samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kama unataka kuajiriwa, hakikisha unaajiriwa kipindi hiki cha Rais Samia Suluhu

    Aisee kama hujaajiriwa kipindi hichi cha Rais Samia sidhani kama utaweza tena kupata ajira za serikali. Miaka ijayo kutakuwa na mtu atakuja kwa mgongo na sera za Magufuli naye atapata Urais, na hapo ndipo kilio kwa wasomi kitakuwa kikubwa zaidi ya kile cha awamu ya tano. Ukizingatia idadi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Bado pengo la Magufuli halijazibwa

    Japo bado hujanishawishi kuwa unaweza kuziba pengo la JPM lakini sina budi kukujulisha hili toka kwa mtu unayemwamini sana. Anasema kuwa nanukuu "bi mkubwa sio mnoko, ukimpamba tu mambo yako yanaenda". Alikuwa akizungumzia sakata la Kigwangala kumtembezea mtu risasi anasema jambo hili litaisha...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea chini ya rais Samia. Mwaka 2025 hakuna mbadala wa kuendeleza kazi za taifa hili

    Mwenye macho haambiwi tazama 👇
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Tumpe maua yake Rais Samia

    TUMPE MAUA YAKE MHE. SAMIA ( picha kwa hisani ya Ikulu.go.tz) UTANGULIZI Andiko hili limelenga kumpa maua yake mhe. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake jadidi wa nchi yetu ya Tanzania. Naomba kuchukua fursa hiii kumpongeza kwa dhati mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kumpa maua yake kwa kuiongoza...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ingeviwezesha vyuo rasmi kutoa mafunzo kwa vitendo ili kukidhi mahitaji ya kujiajiri

    Nimekuwa nikifuatilia tambo za Mawaziri wa Kilimo na Mifugo na uvuvi juu ya mpango wa kuwaweka vijana katika makambi maalum ya kulimo, ufuhaji ssmaki na unenepeshaji wa mifugo. Sijui concept hii ina maana gani. Huenda nilikuongeza ujuzi ama ni kutaka kuongeza uzalishaji, hatahivyo, naamini...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo na Uvuvi na SUA Kutekeleza Maagizo ya Rais Samia

    WIZARA YA MIFUGO & UVUVI, SUA ZATEKELEZA MAAGIZO YA RAIS SAMIA Kufuatia maelekezo aliyoyatoa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuitaka Wizara ya Mifugo na Uvuvi ishirikiane na Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kuwawezesha vijana kujiajiri yaanza kutekelezwa baada ya pande hizo mbili...
  8. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania

    Teuzi za raisi samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Kassim mpingi Rufiji -pwani Duniani kote teuzi za kisiasa huwa na kazi kuu mbili, kazi ya kwanza ni shukran kwa kiongozi kwa waliomsaidia ushindi na kazi ya pili kudhibiti mamlaka ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Adai Mahakama Ina Matatizo: Je Ni Nani wa Kuyatatua

    Jana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama" Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli. Huyu CJ ukimfuatilia siku zote ni mtu wa kulalamika kama mtuhumiwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie tusiporwe ardhi yetu na serikali yako

    Ni mgogoro wa muda mrefu toka 1974 wa kipande cha ardhi cha hekari 67 uliotatuliwa na Kumalizwa na Mheshimiwa Lukuvi aliyekuwa Waziri wa ardhi. Taasisi ya kilimo Uyole ilishindwa kuwalipa fidia wananchi wa Sae jijini Mbeya zaidi ya 300 katika ardhi waliyokuwa wakiitumia tokea mababu kwa kilimo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahani msiba wa Lemutuz, afika kutoa pole kwa Waziri Mkuu Mstaafu Malecela

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nchini KM 2035 zinajengwa kwa wakati mmoja

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaandika historia chini ya Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ujenzi wa Kilometa nyingi za barabara kwa wakati mmoja. Serikali inaenda kutekeleza miradi mikubwa yenye Jumla ya kilometa 2035 ambayo itaanza kutekelezwa Kwa wakati Mmoja na itagharimu shilingi trillioni...
  13. JamiiForums Tanzania Agizo la Rais Samia kwa "Trumpa" na "Tapsea" latekelezwa

    Agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuandaa mkutano wa Watunza Kumbukumbu na Makatibu Mahsusi, limetekelezwa. Serikali imewaagiza waajiri, taasisi za umma na binafsi nchini, kuwaruhusu watumishi wa kada hizo ambao ni wanachama wa Chama cha Taaluma ya Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Samia, kama kuna upendeleo huu wa kielimu kwa Wasichana utaliangamiza Taifa

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Baada ya kushuhudia upendeleo kwa watoto wa kike wanaochaguliwa kuingia kidato cha tano, imenilazimu kutoa angalizo. Kama nchi tunakoelekea sio kuzuri. Kuna baadhi ya watu watachukulia poa lakini upendeleo huu ikiwa utadumu, basi...
  15. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Rais samia endelea kuongeza mishahara kimyakimya

    KAMA ilivyozoeleka kwa baadhi ya wafanyabiashara, huwa wanapandisha bei ya bidhaa mara tu wanaposikia serikali imeongeza msha-hara na marupurupu kwa wafanyakazi kila mwaka. Uviziaji huo hufanyika wakati wa Sikukuu Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), kwani wafanyabiashara walishajua kuwa hicho ndicho...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Ikulu Chamwino

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia, kama unaona mbali, legacy kubwa ya kipekee na ya kudumu ni Katiba Mpya. Majengo na vitu vingine vinasahaulika hasa kwa vizazi vijavyo

    Katika uzinduzi wa Ikulu ya Chamwiono leo hii tarehe 20/05/2023, imejitokeza hali ya kila mmoja kutaka kuonekana ana legacy katika ujenzi wa Ikulu hiyo, lengo ni kila mtu aingie kwenye kumbukumbuku ya waliohusika kufanikisha ujenzi wa Ofisi hizo za Raisi hapa mkoani Dodoma. Katika hili...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Asimulia Mchakato Mzima wa Kuhamia Dodoma, Amtaja Kaka wa Nyerere, Mchango wa TANU

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza mchakato mzima wa kuhamishia makao makuu ya nchi kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma pamoja na mchakato wa ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma wakati wa uzinduzi wa Ikulu hiyo mkoani Dodoma leo. Rais Samia ameeleza namna mchakato mzima ulivyokuwa wa kidemokrasia...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine watahamia katika Ikulu hiyo. Sherehe hiyo ya kihistoria inatarajiwa kuhudhuriwa na takribani watu 2,500...
  20. JamiiForums Tanzania Rungwe wamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Milioni 970 za ujenzi wa shule

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan apongezwa kwa kutoa kiasi cha Shilingi 970,600,000/= kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kupitia mradi wa Boost katika Kitongoji cha Kibumbe Mkoani Mbeya. Afisa Elimu Msingi wa Rungwe, Juma Mwanjobe amesema “Tumekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…