Kuhesabiwa Toka Maeneo Tofauti

    Wanabodi Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!. Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa. Wana JF, let's share different experiences za sensa na...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia taifa leo Agosti 22, 2022. Ametoa wito na kuwasihi Watanzania wote kujitokeza kuhesabiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa zoezi la Sensa linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2022 ikiwa ni sensa ya Sita kufanyika katika Tanzania huru huku akieleza kuwa matokeo ya awali...
  20. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Maajabu! Leo Rais Samia ameni-text

    Mmoja kwa moja niende kwenye picha ya kusindikizia uzi. #UziTayari
Back
Top Bottom