adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,796
Mmoja kwa moja niende kwenye picha ya kusindikizia uzi.
#UziTayari
#UziTayari
Njoo unipige niko Buza kwa lulengeAfya ya akili ......... sijui kama ujakojoa kitandani wewe......au unadhani hapajakucha
Wazo zuriMuombe hela
Ndugu zangu hii kitaalamu inaitwa mania ni mmoja wapo wa ugonjwa wa akili! Ahsanteni#grandiose delusion#
hivi kumbe ni kweli bado mgonjwa weye!Njoo unipige niko Buza kwa lulenge
Na hili nalo nendeni mkalifanyie kazi.
Hamna, mimi sijawahi kutumia hiyo kituKwani bangi zimesha ruhusiwa
Inasikitisha sana.dooooo!!!
Mama Samia kama unasoma huu uzi mimi kijana wako inahitaji teuzi Pm yangu sijaifungu na mimi ni mzalendo wa kweli nipe chansi ya kulamba asaliMwombe teuzi, ulambe asali. Dah! Nimecheka kwelikweli
Nakazia maana hii inchi uhuru umezidiMh mwigulu Jf inatakiwa itozwe Tozo kwa kila thread.